ppp

GDP (PPP) means gross domestic product based on purchasing power parity.
This article includes a list of countries by their forecast estimated GDP (PPP). Countries are sorted by GDP (PPP) forecast estimates from financial and statistical institutions that calculate using market or government official exchange rates. The data given on this page are based on the international dollar, a standardized unit used by economists. Certain regions that are not widely considered countries such as Hong Kong also show up in the list if they are distinct jurisdiction areas or economic entities.
GDP comparisons using PPP are arguably more useful than those using nominal GDP when assessing the domestic market of a state because PPP takes into account the relative cost of local goods, services and inflation rates of the country, rather than using international market exchange rates, which may distort the real differences in per capita income. It is however limited when measuring financial flows between countries and when comparing the quality of same goods among countries. PPP is often used to gauge global poverty thresholds and is used by the United Nations in constructing the human development index. These surveys such as the International Comparison Program include both tradable and non-tradable goods in an attempt to estimate a representative basket of all goods.The first table includes estimates for the year 2020 made for each economy of the 194 countries and areas (including Hong Kong and Taiwan) covered by the International Monetary Fund (IMF)'s International Financial Statistics (IFS) database. The data is in millions of international dollars and was calculated and published by the IMF in April 2020. The second table includes data, mostly for the year 2018, for 180 of the 193 current United Nations member states as well as Hong Kong and Macau (the two Chinese Special Administrative Regions). Data are in millions of international dollars; they were compiled by the World Bank. The third table is a tabulation of the CIA World Factbook GDP (PPP) data update of 2019. The data for GDP at purchasing power parity has also been rebased using the new International Comparison Program price surveys and extrapolated to 2007. Non-sovereign entities (the world, continents, and some dependent territories) and states with limited recognition (such as Kosovo, Palestine and Taiwan) are included in the list in cases in which they appear in the sources. These economies are not ranked in the charts here, but are listed in sequence by GDP for comparison. In addition, non-sovereign entities are marked in italics.

View More On Wikipedia.org
  1. Yoda

    Kafulila ameenda wapi na PPP zake na udadavuzi wa uchumi?

    Ni muda mrefu sasa Kafulila hajasikika akileta taarifa za PPP kama tulivyomzoea akitoa taarifa na kudadavua mambo mbalimbali ya uchumi. Kabla ya October 2025 Kafulila alikuwa moto sana na taarifa zake za PPP zilijaa kwenye media hadi hapa jukwaani. Kulikoni?
  2. Bibianna

    Waziri mkuu Majaliwa Khasim Majaliwa: PPP imesaini miradi yenye thamani ya shilingi bilioni 681.53

    == Waziri mkuu amesema kuwa Chini ya Rais Samia, mikataba minne ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) yenye thamani ya shilingi bilioni 681.53 imesainiwa mwaka 2024/25 kwa ajili ya kutoa huduma ya usafiri wa mabasi katika Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (BRT). Mikataba hiyo...
  3. Investigation Unit

    David Kafulila: Nchi zenye uchumi wa $1Trilioni duniani ziko 19 tu wakati Africa hakuna hata moja Tanzania tutaitoa Africa kimasomaso ifikapo 2050

    Recall: Akiongea katika kongamano la Dira2050 jijini Mwanza lililoandaliwa na Taasisi ya REDET kwa ushirikiano na PPPC David Kafulila amaesema yafuatayo namnukuu, "Nchi zenye uchumi wa $1Trilioni duniani ziko 19 tu wakati Africa hakuna hata moja hueanda Tanzania tukaitoa Africa kimasomaso...
  4. CM 1774858

    MWANZA: Ni mjadala mkali hapa Prof. Mukandara pale David Kafulila, Jumamosi 26|07|2025

    == Hii kama itafanyika nchi nzima Kwa namna hii basi Kwa mara ya Kwanza Tanzania itapiga hatua kubwa katika maendeleo kupitia PPP hasa Kwa level ya Halmashauri na Mikoa. == Mwanza mmebahatika msikosee,
  5. C

    PPP kuifikisha Tanzania uchumi wa kati wa juu 2050

    Moja ya shabaha kuu iliowekwa na Dira 2050 ni kuhakikisha kuwa ifikapo mwaka 2050 Taifa letu liwe limetokomeza kabisa umasikini uliokithiri, ambapo kwa mujibu ripoti ya Benki ya Dunia (2025) Asilimia 26 ya watanzania linaishi katika kundi hili, Miongoni mwa vichocheo vinavyoweza kuharakisha...
  6. M

    Dkt Kahyoza: Kati ya hotuba 34 za Rais Samia 17 zilizungumzia PPP na kati ya nchi 195 zilizopo duniani ni nchi 26 tu na Tanzania ikiwemo zina PPPC

    == Mchambuzi nguli wa mambo ya Fedha na Uchumi Dkt Bravious Kahyoza katika mahojiano yake na kituo cha runinga cha Wasafi TV katika kipindi maarufu cha One on One alisema kuwa Rais wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan anaonesha msukumo mkubwa kwenye maswala ya Ubia, PPP. Dkt Kahyoza anasema...
  7. M

    CCM, CHADEMA, CHAUMMA, CUF, ACT, NGOs kesho Kwa pamoja kujadili faida za PPP katika kufikia malengo ya Dira ya Taifa ya 2050

    https://youtu.be/1f_r4K23h0c?si=JryS33KdwjyIkuCY === Mkurugenzi wa Mtendaji wa taasisi ya Utafiti na demokrasia Prof Rwekeza Mukandara kwa mashirikiano na kituo cha Ubia nchini Tanzania PPPC wameandaa kongamano kubwa na la kihistoria litakalofanyika Chuo kikuu Cha Dar es salaam. Pamoja na...
  8. B

    PPP na UDSM kujadili mwenendo wa uchumi na nafasi ya sekta binafsi kuelekea Tanzania 2050

    Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) kwa kushirikiana na Taasisi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) imekuja na Kongamano la Wanazuoni kujadili mwenendo wa uchumi na nafasi ya Sekta Binafsi kuelekea Tanzania 2050. Kongamano hili litafanyika Jumanne tarehe 27/05/2025...
  9. Mwanga wa Jua

    Ifike mahali Tanzania nayo ijue Dunia hii inaendeshwa kwa PPP mpango wa kuandaa bajeti ya Serikali kwa matarajio ya mikopo na misaada ni kujidumaza

    Wakati Bunge la 12 linaendelea na linaelekea mwishoni nina hoja moja ya msingi Kwa wabunge wote wa bunge hili hata wale wa bunge la 13 hasa wakati huu ambao kila nchi duniani inajifikiria yenyewe na watu wake tu, Kimsingi ubinafsi unazidi kumea sana duniani. Waheshimiwa wabunge, nimeyasikia...
  10. Mpigania uhuru wa pili

    Dhana ya PPP inapotoshwa sana na kina kafulila na serikali haiwezi kwepa majukumu yake kwa kivuli cha PPP

    Kuna miradi ni jukumu la serikali kuibeba hasa ile inayohusu kuhudumia wananchi mfano barabara, hospitali, kusambaza umeme, maji na mingine kama hiyo hiyo ni jukumu la serikali kuitekeleza Kuna miradi kweli unahitaji PPP kuitekeleza sababu utekelezaji wake unahitaji fedha kubwa mfano Mradi wa...
  11. Mkunazi Njiwa

    Askofu Bagonza: Mfano wa "REFORM" ya Rais Samia ni kama hivi anavyowahusisha "PPP" katika ujenzi wa barabara ya Kiberashi mpaka Singida(340kms)

    4R's za mh.Rais Samia zina mawanda mapana sana. REFORM: Huko nyuma hatukuona ujenzi wa barabara zetu wakipewa "PPP-ubia wa sekta binafsi na serikali" zaidi ya hatua za wizara ya uchukuzi(ujenzi)pekee. Mh.Rais Samia amekuja na mikakati hii mipya akiichagiza "REFORM" kwa kuihusisha "PPP" na...
  12. Y

    Hatimaye zigo la Bandari ya Bagamoyo atwikwa PPP

    :::::: Serikali ya Tanzania kupitia kwa Waziri wake wa Mipango na Uwekezaji Prof Kitila Mkumbo imeliambia Taifa hilo kuwa Ujenzi na Uendeshaji wa Bandari ya Bagamoyo bado haujaanza na kama utaanza basi Serikali hiyo itaufanya mradi huo kwa sharti la Ubia kati yake na Sekta binafsi yaani PPP...
  13. milele amina

    Kafulila asipodhibitiwa ataudanganya Umma kupitia PPP, akilenga kueneza uelewa potofu kuhusu mfumo wa Ushirikiano Kati ya Sekta ya Umma na Binafsi

    Kafulila asipozibitiwa anaudanganya Umma kupitia PPP, akilenga kueneza uelewa potofu kuhusu mfumo wa ushirikiano kati ya sekta ya umma na binafsi. Katika kipindi hiki, ni muhimu kuelewa kwamba PPP siyo mpango wa kupeleka fedha nyingi kwenye miradi bila uangalizi, bali ni njia ya kuimarisha...
  14. B

    Anayefahamu Mradi wowote ulioanzishwa chini PPP ya David Kafulila atufahamishe, mimi siujui hata mmoja, ni Mwingi wa maneno tu

    Partnership (PPP) in Tanzania is a collaboration between the public and private sectors to deliver public services or infrastructure. PPPs are a way to combine the public sector's oversight with the private sector's expertise. How do PPPs work in Tanzania? The private sector renovates...
  15. Megalodon

    PPP Projects nyingi huamuliwa kwenye migahawa: Expression of Interest ni KICHAKA cha Ufisadi

    Kwa namna yoyote ,Ununuzi ni lazima ufuatishe Sheria ya Ununuzi wa Umma ya Mwaka 2023(R.E), ACT NO. 10 pamoja na kanuni zake Na. 518 ya mwaka 2024. Aidha, Kwenye Sheria ya Ununuzi wa Umma, PPP ni among 9 procurement methods zinazopatikana kwenye sheria ya Ununuzi. Kwa maana hiyo, PPP ni...
  16. J

    Prof Kitila: Bajeti ya 2025|26 miradi mikubwa itatekelezwa kwa PPP

    WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema Bajeti ya mwaka 2025/2026 kipaumbele kikubwa kitakuwa ni utekelezaji wa miradi mikubwa kwa ushirikiano na Sekta Binafsi na Umma (PPP), ili kukuza uchumi kwa kasi. Prof. Kitila Mkumbo, amesema hayo mbele ya Kamati...
  17. ChoiceVariable

    David Kafulila: Kampuni ya COVEC ya China kumwaga Tsh. Trilioni 2.7 kujenga barabara 10 za kulipia Jijini Dar kwa njia ya PPP

    Akizungumza mwishoni mwa wiki, kamishna wa Miradi ya PPP bwana David Kafulila amesema kampuni ya COVEC ya China inapanga kutumia zaidi ya Trilioni 2.7 ($1bln) kwaajili ya kujenga Barabara 10 za mzunguko wa Nje Jijini Dar Kwa lengo la kupunguza Msongamano. Barabara hizo ambazo hazijaainishwa...
  18. L

    Hizi ndizo Faida za PPP na Faida yake kwa Taifa kama anavyofafanua David Kafulila. Tuipe Nguvu PPP itasaidia kuongeza wigo wa kodi na mapato

    Ndugu zangu Watanzania, Ningependa kusema kuwa PPP (Public Private partnership)yaani ubia kati ya secta ya Umma na binafsi ni mkombozi na mfumo ambao unaweza kutusaidia sana katika kuharakisha miradi mbalimbali ya kimaendeleo. pamoja na kuvutia mitaji mikubwa mikubwa ya mabilioni ya pesa...
  19. I

    Kwanini TANESCO wasiruhusu sekta binafsi kusambazia umeme wananchi majumbani?

    Katila jambo ambalo huwa linanifikirisha mpaka leo, ni jinsi ambavyo wateja wanaotaka kuunganishiwa umeme ni wengi sana, lakini Tanesco imeshindwejekuwafikia. Na wale wanaounganishiwa umeme,basi kasi ni ya kusuasua sana, tena wengine ni mpaka watumie njia ya mkato. Hii ina maana Tanesco, pamoja...
  20. Richard

    Miradi ya PPP iliyopo katika tovuti ambayo yahitaji wawekezaji wa nje, kwanini wawekezaji wakimbilia Tanesco pekee ambayo haimo hata kwenye orodha?

    Miradi ifuatayo ambayo imeorodheshwa katika tovuti ya PPP ni miradi ambayo yatafutiwa wawezekazi wa nje. Sasa kwanini Tanesco imeingizwa humo na kuanza kupigiwa debe sana huku miradi kama hoteli ya hadhi uwanjani JNIA na "shopping centre" hapohapo ikiwa bado yadoda? Ifuatayo ni miradi hiyo...
Back
Top Bottom