polisi

  1. JamiiForums Tanzania DOKEZO Huu ukatili ni zaidi ya Unyama, Polisi chunguzeni mapema

    Leo asubuhi nimekutana na video mbili zinazosambaa sana mitandaoni ambazo kwa kweli zinahuzunisha na kusikitisha. Video hizo zinaonyesha vijana wawili wakipigwa vibaya kwenye miguu yao kwa kutumia mpini, hali inayoonekana kuwa ni mateso ya kikatili yasiyo na utu. Kwa sasa, haijulikani tukio...
  2. R

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Polisi Uganda wamemkamata mwandishi Yousra Elbagir kwa kurekodi askari wakipiga wafuasi wa Bobi Wine

    Mwandishi wa Sky News anayehusika na masuala ya Afrika, Yousra Elbagir, pamoja na timu yake, wamekamatwa na vyombo vya usalama vya Uganda baada ya kunaswa wakirekodi askari wa polisi na jeshi wakipiga na kuwatesa wafuasi wa kiongozi wa upinzani Bobi Wine. Hivi karibuni Yousra Elbagir alimfanyia...
  3. JamiiForums Tanzania Arusha: Polisi wakanusha taarifa za kuchomwa Kwa nyumba ya polisi

    POLISI WAKANUSHA TAARIFA YA KUCHOMWA KWA NYUMBA YA ASKARI ARUSHA. Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limekanusha taarifa inayosambaa katika mtandao wa kijamii ikieleza kuwa nyumba ya kiongozi wa Polisi Mkoani humo imechomwa moto. Akitoa taarifa hiyo leo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Kamishna...
  4. JamiiForums Tanzania CP Faustina Shilogile: Ukimuona polisi chukulia kama umemuona ndugu yako

    Wananchi wa Mkoa wa Geita wamehimizwa kuacha tabia ya kuwaogopa askari polisi na badala yake wawaone kama ndugu wanaowalinda, si maadui. Wito huo umetolewa na Kamishna wa Polisi Jamii Tanzania, CP Faustina Shilogile, katika mkutano na makundi mbalimbali ya jamii wakiwemo waandishi wa habari...
  5. JamiiForums Tanzania Urafiki wa polisi na raia umeharibika sana kwa sababu ya matukio kama haya ya watu kufia mikononi mwao kwa mateso na ukweli unageuzwa

    Siku chache baada ya mahabusu Michael Rambau (18), kudaiwa kujinyonga ndani ya Kituo Cha Polisi Kati-Moshi, mkoani Kilimanjaro, waombolezaji waliokuwa wamekusanyika leo nyumbani kwa wazazi wa marehemu huko Rau, Manispaa ya Moshi ili kushiriki ibada ya maziko yake, wanadaiwa kumfukuza na kumzomea...
  6. JamiiForums Tanzania PostGE2025 DW yathibitisha aina ya Risasi zilizotumika kwenye mauaji ya Oktoba 29, 2025 zilikuwa ni za Polisi na Jeshi la Tanzania

    https://www.youtube.com/watch?v=-ZZrAoiAmqc Uchunguzi wa DW umebaini ushahidi wa kuaminika unaoonyesha kuwa vikosi vya usalama vilitumia nguvu za kikatili dhidi ya raia wakati wa vurugu zilizofuata uchaguzi wa Oktoba 29 nchini Tanzania. Maandamano yalizuka katika miji mikubwa ikiwemo Mwanza...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Solomon Kampala: Bobi Wine afanikiwa kutoroka kwenye jaribio la kutekwa akiwa nyumbani kwake

    Baada ya kudaiwa kuwa Mgombea Urais Bobi Wine amechukuliwa na vyombo vya usalama na kupelekwa kusikojulikana hapo jana, Solomon Kampala ameandika kupitia mtandao wa X kuwa alifanikiwa kutoroka wakati wa shambulio la polisi na Wanajeshi wa UPDF waliokuwa wamezunguka makazi yake na kuzuia kabisa...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kufuatia Polisi kuwapiga Raia huko Nandi Hill, Mamalaka Huru ya Kusimamia Polisi yaanza Uchunguzi

    Mamlaka Huru ya Usimamizi wa Polisi (IPOA) imeanza uchunguzi baada ya video ya CCTV ya dakika nane, inayoonyesha polisi wakiwashambulia vijana katika ukumbi wa pool table wa Nandi Hills, kusambaa mitandaoni na kuzua hasira ya umma. Video hiyo, inayoonekana kurekodiwa saa 5:50 usiku wa tarehe 10...
  9. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Jeshi la Polisi kitengo cha kufuatilia simu zilizoibwa bora kifutwe tu, hakitimizi majukumu inayovyotakiwa

    Baadhi ya Polisi wanatuibia sana, mara kumi kitengo cha kui-track simu ikipotea kiondolewe rasmi, sio uongo wala nini, mara zote tukiibiwa simu tunaenda kuripoti Polisi. Loss report kwanza kwenye vituo tunatoa zaidi ya Sh. 10,000 na kiukweli huwezi ku-report popote zaidi ya hapo. Haya unatoa...
  10. JamiiForums Tanzania Ambulence hatuna ila magari ya bei mbaya ya polisi tunayo!

    Nimeona polisi wa Uganda na wanajeshi wanavyotesa wapinzani. Wana magari ya bei mbaya na mitulinga usipime. Nimekumbuka hapa kwetu. Pesa ya kuwanunulia magari polisi wa kupiga na kuua waandamanaji inapatikana ila siyo ya kununulia ambulansi, vitabu mashuleni, kuleta maji nk.
  11. JamiiForums Tanzania Responded RC Makala aagiza TARURA, TANROADS na Polisi kuondoa foleni Arusha, TARURA yatangaza kufuta 'stendi bubu'

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. CPA Amos Gabriel Makalla ameiagiza Wakala wa barabara za Mijini na Vijijini (TARURA) Mkoa wa Arusha, Jeshi la Polisi pamoja na Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) kushughulikia kadhia ya foleni kwenye Jiji la Arusha kwa wakati ili kuondoa vikwazo katika shughuli za...
  12. JamiiForums Tanzania Peter Madeleka: Jaji Mkuu hatakiwi kuomba ulinzi, polisi wanawajibika kwake

    Wakili wa kujitegemea, Peter Madeleka, ameshangazwa na majaji kulalamika mbele ya Rais kuhusu usalama wao, akisisitiza kuwa kisheria, vyombo vya ulinzi na usalama ni vyombo vya Dola na si mali ya Rais au Serikali pekee. Akizungumza na Jambo TV leo, Januari 14, 2026, Madeleka amefafanua kuwa...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Askari wa kituo cha Polisi Bunju mlizingua, mliyemrudisha nyumbani kafariki kwa kipigo

    Mwezi wa 12,2025 alikuja mama kituoni kulalamika aliyekuwa mume wake jinsi alivyokuwa akimpiga mara kwa mara na kumtishia kumuu. Badala ya kumpa msaada mkamjibu malalamiko yake ni kesi ya kifamilia wakamalizane wenyewe nyumbani ikambidi arudi nyumbani kweli, mlishindwa hata kumuelekeza kwenda...
  14. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Mchezo wa Kirafiki au Jaribio la Kusafisha Taswira?

    Leo tarehe 11 Januari 2026, Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limetangaza mechi ya kirafiki itakayochezwa majira ya saa 10:00 jioni katika uwanja wa Manispaa ya Kinondoni (KMC), Mwenge. Mchezo huo unawakutanisha timu ya Tanzania Sport Influencer—iliyoundwa na mashabiki wa Azam, Simba na...
  15. JamiiForums Tanzania Polisi kumshikilia Mwandambo bila kumpeleka mahakamani, kumpa dhamana wala kujulikana alipo ni utekaji wa raia wa wazi na hauvumiliki

    Polisi kushikiria mwandambo bila kumpeleka mahakamani wala kumpa dhamana wala kujilikana alipo ni utekaji wa raia wa wazi na hauvumiliki. Inakuwaje mtu anatekwa kituo cha polisi ? Kuna vitendo vya polisi kuuwa na kuteka watu sasa hivi wameshindwa kuficha kuwa wao ndio watekaji na waasi dhidi...
  16. JamiiForums Tanzania Polisi wa doria mitandaoni, mlikuwa wapi wakati Wachina wanakwapua Bl 6 kutoka kwenye Akaunti za watu?

    Ilinishangaza kidogo wale wanaojiita Polisi wanaofanya doria mitandaoni walishindwa kabisa kujua hili wachina juzi walifikishwa mahakamani wakidaiwa kukutwa na minoti kwenye masandarusi huko MASAKI tena kwa washua kabisa. inadaiwa wachina hao walikuwa wakiiba pesa toka kwenye ATM usiku yaani...
  17. JamiiForums Tanzania TANZIA Askari Polisi maarufu kwa jina la Kaka Jambazi afariki dunia

    Alert🚨🚨🚨 Alert🚨🚨🚨 Alert🚨🚨🚨 .............................................................,.. 👉Huyu ni miongoni mwa Maaskari Washenzi na watekaji Huko Tanga alijulikana kwa Jina la Afande Kaka Jambazi, Namshukuru Mwenyezi Mungu kainyofoa Roho yake mapema sana💪💪 Jeshi la Polisi linatumika vibaya...
  18. R

    JamiiForums Tanzania My take: Kosa lake ni kuwa na msimamo wa kuwadhibiti polisi na ukatili! Soft tone na kuwakaripia polisi hakuipenda

    Kuwa advocate wa haki na kuwa na soft tone with the mass kua mkali na mapolisi na utendaji wao wa kazi usiozingatia PGO imemponza. Alionesha kuwa na mrengo wa kulia wa sympathy with people. Hiyo haitakiwi. Uwe katili! Chawene ni kuwa na msimamo wa kuwadhibiti polisi na ukatili! Soft tone ya...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Polisi kuanza uchunguzi vifo vinavyodaiwa kuhusisha Askari- Tarime, Arusha na Rufiji

    AARIFA KWA UMMA UCHUNGUZI WA MATUKIO MATATU YA VIFO Jeshi la Polisi linafanya uchunguzi wa matukio matatu ya vifo vilivyotokea kwa nyakati tofauti Tarime/Rorya, Jijini Arusha na Rufiji. Tukio la kwanza ni la kifo cha Dickson Tadeus Joseph, mkazi wa Rebu Senta Wilayani Tarime kilichotokea...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Afisa wa Cheo cha juu wa Jeshi la Polisi Auawa Iran, Kulipiza Kisasi cha Mauaji ya Polisi kwa Waandamanaji

    Taarifa za karibuni ni kwamba waandamanaji wamefanikiwa kumwua afisa wa juu wa jeshi la polisi, mmoja wa watoa amri kwa maafisa wa chini. Afisa wa polisi aliyeuawa ni Luteni Shahin Dehghan. Naonawananchi wa Iran wameamua kupambana na mzizi wa fitina badala ya polisi wa kawaida. Na hakika, kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…