Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, amemtaka Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo kuomba radhi kwa watu aliowaumiza, huku akitaja kuwa aliwafitinisha.
Makonda amesema hayo wakati akizungumza katika maadhimisho ya Miaka 61 ya Muungano yanayofanyika leo kimkoa katika uwanja wa Soko la...