Kwako Mkurugenzi wa PCCB: Mkuu wa PCCB mkoa Kagera ni mla rushwa

nyamuna

New Member
Nov 11, 2019
1
45
Mkuu pole na kazi,

Kwa masikitiko napenda kukujuza kuwa vitendo anavyofanya huyu kiongozi wa PCCB mkoa wa Kagera haviachi chembe yoyote kuhusu rushwa.

Kiongozi huyu amekuwa akishirikiana na watu tunao wajua tabia zao za kudhurumu watu mali zao na kisha kukimbilia kwa kiongozi huyu wa pccb ili kujificha huko.

Mmoja wapo wa watu anaoshirikiana nao ni mtu anayeitwa NELSON maarufu Mandela fundi mgari aliyewahi kufanya kazi ELCT Garage. Ni mwenyeji wa kati ya kata ya kibeta au kitendaguro manispaa ya bukoba.

Jamaa huyu anaumiza watu sana na kuwaonea sana na kisha kukimbilia kwa mkuu huyu wa pccb. Mkuu huyu wa pccb anamiliki majumba na magari maeneo ya kolping mjini bukoba na nyumba hizo ni mali ya mkuu huyu wa pccb ambaye tunamfahamu sura ila jina hatulijui na anavaa miwani, anapenda kutumia gari aina ya noah.

Mhe. mkurugenzi naomba huyu jamaa ahojiwe na tutakuwekea hapa hapa ushahidi wa matendo yake na Zaidi tutakutumia kwenye email yako ya taasisi.

asante
 
RWANDES

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
348
500
Mkuu pole na kazi,
Kwa masikitiko napenda kukujuza kuwa vitendo anavyofanya huyu kiongozi wa PCCB mkoa wa Kagera haviachi chembe yoyote kuhusu rushwa.
Kiongozi huyu amekuwa akishirikiana na watu tunao wajua tabia zao za kudhurumu watu mali zao na kisha kukimbilia kwa kiongozi huyu wa pccb ili kujificha huko. Mmoja wapo wa watu anaoshirikiana nao ni mtu anayeitwa NELSON maarufu Mandela fundi mgari aliyewahi kufanya kazi ELCT Garage. Ni mwenyeji wa kati ya kata ya kibeta au kitendaguro manispaa ya bukoba.
Jamaa huyu anaumiza watu sana na kuwaonea sana na kisha kukimbilia kwa mkuu huyu wa pccb. Mkuu huyu wa pccb anamiliki majumba na magari maeneo ya kolping mjini bukoba na nyumba hizo ni mali ya mkuu huyu wa pccb ambaye tunamfahamu sura ila jina hatulijui na anavaa miwani, anapenda kutumia gari aina ya noha.
Mhe. mkurugenzi naomba huyu jamaa ahojiwe na tutakuwekea hapa hapa ushahidi wa matendo yake na Zaidi tutakutumia kwenye email yako ya taasisi.
asante
Mkuu mbungo hapitipiti kwenye mitandao ya kijamii Sana Kama wakina sirro na DGTISS Chakufanya orodhesha vielelezo na ushahidi vyote tuma kwenye email hq watainasa na kuifanyia kazi kimyakimya atashughulikiwa vizuri
 
Rwazi1

JF-Expert Member
May 3, 2013
683
1,000
Mkuu pole na kazi,
Kwa masikitiko napenda kukujuza kuwa vitendo anavyofanya huyu kiongozi wa PCCB mkoa wa Kagera haviachi chembe yoyote kuhusu rushwa.
Kiongozi huyu amekuwa akishirikiana na watu tunao wajua tabia zao za kudhurumu watu mali zao na kisha kukimbilia kwa kiongozi huyu wa pccb ili kujificha huko. Mmoja wapo wa watu anaoshirikiana nao ni mtu anayeitwa NELSON maarufu Mandela fundi mgari aliyewahi kufanya kazi ELCT Garage. Ni mwenyeji wa kati ya kata ya kibeta au kitendaguro manispaa ya bukoba.
Jamaa huyu anaumiza watu sana na kuwaonea sana na kisha kukimbilia kwa mkuu huyu wa pccb. Mkuu huyu wa pccb anamiliki majumba na magari maeneo ya kolping mjini bukoba na nyumba hizo ni mali ya mkuu huyu wa pccb ambaye tunamfahamu sura ila jina hatulijui na anavaa miwani, anapenda kutumia gari aina ya noha.
Mhe. mkurugenzi naomba huyu jamaa ahojiwe na tutakuwekea hapa hapa ushahidi wa matendo yake na Zaidi tutakutumia kwenye email yako ya taasisi.
asante
we utakuwa huelew pccb wanafanyaje kazi zao. hujaelezea huyo bos kujuana na mtu flan wanakula hela za nan na kivip. na mhusika unasema hata sio mtumishi wa umma. hili ni jukwaa la kupost umejipanga sio facebook.
 
residentura

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
2,798
2,000
miongoni mwa wala rushwa walioaminiwa ni hao wanaitwa pccb...
Niliwahi kuwa na mahusiano na bosi mmoja wa TAKUKURU mkoa fulani,niliyoyaona nilisikitika sana. Mdada alikuwa mla rushwa mpaka basi. Hawa jamaa ni wala rushwa wakubwa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom