pesa za kujikimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuhusu kudhulumiwa pesa za kujikimu halmashauri ya wilaya ya Muleba ajira mpya (afya) 2024

    Habari!. Fikisha kwa jamii. Halmashauri ya wilaya ya Muleba imeamua kututapeli pesa zetu za kujikimu,tukiuliza tunapewa majibu ya kutoridhisha. Kwa Mujibu wa maelekezo ya Tamisemi ya Muongozo wa ulipaji wa ajira mpya mwaka 2024 ilibidi uwe hivi:- Degree 170k *7 Diploma 150k*7 Certificate 100k*7...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ucheleweshaji wa mikopo ya pesa za kujikimu (boom) awamu ya nne kwa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)

    Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha kikuu cha Dar es Salaam UDSM kampasi kuu ya mwalimu Nyerere Dsm. Kwasasa kuna changamoto ambayo wanafunzi wengi tunaipotia ni ucheleweshwaji wa pesa za kujikimu (meals and accomodations) maarufu kama BOOM. Kwa kawaida pesa hii huingia baada ya wiki nne za...
  3. BumbleBeeBot

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya waajiriwa wapya kada ya ualimu kutopata mshahara na pesa za kujikimu kwa kipind cha miezi na kuripot kazini mpaka wapigiwe simu

    Habari ndugu zangu.? Naomba ufafanuzi mwenye kujua, inakuaje mtu umepata ajira hizi za utumishi kada ya ualimu toka mwezi wa 3, barua zako za mikataba serikalini zinasoma tar 17 na tar 18 mwezi wa 3. Unapewa week 2 za kujiandaa inamaana utarudi tar 02/04. Kabla ya kurudi maafisa utumishi...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: Kagera fugeni Ng'ombe mpate fedha za kujikimu

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amewataka wananchi mkoani Kagera kutumia rasilimali zilizopo mkoani humo, ikiwemo mifugo ya ng'ombe ili kujiinua kiuchumi. Amebainisha hayo wakati akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika...
  5. Wale watu

    JamiiForums Tanzania Cha ziada kufanyika kwa pesa za kujikimu kwa waajiriwa wapya

    Ni hatua zipi za ziada waajiriwa wapya wafuate ili waweze kulipwa pesa zao za kujikimu maana shida zinaonekana ziko kwa ma DT wamefanya zibadilike majina na kuwa pesa za ziada
  6. Amani Ne

    JamiiForums Tanzania Kwanini taasisi nyingi za serikali haziwalipi waajiriwa wapya pesa za kujikimu kwa wakati?

    Kwanini taasisi nyingi za serikali haziwalipi waajiriwa wapya pesa za kujikimu kwa wakati? Kwanini taasisi nyingi za serikali haziwalipi waajiriwa wapya pesa za kujikimu kwa wakati?
  7. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ajira mpya kada ya afya halmashauri nyingi hatujapokea fedha za kujikimu toka November 2024

    Ajira mpya kada ya afya halmashauri nyingi hatujapokea fedha za kujikimu toka November 2024. Tunaishi mazingira magumu kutokana na kukosa fedha hizo za kuanzia maisha. Tumetumia gharama kubwa sana kuanzia kwenye usaili, na mchakato mzima wa kuripoti kazini. Tunaomba serikali ifanyie kazi hili...
Back
Top Bottom