pili

The arrector pili muscles, also knows as hair erector muscles, are small muscles attached to hair follicles in mammals. Contraction of these muscles causes the hairs to stand on end, known colloquially as goose bumps (piloerection).

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Zinduka Sehemu ya Pili: Swali kwa Machawa wa Mfumo na Ukweli Kuhusu Nguvu ya Madereva

    Hapa kuna swali la msingi mno linalogonga ikulu ya fikra za kila mzalendo anayejitambua kufuatia mgomo wa madereva nchini na hatua za haraka zilizochukuliwa na serikali: Hii serikali inayotaka kuleta mabavu, ina hayo magari na madereva mbadala wa kutosha nchi nzima kutoa huduma? Jibu ni fupi na...
  2. JamiiForums Tanzania HABARI ZA HIVI PUNDE🚨 IRAN YAKAMATA NYAMBIZI YA PILI ISIYOKUWA NA NAHODHA YA MAJINI YA MAREKANI KATIKA NJIA BAHARI YA HORMUZ

    Jeshi la Wanamaji la IRGC la Iran linasema limekamata chombo kisicho na piloti cha chini ya maji cha Marekani aina ya REMUS 600 kinachofanya kazi katika Njia Bahari ya Hormuz. Kulingana na IRGC, operesheni hiyo ilihusisha uwezo wa kijasusi na vita vya kielektroniki, na inasemekana chombo hicho...
  3. JamiiForums Tanzania Sheikh Mkuu, wa Tanzania, tunaomba ufafanuzi wa jambo hili la Eda kwa mke wa pili wa Hafidh Ameir,Mume wa Samia

    Mke ambaye ni wa pili katika ndoa, endapo mume wake amefariki dunia, je, naye anatakiwa kukaa eda (iddah) kwa muda uliowekwa katika Sharia? Na katika kipindi hicho, je, anapaswa kupewa faraja na kuheshimiwa kama mjane mwingine? Pia, tunaomba kufahamu: ikiwa mwanamke ambaye ni mke wa marehemu...
  4. JamiiForums Tanzania Nilivyokutana na Mlokole kwa mara ya pili

    Nipo zangu mgahawani napata chakula cha mchana,pale mezani nakutana na dada mtu mzima kiasi Wote tunakula ugali na dagaa,mboga ya majani na ndondo,yes maharage Sorry to say this in case wewe ni mlokole, hawa watu huwa lazima tu wajitambulishe kuwa ni walokole kwa namna yoyote ile, hupenda...
  5. JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini: John Mnyika aendelea kumtetea Tundu Lissu Mahakamani. Maswali ya Dodoso kutoka Jamhuri - 2, Septemba 2026

    Mahakamani leo tena kesi inaendelea kwa Upande wa Mawakili wa Serikali kumuuliza Mswali ya Dodoso Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika Pia soma: Kesi ya Uhaini: John Mnyika Kuendelea kumtetea Tundu Lissu Mahakamani. Maswali ya Dodoso kutoka Jamhuri kuendelea leo 1, Septemba 2026 Leo September...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mada: Uchambuzi wa Kina: Wimbo wa "Mary Maria" wa Vijana Jazz Orchestra (Mtindo wa Pamba Moto Awamu ya Pili)

    Habari za muda huu wana-JamiiForums na wapenzi wote wa Muziki wa Dansi (Zilipendwa). Leo naomba tuutazame kwa jicho la kiweledi wimbo wa "Mary Maria" ulioimbwa na bendi mashuhuri ya Vijana Jazz Orchestra (Wana Pamba Moto). Wimbo huu ulirekodiwa mwanzoni mwa miaka ya 1975 katika studio zetu za...
  7. JamiiForums Tanzania Pili pili hoho ni tunda la maana sana

    Pili pili hoho, hasa hoho za njano ni moja ya matunda yenye Vitamin C nyingi zaidi. Ina vitamin C nyingi kuliko machungwa na malimao. Vitamin C ni muhimu sana katika kujenga mwili na kujenga kinga ya mwili. Ukosefu wa vitamini C uliua sana mabaharia wa zamani baada ya kuwa wamekosa matunda na...
  8. JamiiForums Tanzania Je, unafahamu mwaka 2026 kuna uwezekano mdogo wa kufanyika mitihani ya Taifa ya Kidato cha Pili na cha Nne?

    Gen Z wanakwenda kuishangaza na kuistaajabisha serikali iliyoua na kufanya uzalimu kwa namna ambayo haijawahi kutokea. 1. Shule ambazo wanafunzi wake wataingia na kufanya mitihani ya taifa kama inavyopaswa ni asilimia 29 2. Asilimia 30 ya wanafunzi wataingia kwenye vyumba vya mitihani...
  9. JamiiForums Tanzania Ni wazi wananchi wa Zambia wameamua kuirejesha serikali yao madaraka kwa awamu ya pili, hakuna haja ya waliokataliwa kulaumu au kusingizia waTanzania.

    Kiongozi wa upinzani Zambia mh. Brian Muntayala Mundubile, ni vizuri akawa mtulivu na akaheshimu demokrasia na maamuzi huru ya wananchi wa jamuhuri ya Zambia kwa kumchagua tena Rais Hakainde Hichilema. Hakuna haja ya kusingizia waTanzania, wakati wananchi wa Zambia kwa uhuru, haki na utashi wao...
  10. JamiiForums Tanzania Baada ya Dr.Samia S. Hassan kuhitimisha awamu yake ya pili ya Urais 2030, unadhani kuna mbadala wa mrithi wake zaidi ya Dr.Emmanuel J. Nchimbi?

    Toa maoni yako kwa uhuru na amani, Na Mwenyezi Mungu akubariki sana 🐒 Mungu Ibariki Tanzania
  11. O

    JamiiForums Kenya Kenya Yaibuka Nafasi ya Pili Dunia Katika Mashindano ya U20 Oregon

    Mashindano ya Dunia ya Riadha kwa wanariadha walio chini ya miaka 20 yaliyofanyika Eugene, Oregon, Marekani, ikimaliza nafasi ya pili kwenye jedwali la medali. Timu Kenya ilijikusanyia medali 11—dhahabu 4, fedha 3 na shaba 4—ikifuatiwa na wenyeji Marekani waliotwaa medali 24. Kenya pia ilikuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Tutegemee "Taarifa kwa Umma" ya Manqoba na "Thank You" ya Doumbia Kabla ya Mzunguko wa pili wa NBC.

    Kama umeangalia utendfaji wao kwa makini basi ni muda tu unasubiriwa.. Si lazima Yanga afungwe ndo Kocha afukuzwe na ni lazima Simba ishinde ndo stiker abaki..
  13. JamiiForums Tanzania Kwa wataalamu wa lugha, ipi ni sahihi kati ya "aliyemaliza nafasi ya pili, mshindi wa pili au mshindwa wa pili"?

    Hii ni kwa wataalamu wa lugha au mwenye uelewa wa hili, kwani nimekuwa nikisikia lakini sijajua lipi ni sahihi. Mtu anayemaliza mashindano katika nafasi ya pili anapaswa kuitwaje? Je, ni “mshindi wa pili,” “mshindwa wa pili,” au “aliyemaliza nafasi ya pili”? Wataalamu wa lugha, lipi ni sahihi...
  14. JamiiForums Tanzania Video: Cocobeach ajali ya pili gari inawaka moto hakuna point za fire eneo lote Coco

    JF Video ya sekunde 16 inagoma ku upload hebu na nyie wekeni miundo mbinu yenu vizuri….yaani Video sekunde 16 inagoma ? Wakuu mko serious ?
  15. JamiiForums Tanzania Mtoto pili

    S.K.P FEATURING QUEEN DARLINE - MTOTO PILI. Intro: Wa da For Yo.!! Ma This skp Simple Pozi Kwa Pozi ft. Majangili For Over Israel Teacher Boy Nyandu B, Ommy G , Queendareen Chorus: "Mtoto Pili , Penzi la Ki - Gangster Lina Akili , Ka - ufikiri Me Nimentali , Uwe Mentali Pili kama...
  16. JamiiForums Tanzania Yesu aliyerudi kwa mara ya pili anasota rumande huko KOREA KUSINI. Anaomba tumuombee aachiwe kwa kuwa yeye ni mzee na pia ni mgonjwa

    Man Lee Hee ambaye anadai yeye ni Yesu aliyekuja kwa mara ya pili ametiwa mahabusu kuanzia mwezi wa sita kwa makosa ya kuharibu uchaguzi wa rais na kwa kosa la kuwaandikisha waumini wake zaidi ya 50,000 kwenye chama cha kisiasa. Yesu huyo mwenye miaka 95 anaomba tumuombee aachiwe huru, kwa kuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Amin, amin, nakuambia, Mtu asipozaliwa mara ya pili, hawezi kuuona ufalme wa Mungu

    Mstari Mkuu: Yohana 3:3 — "Amin, amin, nakuambia, Mtu asipozaliwa mara ya pili, hawezi kuuona ufalme wa Mungu." Utangulizi Watu wengi hujiuliza swali lile lile ambalo kijana tajiri alimwuliza Yesu: Hili ndilo swali muhimu kuliko yote katika maisha. Watu hutafuta mali, elimu, afya, heshima na...
  18. JamiiForums Tanzania Habari za Jumapili wakuu

    Habar za Jumapili wakuu Mlioenda kanisan mmekumbuka kutuombea sisi wengine
  19. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda TANZIA Mbunge Mkongwe wa Uganda na Jenerali Mstaafu Moses Ali Afariki Dunia akiwa na Miaka 87

    Uganda imepoteza mmoja wa wanasiasa wake wakongwe zaidi baada ya taarifa kuthibitisha kuwa Jenerali mstaafu Moses Ali, Mbunge wa Adjumani West County na aliyewahi kuwa Naibu Waziri Mkuu wa Pili wa Uganda, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 87. Moses Ali alizaliwa tarehe 5 Aprili 1939 katika...
  20. JamiiForums Tanzania Natafuta mwalimu wa darasa pili

    Habari za jioni? Shule ya msingi ya binafsi ya Kiingereza iliyopo Tanga mjini inatafuta mwalimu mzoefu wa kufundisha darasa la pili. Awe za uzoefu na ari ya kupenda kufundisha watoto wadogo. Tunapendelea zaidi akiwa mwanaume,japokuwa hata wa kike anaruhusiwa kuomba nafasi hii. Mawasiliano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…