prof. kabudi

Prof Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi is the Tanzania's current Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation appointed by Hon H.E. Dr John Pombe Magufuli the President of the United Republic of Tanzania. He previous served as the Minister inthe Ministry of Justice and Constitutional Affairs from 2015 to 2019.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    Professor Kabudi akutana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Canada

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Kazi Maalum), Prof. Palamagamba Kabudi, amefanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Canada, Mhe. Robert Oliphant. Mazungumzo hayo yamefanyika jijini London, Uingereza, pembezoni mwa Mkutano wa 26 wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Madola...
  2. H

    Professor Palamagamba Kabudi aongoza ujumbe wa Tanzania katika mkutano wa 26 wa mawaziri wa mambo ya nje wa Jumuiya ya Madola

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Kazi Maalum), Prof. Palamagamba J. Kabudi, ameongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa 26 wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Madola (CFAMM) uliofanyika Machi 8, 2026 jijini London, Uingereza akimwakilisha Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika...
  3. H

    Prof. Kabudi akutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Botswana jijini London

    PROF. KABUDI AKUTANA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA BOTSWANA JIJINI LONDON Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Kazi Maalum), Prof. Palamagamba J. Kabudi amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Botswana, Mhe. Dkt.Phenyo Butale, jijini London, Uingereza, ambapo viongozi hao...
  4. Blasio Kachuchu

    Prof. Kabudi Asisitiza Ushirikiano wa Serikali na Wadau wa Habari

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Palamagamba akionyesha Kitambulisho cha Uandishi wa Habari (Press Card) kinachotolewa na Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari-JAB mbele ya mgeni Rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Phillip Mpango wakati wa...
  5. JamiiCheck

    Prof. Kabudi: Tuna changamoto ya upotoshaji, watumiaji wa taarifa huziamini bila kuthibitisha

    Kauli ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi inakukumbusha kuwa kabla ya kuamini na kusambaza Taarifa unayokutana nayo ndani na nje ya mtandao ni muhimu Kuithibitisha Uhalisia wake ili kuepusha Taarifa Potofu. Unapohitaji msaada wa Uthibitishaji Taarifa...
  6. Chakaza

    Jee Utabiri huu wa Prof. Kabudi Unaelekea Kutimia? Inaelekea Wanaccm Wengi Hawayajui ya Romania, Wafundishwe

    Majuzi niliposikia kuna wasanii wanaojulikana kushambuliwa na vitu mbalimbali jukwaani baada ya kutamka "Mitano tena", na nikakumbuka mada hii aiyoitoa Prof Kabudi kwa vijana pale Nkurumah hall UDSM. Jee CCM imesubiri hadi wengi ndio mabovu ya nchi ndio yajadiliwe na haya yanatokea? Jee watawala...
  7. Just Pray

    Waziri Prof. Kabudi: Tunatambua mchango wa wanahabari na tunatilia mkazo umuhimu wa kulinda uhuru kwa ustawi wa demokrasia na maendeeo

    "Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani ni siku ambayo dunia inatafakari nafasi ya vyombo vya habari katika jamii zetu, tunatambua mchango mkubwa wa wanahabari na tunatilia mkazo umuhimu wa kulinda uhuru huu muhimu kwa ustawi wa demokrasia na maendeleo. Kauli mbiu ya maadhimisho ya Siku ya...
  8. Waufukweni

    PreGE2025 Prof. Kabudi: Nyerere alitabiri ujio wa Rais Samia miaka 81 iliyopita

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Palamagamba Kabudi amesema umahiri wa uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan unatokana na juhudi zilizofanywa na waasisi wa Taifa la Tanzania katika kuwaandaa viongozi. Profesa Kabudi ametoa kauli hiyo leo Machi 24, 2025 katika mdahalo wa...
  9. JanguKamaJangu

    Waziri Prof. Kabudi aufuta Uongozi wa Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBRC) kutokana na tuhuma mbalimbali

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi ameufuta Uongozi wa Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBRC) baada ya uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zilizowasilishwa na wadau wa mchezo wa ngumi. Taarifa kutoka Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imeeleza...
  10. Mohamed Said

    Prof. Kabudi Anaeleza Historia ya Wanawake Waliopigania Uhuru wa Tanganyika

    PROF. KABUDI: HISTORIA YA WANAWAKE WALIOPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA Siku mbili hizi zimekuwa siku za furaha kwangu kwa kuona katika hadhira kubwa sana za CCM wapigania uhuru waliosahauliwa kwa miaka mingi wakitajwa. Katika kongamano la UWT lililofanyika Dodoma kutangulia sherehe ya...
  11. Minjingu Jingu

    Prof. Kabudi atakuwa busy kujifunza majina ya wasanii, wachezaji na wanamichezo mbalimbali

    Navyomjua mwalimu wangu kwa mudaa huu anakaa sana sebuleni kuangalia michezo ya kuigiza na kuwauliza watoto wake. Hapa yupi ni Bamboo? Yupi ni Kingwenduh? Rayvanny ni yupi kati ya hawa? Lwiza Mbutuh? Ahoua yupo Simba au Yanga? Uwanja wa footaball jumla wanaocheza ndani ni wangapi? Kisha hapo...
  12. B

    Prof. Kabudi sasa kuongoza Vyombo vya Habari vya serikali kushinda propaganda / information war kuelekea 2025 na mbele zaidi

    Uteuzi wa Profesa Palamagamba Kabudi, ni hatua nzito ya serikali kujipanga kushinda vita ya habari yaani propaganda. Vyombo kama TBC, TBC radio, Habari Leo Daily News, Idara ya Maelezo vimekuwa vikisinzia kuitetea serikali ya awamu ya 6 kiasi ya kuwa vyombo vya mitandao ya kijamii vimeibuka...
  13. Pascal Mayalla

    Asante Rais Samia Kutuletea Prof. Kabudi Pale Sheria, Ni Best Brain, High IQ. na Bingwa wa Katiba. Je, Atakuwa Mkweli Ubatili wa Katiba na Sheria au?

    Wanabodi, Kama kawa kila nipatapo fursa huja na makala zangu elimishi za Kwa Maslahi ya Taifa, zinazo zungumzia jambo lolote la kisiasa, kiuchumi au kijamii lenye maslahi kwa taifa. Makala hizi huja kwa mtindo wa swali na hoja halafu jibu utatoa wewe mwenyewe. Uteuzi wa Prof. Palamagamba...
  14. Komeo Lachuma

    Tundu Lissu ni Mwanasiasa pekee ambaye naweza msikiliza akiongea, na alikuwa pia Prof. Kabudi alipokuwa sober

    Tundu Lissu anajua kuongea. Hakuna mwanasiasa anaweza simama jukwaa moja na Tundu Lissu kubishana. Hakuna Chama Chetu CCM na nje ya chama au any chama. Lissu akianza kuongea utapenda msikiliza ana facts anajua mambo. Ni mzuri katoka kuelezea jambo. Kama ambavyo Prof Kabudi pia alikuwa na...
  15. S

    Tulia, Prof. Kitila, Chongolo, Prof. Kabudi jibuni hoja za Kijana Mzalendo mkataba wa Bandari

    Kijana Mzalendo, David Levi Nkindikwa amekuja na uchambuzi wa hoja lukuki zikihusisha matashi ya Spika wa Bunge Tulia, Prof Mkumbo, Katibu Mkuu Chongolo kuhusu mkataba wa Bandari uchambuzi ambao umesambaa katika mitandao mbalimbali ikiwemo JF. Lakini amehoji kuhusu ukimya wa Baba wa Mikataba...
  16. Kasanzu The Great

    Kwanini Profesa Kabudi anaandamwa?

    Kumekuwepo na utitiri Wa watu kumuandama na kumkashifu Prof. Palamagamba Mwaliko Aidan Kabudi hasa katika mjadala huu Wa Sakata la DP WORLD. Kwanini imekuwa hivi!? Mwanasiasa ni binadamu anayefanyakazi kwa kutazama kiongozi Wa nchi anataka nini. Hii ni nidhamu ya kutawala ambayo imekuwepo...
  17. S

    Baba wa mikataba Prof. Kabudi yuko wapi mjadala wa mkataba wa kuuza bandari?

    Profesa Kabudi aliteuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuwa ndiye BABA wa mikataba na mwenyekiti wa timu za kitaifa za majadiliano ya mikataba. Huu mkataba wa bandari umepitaje mikononi mwake ukiwa na mapungufu haya?
  18. Suley2019

    Prof. Kabudi aibuka. Aililia tembo kuvamia Mashamba ya Wananchi wa Kilosa

    Mbunge wa Kilosa, Profesa Palamagamba Kabudi amesema wananchi wa Jimbo la Kilosa wamekuwa wakipata usumbufu mkubwa kwa tembo kuvamia mashamba na kuharibu mazao na miji ya watu na kwa muda mrefu wananchi hao hawajalipwa kifuta machozi kutokana na uharibifu huo. Pia, ameomba Wizara ya Maliasili...
  19. C

    Kilosa wamtaka Prof. Kabudi aachie ngazi ya ubunge na ndani ya chama

    Star wa mchezo katika awamu ya nne anaendelea kula mijeledi, naona baada ya kumtoa kwenye baraza kihekima hawamtaki tena bungeni 2025. Nikikumbuka nafasi yake ya ushawishi na maamuzi awamu iliyopita na sasahivi anavyojitutumua kujieleza nachoka kabisa kuhusu siasa. Mimi ningekuwa yeye...
  20. S

    Baada ya kauli ya Prof. Kabudi; Prof. Mruma na Prof. Ossoro wanyang'anywe vyeti walivyopewa na Magufuli

    Kama kumbukumbu zangu ziko sahihi, wasomi hawa wawili walitunukiwa vyeti na aliekuwa Rais wa Nchi hii Marehemu Magufuli. Kama niko sahihi kwanini wasomi hawa wasinyang'anywe vyeti walivyopewa na Magufuli baada ya Kabudi kudai madai yale ya kodi ya zaidi ya trilioni 30( kwa mujibu wa kamati ya...
Back
Top Bottom