PITCH YA KILIMO– MANTO FARMING SOLUTIONS(MARTIN MHINA
Habari za wakati huu Ndugu,Jina langu naitwa Martin Mhina, mimi ni Bwana Shamba na mwanzilishi wa MANTO FARMING SOLUTIONS.
Tunajishughulisha na uzalishaji wa mazao ya chakula kwa mpangilio wa misimu ili kuhakikisha tunazalisha mwaka mzima...