picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. Mrejesho ungekua wewe ni mimi ungeweza? nimeambatanisha na picha kama ushahidi

    Kuna watu ni wagumu saana kuelewa wanadai kwamba kisa changu nilicholeta ni cha uwongo mrejesho na ushilahidi huu hapa
  2. U

    POTOSHI Picha hii inayodaiwa ni watu walienda kwenye interview ya TRA

    Je picha hii ni halisi au sio halisi? Hawa watu ukiwaangalia vizuri sura zao kama zinafanana hasa wanaume, hata nguo walizovaa wengi zinafanana, na kikawaida mistari haiwezi kunyooka kiasi hiki.
  3. Jipatie mashine ya kutengenezea picha

    Nauza mashine ya kutengenezea picha mbao kwa bei kitonga kabisa, mashine bado ni mpya kabisa nicheki uchukue mzigo Bei ni sh 250000 Dar es salam Simu 0617009453
  4. Wanajamiiforums tufahamiane hata kwa Kila mtu apost picha yake. Tuanze na Sky Eclat apost hapa

    Tumekua tukishare ideas mbalimbali, ni muhimu kufahamiana japo kwa picha unashanga siku umeenda kijijini Mpwayungu unapokelewa vizuri na Faiza 🦊 Fox....... Tuanze sasa mm yakwangu ntapost mwishoni
  5. Wekeni picha za wapenzi wenu hapa, mtakao toka nao leo 'out'

    Wekeni picha za wapenzi wenu hapa, mtakao toka nao leo 'out' kutokana na kusherehekea hii sikukuu, tuone kama wana vigezo au laa. Tunajua ni chaguo lako, awe ni mrefu, mfupi, mnene, mwembamba n.k; lakini ni muhimu pia kupongezana. Ata kama anaonekana kama mzazi wako, na ana makunyanzi; huyo...
  6. Picha: Chombo cha usafiri kutembea bila taa usiku, je ni salama?

    Picha inajieleza, chombo hakina taa kinatembea usiku kwa hisani ya aliyetangulia mbele na kimenyofolewa namba za usajili ili kisitambuliwe. Je usalama barabarani unabagua?
  7. L

    PreGE2025 Picha: Katibu Mwenezi CCM, Amos Makalla amtembelea hospitali Mwenezi wa BAWACHA aliyedaiwa kushambuliwa na mlinzi wa Heche

    Ndugu zangu Watanzania, Muwe Mnaelewa tunaposema ya kuwa CCM ndio chama chenye uchungu na Maisha ya kila mtanzania, ndio chama chenye kujali watu pasipo ubaguzi ,ndio chama chenye huruma ,upendo , unyenyekevu na ukarimu wa hali ya juu sana,ndio chama chenye kujua kila mtu anathamani na mwenye...
  8. PreGE2025 Stepehen Wasira: Rais Samia amejenga hospitali na zahanati, mkombozi mkubwa kwa wanawake

    == Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira amesema Rais Dk. Samia Suluhu Hassan amefanya kazi kubwa hususan ujenzi wa hospitali na zahanati ambazo ni mkombozi mkubwa kwa wanawake. Wasira amesema hayo jana Machi 29, 2025 Itilima mkoani Simiyu alipokuwa akiwahutubia wananchi katika mkutano...
  9. Picha ya Chris Benoit baada ya kufanya mauaji ya Mke na mtoto wake

    Aliyekuwa nyota wa WWE Marehemu Chris Benoit anaonekana akipiga picha kwa ajili ya shabiki katika ofisi ya Dk Phil Astin mnamo Juni 22, 2007, kwa kuitazama watu walidhani ni vile Benoit ni mcheshi na anapenda sana mashabiki zake. Ila ajabu ni kuwa baadaye ilijulikana wakati anapiga picha hii...
  10. Picha X-rays kali za kutisha ambazo ni ngumu kuamini

    Maisha ni safari ya ajabu, Hizi picha hapa chini sio za kuchora, ni matukio halisi yaliyotokea. 1. Mwaka 2020, msichana mmoja alipata ajali mbaya akiwa ndani ya gari huku miguu yake ikiwa juu ya dashboard. Ajali ilipotokea, mguu wake ulisukumwa kwenda nyuma vibaya na hii ni picha ya X-ray...
  11. R

    Angalia mapesa ambayo yanapotea bure kutokana na report ya CAG (picha) 822.5 BILLIONS

  12. Katika hii picha umelewa nini

    Karibuni wakuu kufumbua hili fumbo zito.
  13. W

    PreGE2025 POTOSHI Godbless Lema amechapisha picha inayoonesha wananchi waliojitokeza mkutano wa Lissu, Machi 27, 2025 Tunduma

    Wakuu salama? Nmekutana nahii picha na nmeona watu wanasema kuwa si ya mwaka huu 2025. Uhalisia ukoje JamiiCheck?
  14. PICHA: Kipa wa Simba, Aishi Manula arejea kikosini. Afanya mazoezi kuelekea mechi ya Shirikisho

    Air Manula mazoezini kujiandaa na mechi ya Kombe la Shirikisho la CRDB Machi 27 na Big Man FC (zamani Mwadui FC). Mechi hiyo ya Kufuzu robo fainali CRDB Bank Federation Cup, Mnyama Simba SC atakuwa KMC Stadium majira ya saa 10:00 Jioni kukipiga na Bigman.
  15. Picha: Kwanini wanaume siku hizi hawawafukizii sana wanawake kama zamani? Shida ni nini?

    Je jibu kwa swali hili linaweza kuwa nini?
  16. Picha: Kipanya na vifaranga

  17. Hivi ukisika Neno CHATO huwa unapata picha gani au unajua ikoje?

    Je CHATO imeendelea saba. Je CHATO ni mji wa kibiashara au wewe mwenzangu unapata picha gani?
  18. PreGE2025 POTOSHI Picha hizi za magari ya polisi yana rangi ya kijani

  19. Picha za Tundu Lissu Nkasi Kusini, asema DC Lijualika ni Mtoto wa Laana

    Hapa ni Wampembe, Jimbo la Nkasi Kusini. Tundu Lissu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa amesisitiza Lijualikali ni Mtoto wa Laana. So now ana majina Mawili. Mtoto wa Dawa na Mtoto wa Laana. Lissu limtoa Gerezani Lijualikali baada ya miezi Kadhaa akajiunga na CCM. #NoReformsNoElection Picha hapa...
  20. Chunguza alama zilizopo barabarani au kwenye majengo ili kubaini Uhalisia wa eneo katika Picha au Video

    Picha au video inaweza kudaiwa kurekodiwa sehemu tofauti na eneo halisi, jambo linaloweza kusababisha upotoshaji unaoweza kuibua taharuki katika jamii. Ili kubaini Uhalisia wa eneo, chunguza alama zilizopo barabarani na majengo kwani zinaweza kuonesha utambulisho wa eneo husika.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…