profesa

The Church of San Felipe Neri, commonly known as "La Profesa" (English: the Professed house), is a Roman Catholic parish church that was established by the Society of Jesus late in the 16th century as the church of a community of professed Jesuits. The church is considered to be an important transitional work between the more sober or moderate Baroque style of the 17th century and the extremely decorated manifestations of the Baroque of the 18th century in Mexico.Located at the corner of Madero and Isabel la Católica Streets in Mexico City, diagonally opposite the Museo del Estanquillo, its original name was "La Iglesia de la Casa Profesa." This church is well known for being the site of a number of historical events, including the "La Profesa Conspiracy," which was instrumental in bringing Agustín de Iturbide to power and the "Polkos Rebellion".
More recently, this church was the scene for deliberations relating to the beatification of Juan Diego. The church is also noted for its very large collection of colonial-era artworks spanning three centuries by some of Mexico's best artists including Cristóbal de Villalpando, Juan Correa, Pellegrí Clavé and José de Alcíbar.

View More On Wikipedia.org
  1. Parabolic

    Profesa Tibaijuka aitabiria ushindi CHADEMA

    Waziri wa zamani na kada wa CCM Profesa Anna Tibaijuka ameitabiria ushindi CHADEMA, akisema katika misukosuko inayopitia ikiwa pamoja na tishio la kufutwa, chama hicho kitashinda. Katika andiko lake lenye kichwa cha habari: "MAWAKILI WA CHADEMA WAKIWASILI DODOMA KUTETEA CHAMA CHAO" aliloliweka...
  2. Farolito

    Profesa Fiona Wood: Mwanamke aliyeleta mapinduzi katika tiba ya Majeraha ya moto kwenye ngozi

    Ilikuwa hivi: Usiku wa tarehe 12 Oktoba 2002 huko Bali, Indonesia, ulianza kama sherehe ya kawaida. Muziki ulipigwa kwenye vilabu vya starehe, watalii wakicheza na kufurahia maisha. Lakini ghafla, mabomu mawili makubwa yalilipuka ndani ya sekunde chache. Moto mkubwa uliteketeza kila kitu...
  3. E

    Mirambo arithi mikoba ya Profesa Lipumba CUF

    Aliyekuwa mwenyekiti wa uchaguzi huo, Said Miraji akitangaza matokeo leo Februari 22, 2026. Wajumbe wa mkutano mkuu wa dharura wa Chama cha Wananchi (CUF) wamemchagua Mirambo Camil Yusuf kuwa Mwenyekiti wa chama hicho akichukua nafasi iliyoshikiliwa na Profesa Ibrahim Lipumba tangu mwaka 1999...
  4. Parabolic

    Msajili amtaka Profesa Lipumba na wenzake warudie uchaguzi CUF

    Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini imetangaza kuwa matokeo ya uchaguzi wa viongozi wa kitaifa wa Chama cha Wananchi (CUF) uliofanyika Desemba 2024 ni batili na kuelekeza chama hicho kurudia uchaguzi wa nafasi za juu za uongozi mara moja. Kwa mujibu wa Jambo TV, barua ya Februari 13...
  5. Waufukweni

    Profesa Mkumbo: Pato la mtu mmoja nchini laongezeka karibu mara tatu

    Tathmini ya utekelezaji wa mipango mitatu ya maendeleo ya miaka mitano imebaini mafanikio makubwa ya kiuchumi yaliyopatikana kupitia Mpango Elekezi wa Maendeleo wa Muda Mrefu (LTPP) 2025, hususan kuongezeka kwa pato la mtu mmoja mmoja. Akizungumza Bungeni jijini Dodoma leo Jumatatu, Februari 2...
  6. M

    Profesa Mkenda: Shule binafsi zinazozuia wanafunzi kwenda likizo waache, rungu lipo na sisi hatutaki sana kulitumia

    Waziri wa Elimu, Profesa Adolf Mkenda, anazungumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio na utekelezaji wa ahadi za Rais Samia Suluhu Hassan ndani ya siku 100 za kwanza za utawala wake. Kikao hiki kinatoa mwangaza kwa umma kuhusu maendeleo, sera, na miradi mbalimbali iliyotekelezwa katika...
  7. tonicimmobility

    PostGE2025 Mpoto: Daktari Samia wewe ni Profesa wa Uchumi

    Katika hafla fupi ya kuapishwa kwa Dkt. Mwigulu Nchemba kuwa wziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyofanyika leo November 14, 2025 jijini Dodoma, Mwanamashairi na msanii maarufu kwa kughani Mrisho Mpoto ameonekana katika hafla hiyo akitumbuiza kwa kueleza sifa za Rais Samia.
  8. R

    Mwanasheria kutoka Kenya, Profesa Phoebe Okowa achaguliwa kuwa Jaji wa Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ)

    Mwanasheria kutoka Kenya, Profesa Phoebe Okowa, amechaguliwa kuwa Jaji wa Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ), chombo kikuu cha kimahakama cha Umoja wa Mataifa. Uchaguzi huo ulifanyika Jumatano Novemba 12, 2025 ambapo Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa na Baraza la Usalama vilimpigia kura Profesa...
  9. The Father of All

    Kati ya Profesa Kabudi na Daktari Samia nani msomi?

    Profesa Kabudi anasiika kwa kusifia marais. Alianza na Magufuli. Alipokufa amehamia kwa Samia. Ajabu Samia hamsifii kama alivyowahi kufanya Magufuli. Je kati ya wawili nani msomibkuliko mwenzake?
  10. mr mkiki

    Profesa Mussa Assad: Ufisadi umeshamiri kwasababu Mafisadi Hawaadhibiwi

    Asema hana matumaini na kizazi cha sasa katika kujenga jamii mpya, ataka nguvu ziwekezwe kwa vizazi vijavyo. Dar es Salaam. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu (Mstaafu) wa Hesabu za Serikali, Profesa Mussa Assad, amehusisha kushamiri kwa vitendo vya ubadhirifu wa mali za umma na aina nyingine za ufisadi...
  11. mwanamwana

    Profesa Mkumbo: Serikali na CCM tunahitaji vyombo vya habari madhubuti

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo amebainisha kuwa Serikali ya awamu ya sita na Chama Cha Mapinduzi Kinathamini uwepo wa Vyombo vya habari imara, katika kukuza uwajibikaji na kuimarisha utawala bora nchini. Akizungumza na wahariri wa Vyombo vya Habari na...
  12. T

    Ili tule pesa ya Shabiby kura ya maoni Gairo ni kumshindanisha na Prof. Joel Mmasa mgombe mwenye nguvu. Tutamchangia pesa ya fomu Profesa.

    Pesa ya mwarabu ni ngumu kutoka hasa amapokuwa na wagombea dhaifu anaowaandaa mwenyewe. Kipindi kilichopita tulinemeka wajumbe kwa sababu Dr. Mmasa wa Udom kuwa tishio kwake hasa kwa usomi wake na umaarufu wa baba yake. Japo hatoi pesa inayoweza kushindana na pesa ya Shabiby. Kijana huyu msomi...
  13. Munch wa Annabelle

    Je , Watanzania wenye elimu ya kuanzia diploma hadi profesa ni wangapi?

    Kwa mujibu wa makadirio ya sensa ya mwaka 2022, Tanzania ina takribani watanzania milioni 60. Kati ya hao, idadi ya waliopata elimu ya juu (yaani kuanzia Diploma, Degree, Masters hadi PhD/Profesa) ni ndogo sana ukilinganisha na ukubwa wa idadi hiyo. Takwimu Muhimu (Elimu ya Juu kwa Watu Wenye...
  14. GENTAMYCINE

    Nchi moja Afrika wao kuitana kwa Titles za Daktari wa Falsafa au Profesa hadharani ni Ufahari, wakati Taifa lao ni Masikini na Wapumbavu wanaongezeka

    Na Historians akina GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE alias "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" tunajua kuwa Taifa la Kwanza kwa Kujitambua Afrika ni Ghana na Taifa la Kwanza Afrika kwa kuwa na Demokrasia bora na Katiba safi kwa Wananchi wake ni Ghana na mwisho kabisa...
  15. Roving Journalist

    Profesa Azaveli Lwaitama: 'Kuteka Watu Hakusaidii Kushinda Uchaguzi hata ukiifuta CHADEMA Haitasaidia'

    https://www.youtube.com/live/SnKA8e1XBWI
  16. REJESHO HURU

    PreGE2025 Ukisikia yaliyomo kwenye ilani ya mpya ya CCM 2025 to 2030 ni kama wimbo wa profesa Jay ndio mzee

    1. Dar es salaam kujengwa tren ya chini ya aridhi kupunguza foreni hii ni sawa na mabomba kutoa maziwa nchi nzima, kwani mwendo kasi tu tunaona unavyopumulia pua je hiyo treni. 2. Kujengwa viwanda kila mkoa na kila mtaa haaa haaa hii sawa na ile wanafunzi wa vyuo vikuu kufanya practical...
  17. Lady Whistledown

    Profesa Mkenda: Mtoto wa waziri kupata mkopo wa elimu ni wizi

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda. Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda, amesema mtoto wa waziri au katibu mkuu wa wizara kupata mkopo unaotolewa na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu ni wizi kwakua kitendo hicho kinawanyima fursa wanaostahili. Prof...
  18. SSH2025_2030

    Prof. Balozi Benson Bana (PhD) anafaa kwenye Chama Cha Mapinduzi

    Mheshimiwa Profesa Mbobezi wa Sayansi ya Siasa Duniani na Balozi (Mstaafu) Benson Bana (PhD) anafaa kwa Nafasi za juu katika Chama. Tafadhali, Mkutano Mkuu mfikirieni ikiwapendeza, mpeni kazi akasaidiane na Mzee wetu Stephen Masatu Wassira a.k.a Tyson wakaimarishe chama nchi nzima.
  19. Kijakazi

    WHO inamuita Janabi pia profesa?

    kwa wanaofwatilia mgombea wa tanzagiza huko geneva, ningependa kujua huko who officialy wanamtambulishaje? je, wanamuita profesa Janabi pia kama sisi tanzagiza au wanamtambulishaje?
  20. GENTAMYCINE

    Poleni sana Familia ya Qorro, Wasomi na Walumbi wa Kiswahili kwa kumpoteza Profesa Martha Qorro

    Pole sana Dada Lucy, Dada Germana, Dada Dokta Grace, David (Pandi) na Kibibi (Tausi) bila Kumsahau Mpwa Mwandishi wa Habari Edward Qorro (wa Daily News) kwa kumpoteza Mama na Shangazi baada ya pia kumpoteza Baba Mzee Patrick Qorro miaka kadhaa iliyopita. Mwenyezi Mungu ailaze Roho yake Profesa...
Back
Top Bottom