Sir David Beckham eti naye amemuiga Imam hussein pozi la picha alipokuwa na mijibwa yake kijijini uingereza.
Pozi hilo maarufu la kipekee ambalo kipenzi chetu cha dhati mwamba mkombozi wa waislamu aliyeuwawa kikatili kuulinda, kuutetea na kuupigania uislam dhidi ya ukatili, udhalilishaji na...