polisi tanzania

Polisi Tanzania (Polisi Morogoro) is a football club in Morogoro, Tanzania.The 2015/16 season they are playing in the Tanzanian First Division League. They previously played in the top level of Tanzanian professional football, the Tanzanian Premier League.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    Pongezi na Mapendekezo kwa Jeshi la Polisi Tanzania

    Napenda kutoa pongezi la dhati kwa jeshi la polisi Tanzania kwa kazi kubwa, ngumu, na yenye hatari mnayoifanya kila siku katika kulinda amani na usalama wa wananchi. Huu ni ushuhuda wa jitihada zenu, uvumilivu, na dhamira ya kutekeleza majukumu yenu kwa uadilifu. Hata hivyo, napenda kutoa...
  2. Ponjoro wa Kinondoni

    Jeshi la Polisi Tanzania huenda likawa Jeshi namba 1 duniani kwa umahiri

    1. Wakati wamarekani wamemteka Maduro kama kuku, jeshi la polisi Tanzania wiki chache zilizopita lilifanikiwa kumtia mbaroni mwanajeshi wa Marekani tena akiwa na silaha na Trump ameogopa kuongea chochote maana anajua nini kingempata. 2. Umahiri wa kamanda Mafwele na Afande Muliro. Hii...
  3. figganigga

    Polisi Tanzania hawaiamini Mahakama? Wanahukumu kifo wenyewe. Washaua watu 4

    Polisi wameua watu 4 kwa siku moja. Sasa hivi Polisi wanachukulia Binadamu kama kuku. Wanakuua muda wowote wanapojisikia na hakuna cha kufanya. Na ukienda kufuatilia, uliyeenda kufuatilia unauawa pia. Nchi haina mwenye. Watu wanne wanaodhaniwa kuwa majambazi wamefariki dunia wakati...
  4. M

    Ni wakati wa Dunia kuanza kulitambua Jeshi la Polisi Tanzania kama Kundi la Kigaidi

    NI wakati wa kupaza Sauti dunia nzima kuwa Tanzania sio Salama kwa wageni na Wenyeji, Ni wakati wa kusema Tanzania tuna State sponsored terrorist organization. Makundi ya kigaidi huteka, huua. Kwa taarifa zilizopo Tangu October 29 Watu waliotekwa na Waliouliwa na Kundi hili ni kubwa kuliko...
  5. Genius Man

    Genge la polisi ni kikundi cha kigaidi nchini Tanzania, watekaji na wauwaji na ndio wasiojulikana

    Genge la polisi ni kikundi cha kigaidi nchini Tanzania watekaji na wauwaji na ndio wasio julikana. Kinapaswa kutambuliwa kama kikundi cha kigaidi Africa na sio chombo cha usalama.
  6. Kijukuu cha ngoyayi

    TUMETOKA KWENYE POLISI TANZANIA MPAKA HUKU?

    Hizi message wanazotuma mbona zina heading tatanishi
  7. Mkalukungone Mwamba

    Kwa nini polisi inapost kauli za Mwigulu? Wanaingiaje kwenye maswala ya bunge na waziri mkuu?

    Kwenye IG ya Polisi Tanzania wanaposti hotuba za waziri mkuu mteule Mwingulu Nchemba kwa misingi ipi? Mbona wanaleta mambo ya Polisiccm na siasa za uchawa. Yani tumeshindwa kuelewa Basi kama walitaka kumpost wangetengeneza post ya kumpongeza kuliko kufanya uupuzi wao kama huu. Na hii si mara...
  8. Kimbesa11

    Jeshi la Polisi Tanzania litabaki kuwa jeshi bora duniani, hongereni kwa kufanya kazi kizalendo

    Sote tumeona uzalendo na utendaji KAZI mzuri wa jeshi letu la Polisi, tumeona kujituma kwenu katika kulinda na kutetea Mali zetu zisiibwe au kuharibiwa na majangiri kwa kivuri Cha maandamano. Hamkuruhusu majangiri na vibaka waendelee kuchoma moto na kuharibu maduka yetu, popote mlipo mlipigania...
  9. B

    GE2025 Siri ya wageni wasio wageni walioshriki mauaji ya raia, dhana hiyo siyo ngeni duniani

    PROPAGANDA YA UWEPO WA WAGENI, NI MFU NI VYOMBO VYETU NDIYO HAO "WAGENI' AMBAO HATA SAMIA ALIDAI WAPO NCHINI Katika ulimwengu wa vyombo vya usalama, kujitungia lugha isiyoeleweka na wenyeji siyo jambo geni. Lakini ni jambo geni hasa pale vyombo vinapotumika kuuwa raia wake ndani ya mipaka ya...
  10. M

    GE2025 Day 5: Polisi wasema kuna wageni wameingia nchini kuchochea vurugu

    TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi Tanzania, limepata taarifa za watu ambao siyo raia wa Tanzania kuwa wameingia nchini kwa njia zisizo rasmi kwa nia ovu ya kufanya uhalifu ikiwepo vurugu. Watu hao wanajifanya kuwa wanafanya shughuli mbalimbali ikiwepo za bodaboda. Taarifa zinasema watu hao...
  11. figganigga

    Kumbe Jeshi la Polisi Tanzania ni wepesi kiasi hiki!🤣🤣

    Sikutegemea kwamba chini ya Uongozi wa Afande Mliro, kuna kamanda atakosa msaada wa wenzake na kuamua kutelekeza kituo, Silaha, nna kuvua sale ya dola kuanzia buti Suruali na Mkanda n kutokkomea kusipo julikana. Nilitegemea Polisi akizidiwa ataita wenzie waje na yale magari mapya waliyopewa...
  12. P

    Idadi ya polisi Tanzania.

    Wadau naomba niulize jambo. Idadi ya watanzania kwa makisio ya sensa, kwa mwaka 2025 ni millioni 67.5. wanaume ni zaidi ya millioni 30, vijana wakiwa wengi zaidi. Idadi ya polisi kwa makadirio ya umoja wa mataifa ni karibu elfu 40 tu. Yani 40,000. Sasa jumlisha ata na vyombo vingine mfano jeshi...
  13. figganigga

    Aunty Lulu: Bora tukutane na Mchawi kuliko Polisi Tanzania. Atakuteka, atakubaka, atakuua na kukutupa na hataulizwa. Polisi sio kimbilio tena!

    Kaandika hivi kwenye Page yake ya Instagram 👇 "Hii ndiio Tanzania ya samia na wanaompoteza na Hawa ndo polisi .😭😭😭tutoke jaman achana na kaul sa kusema wanaowashauli hawapo Tanzania Mbn mm nipo Tanzania ?sativa na wanaharakat wengine wapo Tanzania." MY TAKE: Namuunga mkono. Ukikutana na...
  14. MBOKA NA NGAI

    Polisi Tanzania, siyo watu wa kujenga ukaribu nao

    Ni mhimu kujifunza hili ; POLISI SIO JAMAA YAKO kama umewahi kuambiwa polisi ni mtanzania mwenzako nadhani afya yako ya akili haipo sawa nenda kapimwe mkojo. Ipo hivi, Polisi kabla ya kuwa POLISI lazima abadilishwe akili yake na kuwa kama Mbwa yani kule wanapopata mafunzo hubadilishiwa ubongo...
  15. Msanii

    Ukisoma Ibara hizi za Katiba, utagundua Polisi Tanzania wamegeuka malaika watoa roho kwa baraka za mtawala mkuu

    12.-(1) Binadamu wote huzaliwa huru, na wote ni sawa. (2) Kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake. 13.-(1) Watu wote ni sawa mbele ya sheria, na wanayo haki, bila ya ubaguzi wowote, kulindwa na kupata haki sawa mbele ya sheria. (2) Ni marufuku kwa sheria yoyote...
  16. figganigga

    GE2025 Simon Sirro ndio Mfano wa Polisi Tanzania? Je, Polisi wote ni CCM?

    Huu ndio uhalisia wa Polisi wa Tanzania? Wakivua Sare za Polisi ndio unaona sare yake halisi. Je, Sare ya jeshi la Polisi huwa inatumika kuhadaa Watanzania kwenye baadhi ya matukio? Hapa ni aliyekuwa IGP Mkuu wa Mapolisi wote Nchini baada ya kuvua sare ya Polisi Ndio maana kila siku...
  17. Waufukweni

    Picha: Bendi ya Jeshi la Polisi Tanzania (brass band) yashiriki uzinduzi Kanisa la Mwamposa

    Wakuu! Nimewaletea hapa picha ya Bendi ya Jeshi la Polisi Tanzania (brass band) na wenyewe wameshiriki uzinduzi Kanisa la Nabii na Mtume Boniface Mwamposa.
  18. Mindyou

    Geita: Polisi wakamata wawili tukio la mauaji ya kijana Enock

    Wakuu, Jeshi la Polisi nchini Tanzania limetoa ufafanuzi kuhusu video iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha kijana akiwa amefungwa mikono huku akipigwa kwa fimbo na watu kadhaa. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo tarehe 3 Julai 2025 na msemaji wa Jeshi la Polisi Makao Makuu...
  19. R

    Rais Samia awapandisha vyeo Maofisa watatu wa polisi, IGP Wambura awavisha rasmi kuwa Makamishna wasaidizi waandamizi wa polisi (SACP)

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Camillus Wambura leo Jumanne, Julai 1, 2025, amewavisha vyeo vya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Camillus Wambura leo Jumanne, Julai 1, 2025, amewavisha vyeo vya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi...
  20. Samia atosha tukutane2030

    Ifike wakati jeshi la polisi Tanzania lione aibu

    Haya ndiyo matumizi mabaya ya mitandao?👇👇
Back
Top Bottom