Wakuu habari za muda huu.
Ni mwaka 2025, dunia inakimbia kwa kasi kwenye suala la teknolojia, lakini sisi bado tumekwama kwenye jambo dogo la huduma ya kifedha ya mtandaoni kama PayPal.
Watanzania — hasa vijana wa kidigitali, wabunifu, wasanii, freelancers, na wafanyabiashara mtandaoni —...