peke yake

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    JamiiForums Tanzania Heche: Kwanini ulale njaa wakati Tanzania peke yake ndio yenye madini ya Tanzanite?

    Akizungumza katika mahojiano na Radio Mjini FM leo Julai 25, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amehoji kwa nini Watanzania walale njaa wakati Tanzania ndio nchi pekee yenye madini aina ya tanzanite duniani na yenye hifadhi kubwa za wanyama duniani?
  2. B

    JamiiForums Tanzania Hivi anaepaswa kuilinda ndoa ni mke peke yake au mke na mume

    Hv kwann jamii inamchukuliaje mwanamke aisee Nimeolewa tangu mwaka wa kwanza mume kila mwaka matukio ya usaliti kali kabisa mwaka juz nilibaini anatoka na rafiki yangu wa ndan kabisa mwaka huu tena nimegundua anatoka na jiran kabisa tuliekua na ukaribu nae bado hatujamaliza iyo kesi nagundua...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wakati EU na America wakijiandaa kuitenga serikali ya Samia, Watanzania tusiwe nyuma, ni wakati wa kumsusia kila kitu abaki peke yake!

    Wakati wazungu wakituhurumia jinsi tunavyopigwa Watanzania, jinsi tunavyokandamizwa, jinsi viongozi wa dini wanavyoshughurikiwa wanapoamua kusimamia kweli, wanasiasa wa vyama vya upinzani na hata Wana CCM wanaokwenda kinyume naye wanavyoshughurukiwa, mtu mmoja mmoja na hata kufungwa kwa nyumba...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kulelekea Uchaguzi, natamani Samia abakie peke yake na familia yake, wengine wote wamtenge na ashindwe kwa kila kitu

    Kwanza ifahamike sielewi amefanya nini na anatupeleka wapi, mi naona anatupeleka kwenye kumfunga kila anayempinga namna anavyoendesha nchi yetu! Itakuwa furaha kuu siku moja mgombea wa ccm kuanguka na kushindwa vibaya Natamani mgombea wa CCM ashindwe na atengwe na kila mtu ili abakie peke...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Nina hamu kubwa kuona Samia atakavyozunguka peke yake kufanya Kampeini

    Kubali ukatae Uchaguzi wa mwaka huu umepoa sana. Na baada ya mchujo wa wagombea CCM basi Uchaguzi utakuwa umeisha. Ata wagombea wa CCM wasipofanya kampeini ndo watakuwa Wabunge. Kwa upande wa kiti Cha urais ni Wazi washindani wa Samia watakuwa kina Chief Ryemba,Dovutwa na Rungwe. Kwa miaka...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Msiogope wauwao mwili peke yake bali mwogopeni Mungu auwaye mwili na roho ,Twendeni kwenye ibada pale pale ubungo maji injili lazima isonge mbele

    Injili lazima ihubiliwe kwa viumbe wote! Yesu alisema; Msiogope hawa wanaowatishia kuuwa mwili peke yake, Bali mwogopeni sana Mungu ambaye anauwa vyote yaani Mwili na roho na hao wanaowatisha! Shetani kazi yake ni kutisha na kuuwa mwili peke yake! LAKINI mwenye mamlaka ya MWILI NA ROHO ni...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Je! Rais Samia anapambana peke yake ndani ya CCM? Kitendo cha yeye kutoa hukumu kama M/kiti juu ya Gwajima, hakuashirii jambo hili?

    Kitendo cha Rais Samia kulibeba suala la Gwajima yeye kama yeye bila ya kuwa sehemu ya agenda kamili ya mkutano mkuu wa ccm wa juzi na na jana, kuna leta maswali mengi juu ya uungwaji mkono ndani ya chama chake Kwa kiswahili kisicho sawa, hapa mwenyekiti alitumia kiti chake kumhukumu Gwajima...
  8. JamiiForums Tanzania KUWA NA PESA PEKE YAKE HAITOSHI KUWA NA NYUMBA NZURI UNAHITAJI PIA WATAALAMU WABOBEVU KAMA SISI CALL US 0624004650

    TUNAHUSIKA NA HUDUMA YA DESIGN NA UJENZI TUNAPATIKANA DAR ES SALAAM SINZA CALL/WHATSAP US +255624004650
  9. R

    JamiiForums Tanzania Trump ameivuruga dunia nzima na import tarrifs alizoziweka kwa bidhaa zinazoingia USA. Je dunia ikimsusia anaweza ku survive peke yake?

    Suppose, china and his allies and the world in general wakimsusia USA anaweza ku survive peke yake? 1. Industrial products zake ataziuza wapi? 2. Raw materials za viwanda vyake atazipata wapi? 3. etc etc Wataalamu wa uchumi tuelewesheni
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: Deni la taifa, trilioni 97 hajakopa Rais Samia peke yake, tulikopa tangu enzi za Nyerere

    Makamu mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira amesema nchi inakopa kwa ajili ya kufanya mambo tukayoishi nayo na faida zake zitakuwepo kwa miaka mingi kwa kizazi cha sasa na hata kijacho. Amesema deni lililopo la Sh. trioni 97 sio kwamba lote limekopwa na Rais Dk. Samia Suluhu...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Hivi wadau local chanel za startimes ni za kulipia siku hizi?

    Hivi wadau local chanel za startimes ni za kulipia siku hizi? TBC ndo napata peke yake
  12. JamiiForums Tanzania Wakili LEVINO: Mbowe is Politically uncircumcised. Kwenye masomo yote ya IDU yeye peke yake kapata division zero

    === MBOWE HAJAONGOKA NA KUBATIZWA KATIKA DEMOKRASIA, UTAWALA BORA NA USTAARABU WA MWANADAMU Ukimsikiliza Mbowe katika Mahojiano yake na Salim Kikeke, unagundua huyo Mzee bado ni MPORI-PORI hajui Dunia inaelekea wapi. Mbowe ana Mentality ngumu sana kueleweka na watu wenye akili timamu. Mtu...
  13. JamiiForums Tanzania Nawauliza watumishi wa Yesu Kristo: Mungu Mkuu kupita miungu yote, aliye hai peke yake, kwa nini wanaoneana Wivu katika kazi walizopewa!?

    habari ya wakati huu jamii forum leo nawazungumzia hawa watumishi na ninaposema watumishi sio tu wahubiri wa neno la Mungu na na utendaji wa huduma zao, bali na waimbaji wa nyimbo za injili ambao wao wanahubiri kupitia nyimbo, ikiwa ni moja ya zile huduma tano alizotoa Yesu Kristo ya...
  14. JamiiForums Tanzania Mwezi huu wa December peke yake nimeombwa hela na wanawake takriban 29

    Wengine nimewapiga block, Wengine nimewapotezea sipokei simu zao,wengine nawqoiga kiswahili. Hakuna niliyemuambia kuwa sina.na hakyna niliyenpa hata mia Mwanaume usiseme sina.utakuwa John Cena, Hivi wanawaje hudhani sisi tunaikotahela?
  15. JamiiForums Tanzania Ajali za mwisho wa mwaka, Je ni Africa peke yake au hata nchi zilizoendelea ? Je ni dhana ya ulozi au Uzembe tuu ? Mbona watu wanapotea kizembe hivi ?

    Salaam Case study: Tanzania, Hizi ni coache tu, kagera 15, Mikese 18, hapo bado majeruhi watakao kuwa vilema wa maisha, Sina data kamili ila kuanzia mwezi wa 10 mpaka huu wa 12 inawezekana death toll kwenye ajari pekee inafika 50, hapo bado sijazungumzia pale songwe mlima mbalizi nasikia tena...
  16. JamiiForums Tanzania Kama viongozi wa mikoa yote wa chama cha chadema wamehudhuria mkutano wa Mbowe, na Lissu anazurura peke yake, uchaguzi umekwisha!

    Nimeona viongozi wote wa mikoa wa chama cha demokrasia na maendeleo wamepiga kambi kwa Mbowe wakijiapiza kumuunga mkono, naona Mbowe kafunga hesabu, uchaguzi umekwisha. Lissu anazurura peke yake tu na makaratasi mkononi
  17. JamiiForums Tanzania Sababu ambazo hupelekea mtu kujihisi vizuri zaidi na mawazo na hisia zake mwenyewe na kupendelea shughuli za peke yake

    Hapa kuna baadhi ya maswali ambayo unaweza kujiuliza ili kujielewa vizuri zaidi: * Je, unapendelea kuwa peke yako mara nyingi? * Je, unajisikia vizuri zaidi unapokuwa na watu wengine? * Je, unaogopa kukataliwa? * Je, unajisikia peke yako au umetengwa? * Je, una matatizo yoyote ya afya ya...
  18. P

    JamiiForums Tanzania DP World kapewa bandari zote au ni Dar peke yake?

    Habari za jioni wakuu, naomba kuuliza, DP world amepewa aendeshe Bandari ya Dar Pekee au zimo na za mikoani pamoja na Tanga na Mtwara? Pia kampuni ya MRC pale bandarini inajihusisha na Nini?
  19. JamiiForums Tanzania Mbali na kuwa na washirika wengi wanaomuunga mkono Russia, kwa USA, Russia ni kama yuko peke yake!

    Russia tangu ameingia vita vya kijeshi na ka nchi kadogo kanakoingia mara 8 kwa Russia, ametafuta ushirika na mataifa mengi na makubwa yenye uwezo mbalimbali kijeshi mpaka kafika Africa akajipatia SA Marafiki ambao wamekukubaliana kuweka ushirikiano pamoja ili kumdhibiti USA ni, China, Iran...
  20. JamiiForums Tanzania Zelensky: Hakuna nchi inayoweza kustahimili vita na Urusi peke yake

    Kiongozi wa Ukraine anahimiza ulimwengu kuungana dhidi ya Moscow Hakuna nchi inayoweza kustahimili vita na Urusi peke yake - Zelensky Vladimir Zelensky wa Ukraine ameitaka jumuiya ya kimataifa kufanya kazi pamoja dhidi ya Urusi, akisisitiza kwamba hakuna taifa linaloweza kunusurika vita na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…