Francis Polisi Loile Lotodo was a Kenyan Politician and a Member of Parliament for Pokot West, which was later changed to Kapenguria Constituency in West Pokot County.
Iko askari mpumbavu aliamua kumsomesha mpenzi wake chuo kikuu alitumia takriban 800,000 za kenya baada ya kuhitimu mpenziwe alimuacha na kusema ako na elimu zaidi ya polisi.
Polisi alimfuata kwake na kumpiga risasi kumi na saba hadi kufa.
Je, makosa ni ya nani?
Vyombo vya habari nchni Kenya vimeripoti kwamba mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 44 amefariki akiwa chini ya ulinzi wa polisi katika Kituo cha Polisi cha Turasha kilichoko Wadi ya Githioro, Eneo Bunge la Kipipiri, Kaunti ya Nyandarua
Kwa mujibu wa ripoti ya polisi, Simon Thumbi Kihanya...
Huduma ya Polisi ya Taifa (NPS) imepokea kwa wasiwasi mkubwa tukio la kupigwa risasi kwa raia asiye na silaha na askari wa polisi aliyekuwa akitumia bunduki ya kudhibiti ghasia, tukio lililotokea katika eneo la biashara kuu jijini Nairobi (CBD) tarehe 17 Juni 2025.
Kufuatia tukio hilo, Inspekta...
kumekuwa na chapisho linalo samba kwenye mitandao ya kijamii hususani facebook linaeleza kuwa Mwanaharakati Maria Sarungi amekamtwa na jeshi la polisi nchini kenya huku ikieleza kuwa taarifa hiyo imechapishwa na godbless Lema huku x pia chombo cha Habari cha Jambo tv kuchapisha huko X
Taarifa...
Inspekta mkuu wa polisi nchini Kenya, Douglas Kanja amethibitisha kuwa mwanablogu, Albert Ojwang alizuiliwa rasmi katika Kituo Kikuu cha Polisi chini ya OB nambari 136/7/6/2025.
Kanja alisema kuwa Ojwang alikamatwa kufuatia malalamishi yaliyowasilishwa na Naibu Inspekta Jenerali Eliud Lagat...
Afisa wa polisi wa barabarani aliyekuwa na nia ya rushwa leo alijaribu kumdai hongo dereva wangu – hadi akatufuatilia kwa pikipiki. Ilibidi nishuke kutoka kwenye gari, na mara aloniona akasema, “MADOLLAR, nakujua, sisi ni marafiki.” Ndugu zangu, je hamjui kuwa ndivyo watu wanavyosumbuliwa na...
Hawa walimuua mtoto kwa kumpiga risasi katika chaguzi za 2017. Kwa vile Kenye to a great or lesser extent ni democratic country, polisi leo wamefikishwa mahakamani kujibu mauaji na mateso ya watu wengine katika uchaguzi.
Tuombe Mungu kuna siku ataturehemu!
Mahakama ya Juu imemhukumu Kaimu Inspekta Jenerali wa Polisi Gilbert Masengeli kifungo cha miezi 6 jela kwa kosa la kudharau mahakama.
IGP alipuuza agizo la mahakama takriban mara 7 la kumtaka kufika mbele ya Jaji Lawrence Mugambi kueleza waliko watu watatu wanaodaiwa kutekwa na maafisa wa...
Kaimu mkuu wa polisi nchini Kenya Douglas Kanja amewahamisha maafisa wote wa kituo cha Kuare kiliko mita chache kutoka machimbo ya mawe ambako maiti zi;likutwa zimetupwa, ili kuruhusu uchunguzi huru kufanyika.
"Ili kuhakikisha uchunguzi wa haki na usio na upendeleo, nimewahamisha maafisa hao...
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Kenya, IGP Japhet Koome amejiuzulu.
Rais wa Kenya, William Ruto ameridhia kujiuzulu kwake.
=====
NAIROBI, Kenya July 11, 2024 – Kenya’s Police Chief Japheth Koome has resigned following mounting pressure over police brutality during recent protests that rocked...
Kuna matukio mengi sana yanayohusu maandamano wanayofanya wananchi wa Kenya kwa ajili ya ugumu wa maisha unaotegemewa kuletwa na ongezeko la kodi katika bidhaa kadhaa nchini humo.
Ila sasa, tukio la masaa kadhaa yaliyopita kwa vijana kuamua kuingia ndani ya bunge la nchi hiyo ndilo kubwa.
Na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.