polisi

  1. JamiiForums Tanzania Ukweli kukamatwa kwa Matola, Vurugu walizofanyiwa Simba SC, Mkuu wa Mkoa Mwanza, Said Mtanda atajwa kwenye sakata hilo

    PIA SOMA - Simba yalaani matumizi ya Polisi kuwazuia kufanya mazoezi katika uwanja wa CCM Kirumba kuelekea mchezo wa dhidi ya Pamba
  2. JamiiForums Tanzania Khamis Luwongo: Niliwadanganya polisi kifo cha mke wangu, niachieni nikamtafute yupo hai

    Bado huyu jamaa ambaye anasota na kesi ya mauwaji ya mke wake. Lakini kila wakati ananiacha mdowo wazi na maswali mengi kwa namna anavyojibu na kuikwepa kesi yake hii. Leo kasema mengine Alidai kuwa mawakili wa serikali wanataka ahukumiwe kunyongwa, akihoji "vipi nikihukumiwa kunyongwa halafu...
  3. JamiiForums Tanzania Mwanariadha wa Jeshi la Polisi ang’ara nchini Uingereza, avunja rekodi

    Mwanariadha wa Jeshi la Polisi, Konstebo Transfora Mussa ameibuka mshindi wa kwanza kwa upande wa Wanawake kupitia mbio za kilometa 10 katika mbio za Fulham 10k zilizofanyika Nchini Uingereza Novemba 17, 2024 huku akifanikiwa kuvunja rekodi iliyokuwa inashikiliwa kwa kukimbia muda mfupi zaidi...
  4. JamiiForums Tanzania LGE2024 Polisi Makambako: Tutaimarisha ulinzi kipindi chote cha kampeni Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Wakuu, Jeshi la polisi Halmashauri ya mji Makambako,limesema kuwa limejipanga vyema kuimarisha ulinzi na usalama katika kipindi cha chote cha kampeni ili vyama vyote vya kisiasa vifanye kampeni zao kwa usalama bila kupata changamoto yoyote. Hayo yameelezwa na Mrakibu mwandamizi wa polisi...
  5. JamiiForums Tanzania KERO Kituo cha Daladala Mbezi Mwisho hakina mpangilio wa huduma: TANROADS, Jeshi la Polisi, DED Ubungo na Ofisi ya RC ujumbe huu unawahusu

    Kituo cha Daladala cha Mbezi Mwisho ni mojawapo ya vituo vikubwa na vyenye umuhimu mkubwa Jijini Dar es Salaam. Kituo hiki kinapokea abiria kutoka maeneo mbalimbali ya jiji na pia kinahudumia abiria wanaosafiri kupitia Stand Kuu ya Mabasi ya Kimataifa ya Magufuli. Pamoja na umuhimu wake mkubwa...
  6. JamiiForums Tanzania Hii imekaaje, Polisi kuvaa fulana za ACT Wazalendo ?

    Wakuu nimecheka kwa uchungu sana, nipo hapa Manispaa ya Kinondoni, Katika kufuatilia majina ya Wagombea wa Chama changu. Lakini cha kushangaza Mapolisi walikuwa wamevaa fulana za ACT Wazalendo halafu wanajifanya ni Wanachama wa Chama cha ACT Wazalendo wakiwatuliza Wanachama wa CHADEMA eti...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wananchi kupata elimu juu ya muonekano halisi wa vitambulisho vinavyowatambulisha Polisi

    Je, wananchi wanapaswa kutambua mounekano halisi wa vitambulisho vya jeshi la Polisi ili kuepuka hatari ya kutekwa na watu wasio julikana. Swali vitambulisho hivyo vinaonekanaje kwa mfano wa picha?
  8. JamiiForums Tanzania Polisi wamsafirisha Niffer hadi Dar kutokea Dodoma baada ya kujisalimisha kufuatia agizo la Waziri Mkuu la kukamatwa

    Jeshi la Polisi limemsafirisha kwenda jijini Dar es Salaam mfanyabiashara wa mtandaoni, Jenifer Jovin maarufu Niffer baada ya kujisalimisha polisi jana. Mfanyabiashara huyo alijisalimisha kwa Jeshi la Polisi jana baada ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuagiza Jeshi hilo kumhoji kwa kosa la...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kasimu Majaliwa: Polisi Mtafuteni Mmiliki wa Jengo

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Waziri Mkuu wetu wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mheshimiwa Mwalimu Kasimu Majaliwa ametoa maagizo kwa jeshi la Polisi kumtafuta mmiliki wa jengo ambalo limeanguka na kusababisha vifo vya karibu watu 15 mpaka hivi sana na majeruji kadhaa . Waziri Mkuu...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa mahojiano haya ya Deo Bonge na Ayo, atakuwa 'amefinywa'? Asema aachwe apumzike, analiamini Jeshi la Polisi kufanya kazi yake

    Wakuu, Millard kafanya mahojiano na bonge kueleza kwa undani kilkchotokea. Tunamjua Millard🌚🌚... mnasemaje wakuu? Wazee wa kusoma kuread between the lines na kuangalia body language, ukiangalia maswali ya Ayo TV na majibu ya Bonge, unapata conclusion gani? Naomba pia ujikumbushe kwenye uzi...
  11. JamiiForums Tanzania Sativa ashauriwe apunguze kuwadhihaki Polisi

    Naombeni niweke wazi, mimi sio askari wala siko upande wao!! Najua maumivu anayoyapitia Edgar Mwalebela ( Sativa ) baada ya kutekwa na kunusurika kuuwawa mwaka huu. Sasa jamaa yetu amekuwa akishambulia askari yoyote kwa lugha ngumu na kali. Naomba ashauriwe apunguze kufanya hivyo, achague...
  12. JamiiForums Tanzania Sengerema: Polisi awanasa wanafunzi wa kifanya biashara muda wa masomo

    Ujira kwa watoto bado upo, na hii inasababishwa na hali duni ya familia zao ambapo inabidi waingie nao mtaani kujitafutia riziki wakale wao na famila zao. ==================== Baadhi ya wanafunzi wa shule za msingi Sengerema na Mwamondi zilizopo kata ya Dutwa wilayani Bariadi wamekutwa na...
  13. JamiiForums Tanzania Nini huwa madhumuni ya polisi wasio na sare(plain clothes police) kukamata watu?

    Hivi Kwenye muongozo rasmi wa utendaji(PGO) ya police kuna muongozo wa polisi wasiovaa sare kukakamata raia watuhumiwa? Kuna muongozo wa polisi kufanya ukamataji wakiwa na gari ambazo hazina namba rasmi za polisi? Lakini hata kabla hatujaenda kwenye muongozo wa polisi tukifikiria tu kwa common...
  14. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Biashara ya kujiuza Mwanza ni kero, Mamlaka na Polisi wanapotezea, Watoto wanashuhudia mambo ya ajabu

    Biashara ya kuuza mwili ni moja ya biashara ambayo inapigwa vita na Jamii ikiwemo Mamlaka mbalimbali lakini pamoja na hivyo imeendelea kufanyika kwa njia tofauti maeneo mbalimbali Nchini. Jijini Mwanza, biashara hii imekuwa ikifanyika kama vile imehalalishwa hasa maeneo ya Kirumba na Igoma...
  15. JamiiForums Tanzania Polisi Wazuia Mikutano ya ACT Wazalendo, Same kwa Maagizo ya Serikali

    Jeshi la Polisi Wilaya ya Same limetangaza kusitisha mikutano ya hadhara ya Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu, ambayo ilitarajiwa kuanza Novemba 13, 2024. Hatua hii inakuja kufuatia maagizo kutoka kwa ofisi ya serikali ya mkoa inayozuia mikutano ya hadhara kabla ya tarehe rasmi...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini polisi wanaingilia misuguano ya kisiasa kila wakati nini maana ya kuwa na vyama vingi?

    Misuguano kidogo tu polisi washatoa barua. Hii nchi ina mfumo wa vyama vingi na ni kawaida kushindana kisiasa. Uchaguzi wa serikali za mitaa mnaandika barua za nini? Mimi sio mfuasi wa chama chochote cha siasa ila kama mtanzania naona watu wanastahili kuwa na uhuru wa majadiliano na...
  17. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi ni fedheha dhidi ya demokrasia nchini

    Kulizungumzia Jeshi la Polisi Tanzania haimaanishi kutishia ama kuingilia usalama wa nchi. Soma hii taarifa yao hapa chini Pia soma: LGE2024 - Polisi: Kuna chama cha Siasa kinapanga kufanya Vurugu katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Siyo mara ya kwanza polisi kutoa tuhuma ambazo hawajawahi...
  18. JamiiForums Tanzania LGE2024 Kilimanjaro: Inadaiwa Polisi wakitumia gari ya Mwenyekiti wa Halmashauri wameenda kubandika orodha wagombea nje ya muda kinyume na sheria

    Wakuu, Hilda Newton wa CHADEMA aandika haya kupitia ukurasa wake wa X "Askari Polisi wenye silaha za moto, wakitumia gari la Mkit wa Halmashauri, wamefika Kata ya Machame Narumu, saa 11:20 jioni na kubandika orodha ya wagombea nje ya muda wa kisheria. "Wagombea wote wa CHADEMA wameenguliwa...
  19. JamiiForums Tanzania CP Awadhi afunga mafunzo ya Wakuu wa Polisi Wilaya - Moshi

    Kamishna wa Operesheni Mafunzo wa Jeahi la Polisi CP Awadhi Juma Haji Leo Novemba 8,2024 amefunga mafunzo ya siku tano kwa Wakuu wa Polisi Wilaya zote Tanzania Bara na Visiwani. Mafunzo hayo yamefanyika katika Shule ya Polisi Tanzania Moshi Mkoani Kilimanjaro. Wakati akifunga Mafunzo hayo CP...
  20. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mbeya: Jeshi la Polisi lawataka Wananchi, Wagombea kutii Sheria bila shuruti ili kuepuka kuchukuliwa hatua za kisheria

    Kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024, Jeshi la Polisi linawataka wananchi, wagombea na wafuasi wa vyama vya siasa kutii sheria bila shuruti ili kuepuka kuchukuliwa hatua za kisheria ikiwemo kukamatwa na kufikishwa mahakamani. Aidha, Jeshi la Polisi Mkoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…