polepole

Humphrey Polepole is a Tanzanian politician serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary and Member of Parliament appointed by President John Magufuli. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district for five months and earlier Polepole also served as District Commissioner for Musoma District for two months.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Polepole Leo vaa T-shirt ya Chama [nje-ndani]

    Katika Press ya Leo. Vaa T-shirt ya Chama (nje-ndani) kuonyesha msisitizo. Usisahau kuvaa usongo kichwani.
  2. JamiiForums Tanzania Hoja za Mange na Polepole si za kubeza kama taifa tujitathimini kwa kinachoendelea

    Sasa hivi kila mkoa na wilaya wakuu wa wilaya sijajua ni maagizo au vipi wana kundi la vijana wanaita jeshi la akiba hao vijana wanapatiwa mafunzo ya kijeshi kabisa na wakufunzi wa jeshi sasa sote tunajua jeshi la akiba ni migambo na wanatambulika sasa hili kundi la vijana walikusanywa na kupewa...
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Coaster Kibonde: Polepole anatuita wanasiasa uchwara kisa nimesema nitampa kazi Rais Samia

    Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Makini, Coaster Kibonde katika uzinduzi wa kampeni za kitaifa za chama hicho uliofanyika Septemba leo 02, 2025 Manzese Jijini Dar es Salaam amvaa vikali Humphrey Polepole kisa kauli yake ya akishinda Urais atampa kazi Rais...
  4. JamiiForums Tanzania Polepole: Tanzania tuna kaya 14,152,803 kwa bei ya Cuba mtungi wa gesi wa 10Kgm tunahitaji tzs 28.3B

    Team, Salaam! Sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 inaonesha Tanzania ina kaya 14,152,803. Sasa kama tungekuwa na bei ya kununua mtungi wa gesi wa 10kgm kwa tzs 2,000 kama ilivyo nchini Cuba basi kaya zote hapa nchini tungetumia tzs 28,305,606,000/=. Sasa kwa kuwa na gesi inayouzwa...
  5. JamiiForums Tanzania Kada wa CCM: Polepole anayoyabwabwaja yote ilitakiwa ayayabwabwaje mwanzoni, ameshalamba asali ya Ubalozi na ubunge lakini hakuyasema

    Edward Kakwale ambaye ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa kutokea Wilaya ya Momba Mkoani Songwe kutokana na Rais Mstaafu wa awamu wa nne Dkt. Jakaya Kikwete kujibu hoja ya Polepole siku ya uzinduzi wa kampeni za CCM pamoja na mwanachama wa CCM Rostam Aziz pia kumjibu Polepole. Akizungumza na...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Kibonde: Polepole ni mmoja wa wanamtandao ambao walikuwa wanataka kumwondoa Rais Samia asigombee urais

    Mgombea wa Urais wa Chama Makini Amshukia Polepole. Aendelea kumnadi Samia. Katika hali ya kipekee katika siku ya kwanza ya uzinduzi wa kampeni za Chama Makini, mgombea wa Urais wa chama hicho Coaster Kibonde amemshukia vikali Humphrey Polepole. "Naomba Watanzania wenzangu popote...
  7. JamiiForums Tanzania Tajiri Rostam kakatazwa asiongee. Je, Polepole anaelekea kushinda hili game!?

    Tajiri Rosti akiwa na madaktari wawili akitaka kuongea ghafla mahojiano yakaota mbawa,nini Maana yake!!?
  8. R

    JamiiForums Tanzania Wenye uzalendo wa kweli, msijibu threads zinapomponda Polepole, naona zinamiminika. Just ignore them with no response

    Naona kuna kundi kubwa la chawa wanaanzisha threads kibao AGAINST POLEPOLE. The majority wamejiunga 22/8/2025 Dawa yao ni kuzi ignore. HAKUNA KITU KINAUMWA KAMA MTU KUWA IGNORED! Polepole anachokifanya kiungwe mkono. hata kama nyuma alifanya yasiyopendeza, kwa hili tumuuunge mkono kwa vile...
  9. JamiiForums Tanzania Polepole amechanganyikiwa anapoona mipango yao imefeli. Walitaka wajumbe wa CCM waseme uchaguzi urudiwe wampitishe Gwajima

    Wajumbe wa CCM walimpa Samia ushindi kwa 100%. Mlikuwa mnasambaza video ile jamaa anasema mgombea (Rais Samia )atoke chumba cha kupigia kura mukiwa na lengo la kuuaminisha umma kuwa Samia hakubaliki na wajumbe. Samia honestly alisema kama hawamtaki wamkate tu mbele zake hana shida . Wote 100%...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mjumbe wa halmashauri kuu, awaomba Kikwete, Rostam wasimjibu Polepole

    02 September 2025 CHONDE CHONDE POLEPOLE ASIJIBIWE ASEMA KIGOGO WA CCM https://m.youtube.com/watch?v=NqHXXRL3-bI Baada ya mazungumzo ya Humphrey Polepole kuwa gumzo na kufuatiliwa kuliko kampeni za CCM kumnadi mgombea wao wa urais, Mjumbe wa Halmshauri Kuu ya Taifa CCM asema Humphrey Polepole...
  11. JamiiForums Tanzania Polepole na tuhuma za uongo dhidi ya mradi wa JNHPP

    POLEPOLE NA UONGO USIO NA USHAHIDI Kuhusu swala la Polepole kusema kwamba kwenye mradi wa bwawa la JNHPP kuna ubadhilifu wa pesa, hilo ni uongo kwa sababu zifuatazo: 1. Mradi wa JNHPP ni mradi wa kimkakati ambao ulikuwa ndoto ya viongozi waliopita na huu ni mradi ambao umeenda kutatua...
  12. JamiiForums Tanzania Polepole - Hii kauli yako umeitoa wapi kwenye Biblia?

    Mheshimiwa Polepole, kuna clip nimeiona mahali, ulikuwa unafundisha kwa makini sana masuala ya imani ya kikristo. Ulifundisha kwa weledi mkubwa kiasi kwamba waliokuwa wanakusikiliza walikuelewa na kukubaliana nawe 100%. Hiyo video imenidhihirishia kuwa wewe pasina shaka ni muumini mzuri wa...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Polepole kwa ushahidi huu, CCM acheni kutuambia mtafanya nini eti ndani ya siku 100. Jibuni hoja zake, haziepukiki, hizo ndizo za wananchi!

    Watanzania si wajinga. Ya nini kutuambia mtafanya nini eti ndani ya siku 100, si mko mdarakani, si mngefanya jana au hata sasa au hata bila ya kutwambia? Kwani mlikuwa na haja gani ya kumwambia nani mtafanya nini wakati wasaa huo mlikuwa nao na hata sasa mnao? Polepole kasema mengi yenye...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia kama angekuwa na roho ya kisasi kama Magufuli Polepole na wenzake waliotaka kupindisha katiba Samia asiwe Rais leo hii tungesema mengine

    Magufuli alikuwa na roho mbaya na ngumu. Ndiyo maana tunasema ni mtsusi. Ukimkosea hana msamaha Ndio maana tunaomjua Magufuli tunasema Polepole ni muongo na tapeli wa kiasiasa. Eti Membe alipanga mipango ya kumuua Magufuli na Magufuli na Magufuli amekaa tu anasubiri kuuwawa. Magufuli huyuhuyu...
  15. JamiiForums Tanzania Sijaona MwanaCCM wa kumjibu Polepole. Mtu Kamwaga anajidhalilisha. Makada wa CCM hawajibu hoja wanamshabulia Humphrey

    Jibu hoja kwa hoja. Hii ndio kanuni ya kulumbana dunia nzima. Mfano Polepole ameeleza kinagaubaga. Angela Kiziga alifanya ufisadi wa bil 40. WanaCCM wajibu kama hakuna ufisadi huo. Na kwa nini afanye kazi ofisi ya rais. Gesi huko Cuba zinauzwa kwenye maduka serikali kama ilivyokuwa enzi za...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Polepole sio mtu mwema ni muhuni sana

    Uharifu wake upowanzi kwa sas anachokifanya leo analetaa uhuni kama alivyo kuwa na lugha za kidikteta kwenye awamu ya 5, Taifa letu kwa sasa hatuko tayari na kwa uhuni anaoufanyaa ima achache imaa aendelee kuwaa chawa na watu alionao kwenye paaziaahaijapatakutokea.
  17. JamiiForums Tanzania Kinyongo cha PolePole na ziara ya Samia Cuba iliyohairishwa ina maana gani?

    Conspiracy or Controversy?? Mwezi Novemba mwaka 2024 ilitaarifiwa kuwa Rais Samia angefika Havana cuba kwa ajili ya kongamano la kimataifa kuhusu lugha ya Kiswahili. Siku chache sana kabla ya ziara ikatangazwa kuwa Ziara hiyo imehairishwa na siku moja kabla kabla tamko la waziri wa mambo ya...
  18. P

    JamiiForums Tanzania VR inazidi Kuangaza juu ya Polepole inasemekana ni mwizi 2015 na pia mtekaji mkubwa

    HUYU JAMAA NIkUMPUUZAA MAANA NI MUHUNI ALIEKIDHIR Polepole na uongo na siasa za ujanja janja Mwaka 2014 Magufuli alituletea MV Bagamoyo ambayo Kwa kifupi pesa zote Milion 710 hazionesha mzabuni ni nani na imenunuliwaje, ikajitokeza kwenye TV Channel 10 ukiutetea wizi huo na kusema mkataba...
  19. JamiiForums Tanzania Polepole anakabia juu. Mnoo, machawa wanakanyagana tu

    Mpaka sasa balozi polepole anakabia juu mno. Machawa wanaweweseka hawawezi kumjibu wana rukarua. Nyie machawa wa lumumba. Polepole ana data/ takwimu mjibuni kwa takwimu siyo viroja vya hoja ! Balozi amesema MAGUFULI alimalizwa na Wanamtandao wewe unatutajia mambo ya MELI sijui afya yaakili...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Polepole ndilo tumaini lililobaki la kupaza sauti baada ya Lisu kuwekwa gerezani

    Wenye mapenzi mema na Tanganyika tumuunge mkono kwa kumpa moyo na kumwombea.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…