penzi

Sumu la Penzi is a Kenyan Swahili, melodrama that premiered in 2013 in Africa Magic Swahili. It has Serah Ndanu, Joyce Maina, Naomi Ng'ang'a and Judith Nyambura as the female leads.

View More On Wikipedia.org
  1. BumbleBeeBot

    Mdogo wangu (Family friend), kanipa penzi najiona nimekolea

    Huku Mbeya tuna family friend ambaye ni kama ndugu, huyu mzee namfahamu kama bamkubwa toka 2008, huyu mzee watoto wake wote wamepiga shule za nje ya nchi na waliosoma hapa bas ni shule nzuri ni mkali sana kwa watoto wake. Kuna kipindi niliishi sana kwake zaidi ya miezi 6, kwa kipindi hiko...
  2. Stability

    Hili penzi za mahondaw na smart 911 linakera sasa😂

    Kila muda cc mahondaw, hata uzi wa kuomboleza cc mahondwa, we ngoja siku nikiwashika pamoja👇🏻
  3. ELI COHEN

    Penzi la binti alie mwembamba lipo genuine na original kuliko penzi la tipwa tipwa

    Kosa tipwa tipwa ajue unababaika kuhusu yeye Au ajue maisha yako ni ya kuunga kuunga Au ajue wewe ni mnyonge utapelekeshwa balaa mnoo kama gari taka. Naona kila siku mabinti wembamba ndio wanaolewa na unene wanaenda kuupatia ndoaani na hata wakiwa wanaoelewa wakiwa wanene hauwezi kuta wana...
  4. SankaraBoukaka

    Wenye Guest House na Lodge Siye Tunaochepuka na Wake za Watu – Tunaomba Muondoe Magrill Madishani!

    Wapendwa wamiliki wa Guest House na Lodge kote nchini, Kwa heshima zote, nyenyekevu, na kwa maumivu ambayo hayawezi kuelezwa kwa lugha ya kawaida, tunawaomba kwa moyo wa dhati MUONDOE MAGRILL MADIRISHANI! Hili siyo ombi la kawaida. Huu ni wito wa dharura kutoka kwa sisi watu wa vishughuli vya...
  5. Hyrax

    Hivi ndivyo Single Mother wanavyowatetea Baby Daddy zao wakiwa kwenye penzi Jipya

    Kama una akili nyepesi unaweza usielewe yaani ni kama anamkandia na hataki kumsikia lakini ukienda ndani zaidi unagundua anamkingia kifua asiguswe kuna mipaka anataka akuwekee ili usiwe unahoji mambo yanayoweza kufukua makaburi na maiti zilozolala. Am done with Single Mothers
  6. fact only

    Mwanaume - Mwanamke vipi 50 Kwa 50 Kwenye ndoa au penzi lako imesaidia au kilio?

    50 Kwa 50.
  7. M

    Akina dada kumpa Ex wako penzi siku moja kabla ya harusi huwa mnafikiria nini?

    Inashangaza sana mdada anakuwa na mtu wake kwa muda mrefu lakini hamuoi na wala hana mpango wa kumuoa. Lakini anakuja kupata mtu wa kumuoa cha ajabu kabla ya harusi anakwenda kumpa penzi na anagongwa kana kwamba sio mchumba wa mtu. Hii inashangaza sana.
  8. Muimba SINGELI

    Smart911 na Mahondaw tupeni mbinu vijana wenu maana maadui wa penzi letu ni wengi mno

    Heshima kwenu wakubwa zetu Smart911 na Mahondaw Mimi Kijana Masikini na Mpenzi wangu Marry Diana tunaomba mtupe siri ya mafanikio juu ya kudumu kwenu kwa muda mrefu kwenye Mapenzi. Tunajuwa nyinyi sio waongeaji sana lakini tunaomba madini ya kutosha kutoka kwenu. Tunatanguliza shukrani...
  9. Just Pray

    Makamu wa Rais: Viongozi wanolazimisha penzi ofisini washughulikiwe

    Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango ametoa onyo kwa baadhi ya viongozi wa umma wanaotumia madaraka yao vibaya kwa kulazimisha mahusiano ya kingono kazini, hasa kwa waandishi waendesha ofisi (makatibu mahsusi). Dkt. Mpango alikuwa akizungumza katika mkutano wa 12 wa Chama cha Waandishi Waendesha...
  10. M

    KMC kusema wanacheze Dar ili kuwasaidia Simba ni sawa na kutoa penzi kwa Simba kama Zawadi ya kuingia fainali

    Kiongozi mkubwa wa KMC amedai kuwa wameamua kucheza mechi yao na simba Dar es salaaam katika uwanja wa KMC tofauti na walivyopanga awali kucheza mechi hiyo tabora kwakuwa simba wameingia fainali na wanataka wasiwachoshe simba ili wapate muda mzuri wa Kujiandaa na mechi ya Fainali. Kitendo hicho...
  11. MamaSamia2025

    Taarifa kwa Umma: Nimezama kwenye penzi la single mama

    Kama ilivyo kwa watu wengi hata mimi sikuwa na wazo kuwa siku moja nitazama mazima kwenye penzi la single mama ila ndo hivyo niko kwenye mahaba mazito. Huyu binti wa miaka 32 nimetokea kumpenda mno kuliko CHADEMA wanavyopenda maandamano yasiyo na tija. Ni binti mwenye sura nzuri sana na umbo...
  12. ELI COHEN

    Labda muda mwingine ni sisi ndio tunadata na urembo wao kupelekea kuanza kuwatuza isivyo kawaida thus wao kuanza kuamini kumbe penzi lao ni la mauzo

    Je ni sisi wenyewe wanaume ndio tuliotengeneza aina ya mwanamke mpenda na mtanguliza pesa katika mapenzi? Au ni wadada wenyewe ndio wame-evolve kuwa money mongers katika mapenzi?
  13. ELI COHEN

    Twende logically, kwanini uhudumie demu ulie nae kihuni for the sake ya kupata penzi lake ambalo hilo hilo kuna mwana veta analipata bila ya kujipinda

    Acha mihemuko ya kuniambia "tafuta hela wewe" Acha mihemuko ya kuniambia "sasa unataka uhongwe wewe? Simaanishi kui-normalize hii ila more and more nazidi kuheshimu wale wana wanaotoa escorts mitandaoni na kwenda physically pale riverside, wanapigana nao mieleka baada ya hapo shughuli na yeye...
  14. R

    Changamoto wanayopitia mabinti wa chuo kutoka kwa baadhi ya walimu

    Lecturer hana tofauti sana na Mungu mtu kwa maisha ya chuoni, ana uwezo mkubwa wa kuamua kufanya maisha yako yawe magumu au yawe mepesi, kukufelisha au kukufaulisha Hata kama ni mke wako huna cha kumwambia mwalimu wake kwenye suala la marks. Wanafunzi wengi ni ngumu kuchomoa kwasababu kuu...
  15. KikulachoChako

    Kulipigania penzi kunaweza kuwa ndio sababu ya anguko lako na majuto ya milele maishani mwako.....weka ukomo wa uvumilivu....(True story)

    Habari za muda huu waungwana wa hapa..... Leo nimemkumbuka mdogo wangu wa kike mtoto wa mama yangu mdogo..... Mdogo wangu ambaye alikuwa binti ambaye familia ilikuwa na matumaini makubwa sana kwake kutokana na wajihi na tabia zake njema....... Kwa kufupisha story safari yake ya kielimu...
  16. Just Pray

    Mbeya: Ahukumiwa mwaka mmoja jela kwa kumuua mpenzi wake kisa kunyimwa Penzi

    Mahakama Kuu Masijala Ndogo ya Mbeya, imemuhukumu adhabu ya kifungo cha mwaka mmoja jela, Hamphrey Ngogo, baada ya kumkuta na hatia ya kumuua mpenzi wake Faraja Shabani, bila kukusudia. Katika kesi hiyo ya jinai ya mwaka 2023, hukumu yake imetolewa jana Machi 25, 2025 na Jaji Mussa Pomo na...
  17. Mr Beach Boy

    Picha: Hatimae nimejinasua kwenye penzi la kitumwa

    Mchumba huyu nimedumu nae miaka miwili Sasa, ila dharau na jeuri ndio Tabia yake sugu. Sasa imetosha.
  18. Maleven

    Huku kwenye ndoa wake zetu wanatuuzia penzi

    Kuna umalaya au udangaji unaendelea kwenye ndoa. Yani ule muda unaomba tendo la ndoa, ndio mke anakukumbushia kitu ambacho ameomba au anakwambia nimechoka, au kama wataka umpe hela. Ni jambo gumu sana kulifikiria lakin hakuna jinsi ndio uhalisia, inafika wakati unajua kabisa kua umeoa mtu...
  19. Forrest Gump

    Sioni mantiki yoyote mwanamke asiekuwa mwenzi wako wa ubani eti utumie zaidi ya tsh 10,000 kupata penzi lake

    Yani mnapangiwa bei utafikiri anakuja yuko sealed wakati anakuja huku amekuwa fabricated siku nzima na anakutungia hisia kuwa umemuweza alafu baada ya wazungu kushangilia, unavaa zako suruali huku umepanda dala dala unajiuliza na kujilaumu was it worth it kutumia 50,000? Economic value ya kitu...
  20. Binti wa zamani

    Unaua msichana kisa umenyimwa penzi, daah upwiru ni hatari sana!

    Nimeamka na kuona hii habari, alichokifanya huyu kijana kinasikitisha. Amekatisha uhai wa huyu binti angali mdogo na amejiharibia future yake maana ataenda gerezani maisha. Eti wanajamvi, hii tamaa ya mbususu inaweza kukufikisha kwenye hatua hii?
Back
Top Bottom