polisi

  1. JamiiForums Tanzania BBC: Habari za Polisi wa Tanzania kuhusu ukatili wa Oct 29 zimesomwa sana kwenye chombo chao hicho cha kimataifa

    BBC: Habari za polisi wa Tanzania kuhusu ukatili wa Oct 29 zime somwa sana kwenye chombo chao hicho cha kimataifa cha BBC.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi, hakuna AMANI as long as hakuna HAKI

    Mmetoa pongezi kwa wananchi kuwa wametunza amani. Ukweli ni huu: Watu bado wanatafakari the way forward baada ya vifo vya watu 10,000 ( as per current unconfirmed testaments). As long as hamjatenda HAKI, basi hakuna AMANI watu wamepoa kidogo wanatafakari what next! HAKI HAKI HAKI then AMANI...
  3. JamiiForums Tanzania Tetesi: Wanajeshi na polisi mliopo Majani Ya Chai muwahisheni raia mliyegonga na gari hospitali. Tumewaona!

    Ni tukio la dakika tano. Kuna raia amegongwa kama sio na polisi waliopo doriaa hapo majani ya chai itakuwa ni Jeshi maana wote wapo eneo la tukio na wanauzoa mwili na kufuta futa damu Ili kupoteza ushahidi. Tafhadhali mpelekeni hosptali huyo Mtanzania haraka sisi jirani tunawaona kwa madirishaa
  4. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Tabora lawahakikishia ulinzi na usalama kuelekea sikukuu za mwisho wa mwaka

    Jeshi la polisi mkoani Tabora limewahakikishia wananchi ulinzi na usalama katika sherehe za Krisimasi na Mwakampya.. Akizungumza na Waandishi wa habari leo Disemba 24, 2025 Kamanda wa polisi mkoa wa Tabora,Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa polisi, Richard Abwao amesema jeshi la polisi litaendesha...
  5. JamiiForums Tanzania Polisi wamekuwa na mamlaka makubwa,Yani siku hizi wakikukamata upelekwi mahakamani unaenda jela

    Ina maana polisi wamekuwa daraja ambalo wao ndio mahakama sasa,walikuwa wana jificha ia wapo wazi. Wanaweza kukamata mtu bila kumpa maelezo kosa lake,wakakushikiria watakavyo,wakaomba pesa kama msamahaa,wakaamua ufe au wakufanye chochote,wakaamua kukupeleka gerezani kama ni sehemu yao,wakaamua...
  6. JamiiForums Tanzania Mwanza: Askari wa JWTZ Ashushiwa Kichapo na Askari Polisi

    Alikuwa ndani ya bajaji kama abiria, mbele bajaji ikasimamishwa na polisi kwa ukaguzi, askari wa JWTZ (jeshi namba 6 kwa ubora duniani) akashuka na sare zake akawa anamwamrisha polisi awaachie, polisi akagoma yule mwamba wa JWTZ akamsukuma polisi hadi akaanguka. Baada ya kuinuka alimtembezea...
  7. JamiiForums Tanzania Nimeota polisi wengi wamekufa kwenye ajali, mashuhuda wanashangilia!!

    Ndugu zangu sipo hapa kupiga siasa au kuchochea chuki, bali ni kuleta ndoto yangu niliyoota usiku wa kuamkia leo Nimeota gari la askari limepata ajali, wakafariki askari wengi sana. Basi watu walioshuhudia ajali ile wakaanza kushangilia kwa kuruka ruka. Wanaonekana kufurahia ile ajali na vile...
  8. JamiiForums Tanzania Polisi yawaonya wanaotumia baruti, fataki kiholela

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limetoa tahadhari kali kwa wananchi wenye tabia ya kupiga baruti au fataki bila vibali vya kisheria, likisisitiza kuwa hatua za haraka za kisheria zitachukuliwa dhidi ya mtu yeyote atakayebainika kuvunja sheria na kusababisha hofu au usumbufu kwa...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Polisi: Uchunguzi kifo cha MC Pilipili bado unaendelea

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limeeleza kuwa linaendelea kufanya uchunguzi wa kifo cha aliyekuwa msanii maarufu wa vichekesho na mshereheshaji, Emanuel Mathias, maarufu MC Pilipili kilichotokea mkoani Dodoma. Akizungumza mapema leo Desemba 22,2025 jijini Dodoma, Kamanda wa Polisi mkoani humo...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Polisi kushirikiana na nyumba za ibada ili kuzuia vitendo vya kihalifu kuelekea msimu wa sikukuu

    Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa kanda maalum ya Dar es salaam, Jumanne Muliro ameeleza kuwa wameanza ukaguzi wa kushtukiza kwa madereva wa magari wenye dalili za kutaka kusababisha ajali. Pia ameeleza kuwa wamejipanga kushirikiana na nyumba za ibada ibada ili kutanzua uhalifu...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini Polisi hawafugi ndevu?

    Oy hope mko fiti. Ebhana kuna vitu hua tunajua vipo namna fulani lakini sababu hasa hua hatujui, binafsi sijawahi kupata ufafanuzi kwanini askari wetu hawaruhusiwi kuwa na ndevu. Hebu Leo tupate ufafanuzi itakua poa sana kama moja wa wadau ambae ni askaari wetu akatupa ufafanuzi kwa lengo la...
  12. JamiiForums Tanzania Polisi Songwe: Henry Mboya alikamatwa kwa tuhuma za jinai zinazomkabili. Alikutwa na bastola bandia na koti moja lenye nembo ya SUMA JKT

    Jeshi la Polisi mkoa wa Songwe limetoa ufafanuzi kuhusu taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu Henry Mboya, zikidai kuwa hajulikani alipo baada ya kukamatwa na Polisi. Taarifa iliyotolewa leo Disemba 21 na Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe imesema kuwa Henry Mboya, Mkazi wa...
  13. JamiiForums Tanzania Lini polisi wa Tanzania. Wamewahi kuwa wa kweli?

  14. JamiiForums Tanzania Ajali ya gari la polisi imetokea uwanja wa ndege Dar

    Ajali hii imetoa ujumbe mbaya sana wa chuki ya wananchi kwa Polisi yaani Polisi wanaomba Masaada raia wanaangalia tu, sijawahi kuona hii kwenye Taifa langu ila leo nimeona kwa macho yangu, hii ni mbaya sana kwenye nchi yetu kiwango cha chuki kwa wananchi ni kikubwa sana, nchi yetu inahitaji...
  15. JamiiForums Tanzania Askari kutoheshimu sheria za nchi na kufanya uhalifU, utekaji kwa maslahi ya mtu mmoja sio ukomando

    Askari kutoheshimu sheria za nchi na kufanya uhalifu, mauwaji, utekaji kwa maslahi ya mtu mmoja sio ukomando ni ujinga na uchizi wewe ni mwehu.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya leo, ni mara mia ukutane na majambazi kuliko Polisi?

    Tangu Camilius Wambura akiwa ZCO pale Dar (enzi za Magufuli), vitendo vya utekaji vilishika kasi. IGP wa wakati huo alijitahidi kudhibiti, lakini wapi. ZCO wa wakati huo (Wambura) alikuwa kwenye kikosi maalumu kilichokuwa kikiripoti kwa Rais (Task Force). Kikundi hiki tulikipigia kelele lakini...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Video ikionesha namna Nicodemus alivyokamatwa na watu waliojitambulisha kuwa ni Polisi

    Wakuu SI niliona Simbachawene hivi karibuni alionya mwenendo wa aina hii ya ukamataji? au ndiyo sikio la kufa? === WATU WANAOPIGANIA HAKI WAMEKUWA WANYAMA TANZANIA Hivi ndivyo Polisi walivyo mchukuwa Nicodemus Julius loyore Amekamtwa jana ofisini kwake walienda watu waliovaa kiraia...
  18. JamiiForums Tanzania Ni usiku sasa, Wanajeshi rudini mkalale Polisi wafanye doria kuwalinda

    Ndugu zangu wa JWTZ, ni muda wa kwenda kulala, yes kalaleni kwa amani, polisi wapo kwaajili ya kuwalinda wala msiogope. Pumzikeni baada ya kazi ya kupasua matofali kwa kichwa. Mkikamatwa mnazurura msije mkalaumu, si mnamjua kamanda Mafwele, kiboko yenu?
  19. JamiiForums Tanzania Tutengeneze shida ili wasahau mambo ya siasa

    Tuwatengenezee shida ya maji kwa kusingizia mambo ya mvua .Tuzuie vyakula kutoka kwa wakulima kuingia mijini ili tuseme Kuna uhaba wa chakula watu waweke hifadhi za chakula..Tuwakatie umeme makusudi na tufanye mgao katika baadhi ya maeneo. Halafu tukishafanikiwa kuhamisha ajenda za vijana...
  20. JamiiForums Tanzania Tanzania ya sasa sio sehemu salama kwa mtu yoyote, ukikamatwa na polisi wanaweza kukuumiza na wasifanywe chochote mageuzi ni lazima

    Tanzania ya sasa sio sehemu salama kwa mtu yoyote, ukikamatwa na polisi wanaweza kukuuwa na wasifanywe chochote mageuzi ni lazima. Lazima tuandamane kudai uhuru na haki, na uwajibikaji.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…