Polepole pigania mfumo! Dada yako kutekwa ni maelezo tosha!. Wewe ulikuwa mwenezi badala ya kupigania kubadilisha wahuni unatakiwa kupigania mfumo mzima wa nchi ili Dada, Kaka, Mama, na ndugu yeyote asiweze kutekwa kwasababu tu ya mawazo yake. Makanisa yasifungwe kwa kukasirisha watu hata maka...