Nina tamani nifungue mashitaka dhidi ya Mungu anae POKEA maombi ya mtu kama huyu Alie mfunga Tundu Lissu kwa kesi ya uhaini Ili Hali sio muhaini.
Je nisubilie nife, nizikwe nikakutane nae uko Mbinguni? Najiuliza hivi kweli huyu nae alifunga Nini? Anamwomba Mungu ampe uhai? Je ampe mume...
Kutokana na historia ya Palestina kila wanapokaribishwa na kupewa uhuru hujikuta wao ndio wanataka kuamrisha wenyeji na kutaka kutawala wao.
Historia zimeandikwa nyingi sana kuhusu hawa.
Hawa walitakiwa kumegewa eneo wakawa na taifa lao ili wafanye wanavyotaka sio kuwaingiza kwenye nchi...
watu wanaweza kumbeza mange kimambi vile watakavyo, lakini kiukweli kampeni yake ya maandamano imefanikiwa kwa asilimia kubwa sana.
Kwanza amefanikiwa kutengeneza awareness kwa watoto wetu hawa waliozaliwa miaka hii ya teknolojia ya dijitali.
niseme tu ukweli, kizazi cha mwisho kwa ccm...
Huyu mtangazaji yuko vizuri sana hasa kwenye hichi kipindi cha malumbano ya hoja. Anaweza ku moderate vizuri malumbano. Anajitahidi sana ku balance muda kwa walumbanaji wote. Pia maswali yake ya udadisi kwa wachokoza mada ni ya kiwango cha juu. Keep it Mary Mwakibete
Mwanamke huyu huyu anayeweza kukubali kuolewa kuwa mke wa pili kwenda kujaribu kushare mapenzi na mwanamke mwenzake au kuwa mchepuko ili hali anajua awala yake ana mke, ndio huyu huyu anaulizia integrity ya mapenzi yangu kwake???? Haileti sensi
Mwanamke huyu huyu ukiwa na rasili mali za kutosha...
KUAMKA KIROHO NI mchakato wa kuamka kutoka kwenye giza ( ujinga) na kutembea kwenye mwanga baada ya kufunguliwa kwa lock zilizoshikilia akili yako ili utembee kwenye Nuru.
Kwenye Giza la kiroho kuna umasikini, matatizo, magonjwa, nadharia za kuogopa wachawi majini mapepo mizimu nk hivi ni...
Mnyonge mnyongeni Haki yake mpeni, baada ya kumaliza shule ya msingi mwaka 1986, Sikuchaguliwa kujiunga na secondary ya serikali kwa maana nafasi zilikuwa chache na hata waliochaguliwa pia walikuwa wachache na wakati mwingine shule haitoi hata mwanafunzi mmoja wa kujiunga na kidato Cha kwanza...
Huyu mchumba siishi nae , kila mtu anaishi kwake, ila almost Huwa anakuja kwangu na anakaa Kwa muda wa hata week 2 ..
Ok .. Jana nilijitahidi sana kumpgia simu mida ya asubuhi Ili tujue ratiba itaishaje like kutoka out , and other stuffs Kwa siku ya valentine's, simu haikupokelewa , piga sana...
Hawa ndio wanadamu!
Kipenzi chako na baba wa familia alikesha na mafaili wizarani na baadae ikulu na pengine aliwasahau kama wanafamilia kutokana na kujitoa kwake kama sadaka ya watanzania!
Hakika usifadhaike ,usilie,usijute bali muombe Mungu sana.
Wanadamu wabaya ndivyo walivyo...hawapendi...
Amani iwe kwenu watumishi wa MUNGU
Tukiwa tunahesabu masaa kuingia mwaka mpya acha kuchoka na kusinzia wala usimpe shetani nafasi tena , usimpe shetani namna nyingine tena katika roho yako hata afikie hatuna ayatawale maisha yako kwa kukunyanyasa
Kataa kunyanyaswa na shetani kwani unamuweza...
Kila nikikuangalia ulivyo, nilivyokuzoea, taaluma yako na mienendo yako ( hasa katika Utendaji wako Serikakini ) sioni kabisa Competency yako katika hiyo Docket uliyoko sasa na najua hata uombe Mizimu ya Kwenu kwa Watani zangu Washamba wa Mkoa wa Ruvuma au ubebwe vipi na Namba Tatu Kitaifa bado...
Askofu wa Jimbo Katoliki Shinyanga, Mhashamu Liberatus Sangu, amewasihi wananchi wasiwapigie kura viongozi wanaotaka madaraka kwa rushwa, na kwamba wakipewa rushwa wapokee lakini wasipige kura kwa sababu wanaotoa rushwa ni wabinafsi na siyo wazalendo.
Askofu Sangu ameyasema hayo Machi 31, 2024...
Mudathir wakati yupo Azam FC alikuwa mwishoni wa mkataba wake akaenda kuzungumza na uongozi wa Azam kuhusu kuingia mkataba mpya na akataka kuongezewa mshahara.
Viongozi wa Azam FC na tajiri wao Yusuf Bakhresa wakamwambia sawa ila nenda tunajadili kisha tutakupigia simu. Baada ya muda akiwa kwao...
Takriban 90% ya threads zote kwenye JF ndani ya siku hizi 2 zinahusu sakata la mkataba wa Tanzania na DP WORLD ya UAE.
99% ya comments hazikubaliani na namna Rais Samia na Bunge walivyo handle mkataba huu. Kuna vitu 3 vikubwa ambavyo hata wale wanaounga mkono ubinafsishaji hawakubaliani:-
1...
Watu wengi huamini kwamba mtu anayebeba matatizo ya wengine yeye hana ya kwake. Hali hii humfanya mhusika akipata tatizo ashindwe kusema.
Fikiria mtu aliyekushauri uache bangi, siku akikuambia ameangukia kwenye kuvuta utamwelewa?
Tunapenda kusema mtu akiwa na depression aseme. Lakini akisema...
Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Damas Ndumbaro amesema jumla ya malalamiko ya wananchi kuhusu uvunjifu wa haki za binadamu 6,928 yalipokelewa katika kipindi cha mwaka 2018 hadi 2019.
Dk Ndumbaro ameyasema hayo wakati wa kilele cha Maadhimisho ya miaka 20 tangu kuanzishwa kwa Tume ya Haki za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.