polepole

Humphrey Polepole is a Tanzanian politician serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary and Member of Parliament appointed by President John Magufuli. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district for five months and earlier Polepole also served as District Commissioner for Musoma District for two months.

View More On Wikipedia.org
  1. GE2025 Khamis Mgeja amvaa Balozi Polepole, amtaka awaombe radhi Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa

    Mwenyekiti Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Khamis Mgeja amemshukia Balozi Hamphrey Polepole, akimtaka awaombe radhi wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa kwa kauli aliyoitoa yenye lengo la kukivuruga chama. Mgeja alisema hayo tarehe 21 Julai 2025 wakati akitoa maoni yake kuhusu kauli ya...
  2. Z

    GE2025 Polepole kachemka, bora angemtafuta msemaji mwingine kusema maneno yale

    Inahitaji akili ya juu unapopanga jambo kama hilo. Kama Polepole angerudisha band nyuma kidogo (2020-Uchaguzi wa wabunge), na kumuona Polepole wa wakati ule akajilinganisha na Polepole wa 2025, kweli asingesema maneno hayo. Kitu sahihi cha kufanya katika hali hiyo ni kuingiza maneno hayo katika...
  3. GE2025 Jawadu: Polepole na Gwajima wana chuki na ubinafsi

    Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, Jawadu Mohamed, amesema kauli zinazotolewa na baadhi ya wanachama wa chama hicho, wakiwemo aliyekuwa Mbunge wa Kawe (CCM) ,Askofu Josephat Gwajima, na aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, hazina...
  4. Polepole ana mgombea wake mfukoni?

    POLEPOLE ANA MGOMBEA WAKE MFUKONI? Lilipoulizwa swali la huenda kupitishwa kwa mgombea mmoja kwenye kugombea nafasi ya Urais ikawa ni uoga wa kushindwa kwenye mkutano mkuu, Dkt. Dennis Muchunguzi anasema hakuna uoga wowote kwasababu wajumbe wa mkutano mkuu ambao ndio WAPIGA kura ndio waliamua...
  5. E

    Dk Muchunguzi: Mwaka 2020 Polepole alisimamia mgombea mmoja CCM, waliotaka kugombea walifukuzwa

    Mchambuzi wa masuala ya siasa, Dk Dennis Muchunguzi amekosoa kauli za aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole kuhusu uteuzi wa Rais Samia kuwa mgombea pekee aliyepitishwa na mkutano mkuu wa CCM, Januari 19, akisema ni utaratibu wa CCM kwa rais anayegombea awamu ya pili kuwa...
  6. E

    Dk Muchunguzi: Mwaka 2020 Polepole alisimamia mgombea mmoja CCM, waliotaka kugombea walifukuzwa

    Mchambuzi wa masuala ya siasa, Dk Dennis Muchunguzi amekosoa kauli za aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole kuhusu uteuzi wa Rais Samia kuwa mgombea pekee aliyepitishwa na mkutano mkuu wa CCM, Januari 19, akisema ni utaratibu wa CCM kwa rais anayegombea awamu ya pili kuwa...
  7. Mapato ya utalii wa nje yameongezeka kutoka $700m au TZS1.82 Trilioni hadi $3.9bn sawa na TZS10.14 Trilioni ongezeko ni TZS8.32 Trilioni

    Rais Samia ameongeza mapato ya utalii wa kimataifa kutoka $700m au TZS1.82trilioni hadi $3.9bn sawa na TZS10.14trilioni Tofauti ni Trilioni 8.32 na utalii wa ndani umeingiza TZS210bn. Mwaka 2024 umeshuhudia mafanikio makubwa katika sekta ya utalii nchini Tanzania, yakijieleza kupitia ukuaji wa...
  8. Kwani PolePole alianza kuwa mwana CCM Lini?

    Wenye CCM Yao wameanza kuhoji Je huyu aneyejiita mwana CCM aliyesema ameshashika vyeo vikubwa ndani ya CCM. JE ni lini alijiunga na ÇCM? Je ni kweli anataka tumuamini eti anaijua katiba,mienendo na tamaduni za CCM Kuliko wengine?
  9. M

    GE2025 Lema kumshambulia Polepole ni ujuaji usiokuwa na faida

    Msimamo Wangu Kuhusu Kauli ya Mh. Lema Dhidi ya Humphrey Polepole Nimesikitishwa na kauli kali iliyotolewa na Mheshimiwa Lema dhidi ya Humphrey Polepole. Kwa maoni yangu, kauli hiyo haina tija kwa taifa letu wal Kwa sias za upinzani kwa sababu: 1. Tunahitaji Kusonga Mbele, Siyo Kurudi Nyuma...
  10. Polepole avuliwe hadhi ya Ubalozi, hastahili tena!

    Mamlaka zimvue hadhi ya Ubalozi Mheshimiwa Polepole kwa kukiuka misingi ya Wana diplomasia - Vienna Convention on Diplomatic Relations (1964). Abaki kwenye UHANAHARAKATI uchwara.
  11. Vyombo vya Habari Vyanunuliwa? Vyamshambulia Polepole kwa makala moja: Eti ni Mzalendo wa kweli au Mjanja wa Siasa?

    Wakuu! Katika pitapita zangu huko Mitandaoni nimekutana na page zaidi ya Tatu tofauti za Vyombo vya Habari vilivyoandika/kupost makala moja kuhusu Humphrey Polepole na wote wanahoji "Polepole ni Mzalendo wa kweli au Mjanja wa Siasa", ukitazama ni kama wametumiwa na mtu mmoja kisha wao wamepost...
  12. B

    Polepole katika uso wa, Horace Kolimba

    Mnamo 1990, aliapishwa kuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), akichukua nafasi ya Rashidi Kawawa, na kuhudumu hadi 1995 . Kati ya uteuzi wake, Rais Ali Hassan Mwinyi alimteua kuwa Waziri wa Mipango mnamo 1995, na pia alikuwa Mbunge wa Ludewa kupitia tiketi ya CCM . 🗣️ Mzozo wa “CCM...
  13. Humphrey Polepole teknolojia haidanganyi

    Umesahau uliyoyasema huko nyuma?
  14. Hotuba ya Polepole kwa lugha yetu huku mtaani

    Uchambuzi wa hotuba ya mheshimiwa Polepole kwa lugha inayoweza kueleweka huku uswahilini kirahisi. Kwa ufupi, Polepole amelalamika kuwa utaratibu wa familia wa kula pilau pamoja kwenye sinia moja kwa ustaarabu na maadili umeharibiwa; ameshutumu utaratibu wa zamu na ratiba za wapishi kupuuzwa na...
  15. Polepole hawezi kujibiwa kwa hoja za kipuuzi kama hizi. Kama kulikuwa na Changamoto kama hizi wakati wa hayati mbona nyie machawa hamkusema hadharani?

    Eti changamoto hizi zilikuwepo tokea enzi za hayati JPM ! Mbona hamkuibuka hadharani na kupinga ubadhirifu, ufisadi na maonevu kama Polepole? Mbona hayati alikubalika kwa wananchi wanyonge kuliko nyie mafisadi na wezi wa mali za umma?
  16. Wanaombeza Polepole hadi sasa hawajui kwanini ameachia ngazi tofauti na mambo aliyoyaandika

    Chawa wa mama wanahangaika na dude kubwa ambalo limetoka kwenye tanuru la moto baada ya kuona nchi inaendelea kuendeshwa kihuni ,Slow slow akaambiwa sema sisi tupo nyuma yako na tutashinda , sloslow ana pdf ya taarifa zote jinsi nchi hii inavyonajisiwa kwa kivuli cha mama anaupiga mwingi ...
  17. Kama Ccm umejiunga nayo ulivyofika Chuo Kikuu huwez kumuelewa Polepole.

    Huwez kujibu hoja za polepole kama wewe ulijiunga na Ccm ulivyofika chuo kikuu na ulijiunga kama fashion. Ndio wengi wamebaki midomo wazi kwa yale aliyoyasema polepole. Polepole haujui tu Katiba wala kanuni za chama cha Ccm bali anajua hadi Miiko ya chama cha mapinduzi {Ccm} ambayo hua...
  18. M

    H Polepole: Serikali ni kama nyumba isiyo na mwenyewe

    Balozi msitaafu Humphrey Polepole amewaomba watanzania wasimuhukumu kwa kushindwa kutoa matokeo mazuri kwenye kazi yake ya Ubalozi wa Tanzania nchini Malawi na baadae nchini Cuba kwa sababu alikuwa hapati ushirikiano wa kutosha kutoka kwa watendaji wa Serikali ya Rais Samia kwani wengi...
  19. +1305 ni country code ya Frolida na Miami huko USA. Jee Polepole alitudanganya yuko Tanzania akitumia code +1305?

    Jana Balozi Humphrey Polepole alifanya mkutano na wanahabari wa Tanzania kwa njia ya mtandao. Alidai kwamba yuko Tanzania baada ya kuacha kazi ya ubalozi huko Cuba. Simu ya mawasiliano aliyokuwa anaitumia inaanzia na country code +1305 ambayo ni ya jimbo la Florida na Miami huko USA. Jee ni...
  20. Polepole ni Mhuni namba moja kwenye CCM - Mafufu

    Polepole ni Mhuni namba moja kwenye CCM - Mafufu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…