presha

Poxi Presha (1971–2005), real name Prechard Pouka Olang, was a pioneer Kenyan rapper. He emerged in the mid 1990s with hip hop sung in Dholuo language.
His debut album Total Balaa also popularly known as "Dhako" was released in late 1997, then followed by hits like "Mummy","Jaluo Jeuri" which featured celebrated actor Joseph Olita of 'Rise & Fall of Idi Amin' and "Otonglo Time". The album was followed by another solo album Vita Kwaliti.He was also an MC for Nairobi City Ensemble group, which released the album "Kaboum Boum", containing a remake of "Lunchtime", originally popular song by benga singer Gabriel Omolo.He was known as the "bad boy of Kenyan music" due to number of incidents, such as falling out with his producers Bruce Odhiambo and Tedd Josiah. He also released dis track "Wape Really?" aimed at producers and promoters.During his later years, Poxi Presha worked as an anti-piracy activist.Poxi Presha was born in Mombasa but was based in Nairobi during his career. He died at the St Mary's Hospital in Langata, Nairobi on October 14, 2005 due to tuberculosis, aged 34.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PRESHA YA WAFANYAKAZI BAADA YA WEEKEND

    Hakuna kundi linaloteseka kama wafanyakazi wa serikali. Faraja yao kuu ni weekendi na public holidays. Ila masela wengine ikifika jumatatu ni mwendo wa kula tungi tu hawana stress za maisha. Ila wafanyakazi ni kukuru kakara. He/she wake up early in the morning doing the same thing from January...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Presha yangu haishuki 150/105 pr 65

    Habari wakuu nimiezi mitatu sasa presha yangu haishuki Toka niugue homa kali ..presha tangia hapo haijawahi shuka pamoja na kufanya Kila jitihada presha inasoma 155/105 pr 66 Kila asubuh napoamka napima Nina mashine ya BP ,, Mwezi wa wakwanzamwishoni nilipima vipimo vya figo,ini,moyo vyote...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Punguza presha ya kununua gari jipya, Unaweza kununua gari mtaani, ukalifanyia matengenezo ya kiwango cha juu na ulitumie kama jipya kwa bei ya chini

    1. Kuhusu "gari jipya" kwa maana ya watanzania wengi Ninapotumia neno gari jipya, simaanishi gari lililotoka kiwandani 0km moja kwa moja. Katika mazingira ya Tanzania, mara nyingi ni gari la mtumba lililoagizwa kutoka Japan au gari ambalo lipo showroom tayari limeagizwa. 2. Magari...
  4. JamiiForums Tanzania Ujue Ugonjwa wa Presha

    Ugonjwa wa Presha (Shinikizo la Damu - Hypertension) Presha ni hali ambapo damu inasukuma kwa nguvu kupita kiasi kwenye kuta za mishipa ya damu kwa muda mrefu, jambo linaloweza kuharibu moyo, figo, ubongo, na macho. Vipimo vya kawaida: Presha ya kawaida: chini ya 120/80 Presha iliyoinuka...
  5. JamiiForums Tanzania Serengeti Boys kufungwa baada ya Siasa na Presha kuingizwa!

    Serengeti Boys , leo 22:00 hrs inacheza fainali na Senegal. Safari ilianza mbali na hakuna aliyekuwa anajua isipokuwa sisi wachache tuliokuwa tunaifuatilia kupitia youtube channela ya CAF WHERE TO WATCH: TotalEnergies CAF Under-17 Africa Cup of Nations Morocco 2026 Final. Wakati timu ilipofika...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Msaada presha 158/100 pr 57 nifanyaje kushusha presha

    Habari wakuu niwiki Sasa presha yangu Iko juu nimekuja kwenu kutaka muongozo namba Gani naweza kushusha hii presha nisitumie dawa
  7. JamiiForums Tanzania Kuna presha nyingi ambazo jamii huziona kwa Wasichana na kusahau Wavulana wanabeba mizigo mizito moyoni

    PRESHA WAVULANA WENGI WANAPAMBANA KIMYA KIMYA. Kuna presha nyingi ambazo jamii huziona kwa wasichana… lakini mara nyingi husahau kwamba hata wavulana wanabeba mizigo mizito moyoni. Tofauti ni kwamba wavulana wengi wamefundishwa kuficha maumivu yao. Wamefundishwa: “vumilia.” “kuwa mwanaume.”...
  8. JamiiForums Tanzania Nina changamoto ya presha

    Jaman habari zenu mimi nina changamoto ya presha na nimegundua kutokana na number zangu zinavyojieleza mara inapanda mara inashuka naitaji kuicontroll kabla haijaniletea shida kubwa zaidi iwe kwa dawa au kawaida,naomba kwa upole tu munibariki njia za kuicontroll,plz hii ni serious sana,apo chini...
  9. JamiiForums Tanzania Manchester United gari imekolea moto au gesi ya presha cooker?

    Hawa jamaa wanatembeza kipigo sahivi EPL pale hadi unaogopa.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Anaejua dawa ya presha anisaidie nimeambiwa presha yangu ipo juu

    Habari zenu kaka zangu na ndugu zangu naomba husika na mada apo juu anaejua dawa ya presha anisaidie nimeambiwa presha yangu ipo juu mwezi wa 1 wote nimejipeleleza inasoma 140/100,164/96,148/93,140/90 iyo nimepima ndani ya mwezi wa kwanza nimekuta ivo inanisumbua sana kama kuna mtu ana dawa...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Msaada ulaji mzuri katika zoezi la kushusha presha

    Assalam alykum,bwana yesu asifiwe,hali zenu ndugu wana jamvi kwa upole sana naomba munipe maelekezo juu ya ulaji wa matunda wakati nipo katika hali ya kupambana kushusha presha je ni matunda yote naruhusiwa kula km ndizi,tikitik naomba kuelekezwa
  12. JamiiForums Tanzania Msaada: Nimepima presha ipo juu

    Habari zenu naomba husika na mada apo juu jana baada ya kujsikia vibaya nikaenda hosptal na kupima baadhi ya magonjwa ila nimekutwa na presha 140/100 nina miaka 32 naomba kueleweshwa njia za kutumia ili kupunguza iyo presha tofauti na kula dawa ahsante
  13. JamiiForums Tanzania Geita itangazwe Kanda maalumu ya Kipolisi

    Enzi za JK wilaya ya Tarime walikuwa na vijitabia vya ukatili katili wakaanzishiwa kanda maalumu wakatulizwa kibabe. Njombe na Geita wana ujanja wa kizamani,ukatili na kuuana, Ushauri wangu kwa wahusika, Geita itangazwe kanda maalumu ya kipolisi na pia waweke RPC mbabe. Huyu mama Safia Jongo...
  14. JamiiForums Tanzania Watu Wanaopost Maisha ya Kifahari: Motivational au Ushawishi wa Kujichukia? 🤑📱

    Unawahi kufungua Instagram asubuhi tu, bado upo kitandani, halafu kitu cha kwanza unakutana nacho ni mtu kaweka picha ya breakfast ya kifahari – croissant, avocado toast, na kahawa ya Starbucks… huku wewe unatafuna mkate wa jana na chai ya majani? 😅 Kila siku timeline inajaa na watu wanaoishi...
  15. JamiiForums Tanzania Profesa Janabi: Kama humsamehi yule aliyekukosea jiandae Kuugua Presha na Kisukari kwa pamoja

    Profesa Janabi Mimi GENTAMYCINE nipo tayari Kuugua vyote ila kuna Wapumbavu fulani kamwe sitowasamehe abadani. Na uzuri ni kwamba kila baada ya miezi mitatu napima haya Magonjwa yako tajwa na namshukuru Mungu nipo salama.
  16. R

    JamiiForums Tanzania Miaka 25 - 35 ndio umri mgumu zaidi kwa vijana wahitimu wa degree, Presha ya kupata mafanikio au kuwa mtu wa level fulani inakuwa ni kubwa mno

    Wahitimu wa degree wanaopitia changamoto za kiuchumi hupata msongo wa mawazo kwa sababu jamii huwa na matarajio makubwa kwao. Jamii huamini wanapaswa kuwa wajanja zaidi kwenye fursa hata wasipopata ajira. jamii huwashusha thamani na hata kuwatania vijana hawa inapoona kuna vijana wenye elimu ya...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mzee wangu kaacha dawa za presha presha yake Iko 200/93 pr 46

    Habar wakuu ushauri wenu tafadhali Mzee wangu amekalua akitumia dawa za presha kwa miaka9 Sasa .hivi karibuni kaacha kutumia dawa,inaweza kuwa ni mda miezi kadhaa tangu aache,Sasa hivi presha yake inasoma hivo mda wote 200-199/90-97 pr 50-45..nin chakufanya nikama Hana mpango wakurudia...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Presha kuwa juu/ shinikizo kubwa la damu

    Tatizo la Presha kuwa juu Ugonjwa wa presha kuwa juu ni miongoni mwa magonjwa yanayowakumba watu wengi kwa sasa katika jamii. Kutokuwa na elimu sahihi ya ugonnjwa huu pamoja na kuwa na imani potofu juu ya ugonjwa huu inachangia wingi wa tatizo hili, imani potofu na elimu duni ya ugonnjwa...
  19. JamiiForums Tanzania Kipimo cha presha ya damu

    Shinikizo la kawaida la damu kwa watu wazima ni 120 kwa 80. Kipimo cha presha hupimwa kwa milimita za zebaki (mercury) (mmHg). Hivyo husomeka kama 120/80 mmHg. Shinikizo la damu hupimwa kwa milimita za zebaki (mmHg) kwa sababu kifaa kinachotumiwa kuipima, kinachoitwa 'mercury sphygmomanometer'...
  20. JamiiForums Tanzania Nataka kununua presha kuka (pressure cooker) ya umeme, kampuni gani nzuri?

    Wakuu,nimepitia malalamiko mengi kuwa pressure cooker za umeme,zinasimbua sana. Kampuni gani ni nzuri,nasikia zinatumia umeme vizuri sana.. msaada wazoefu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…