paul makonda

Paul Makonda
Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.

Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.

He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
  1. Ukishaona Makonda anashambulia viongozi wenzake hadharani, ujue kuna mkeka unakaribia kutoka nyumba nyeupe

    Ndani ya miezi miwili kutoka sasa, utashangaa kuna mkeka unatoka na kuna watu wataliwa vichwa. Stay tuned…
  2. Makonda: Tunaongea na Meta 'contents' za Kiswahili, malipo yaongezwe

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema Serikali imeanza mazungumzo na UNESCO pamoja na Uongozi wa Kampuni Mama inayomiliki Faceebok, Instagram na WhatsApp (META) ili Lugha ya Kiswahili itambulike rasmi kwenye Majukwaa ya Kimtandao na kuwezesha Vijana wanaotengeneza...
  3. L

    Mkuu Wa Majeshi Mstaafu Jenerali Venance Mabeyo Ammiminia Sifa na Pongezi Paul Makonda Kwa Uchapakazi wake Uliotukuka. Ampa Baraka na Nasaha

    Ndugu zangu Watanzania, Mwamba Paul Makonda Ataendelea kung'aa Kiuongozi ,kushika nafasi nyeti ,kupaa kiuongozi Kutokana na uchapakazi wake uliotukuka na wa kuleta matokeo chanya na ya haraka. Huyu Mwamba ni kama amekuja kwa kazi maalumu hapa Duniani. Ni mtu ambaye ukimpatia kazi anaifanya...
  4. Makonda: Ssebo aliniambia nifanye namna LULU atoke Gerezani

    My take: 1. Kumbe Viongozi wananamna zao na uwezo wakuwatoa baadhi ya watu wao Gerezani?! 2. Viongozi wafundishwe Namna ya kuzungumza na tai ya kuzungumza -------------- Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, amesema marehemu Dennis Busulwa maarufu kama Ssebo atakumbukwa...
  5. Makonda: Serikali imelipa CAF Tsh. Bilioni 82, Tanzania kuwa mwenyeji wa AFCON 2027

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Christian Makonda (Mb) amesema Serikali ya Tanzania chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu tayari imelipa takribani Dola za Marekani Milioni 32 kwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) kama sehemu ya gharama za maandalizi ya kuwa mwenyeji...
  6. Makonda anataka kuitumia Simba kupanda kisiasa zaidi au Mo ndio anamtumia kufikia malengo yake kibiashara?

    Mchanganyiko wa mpira na siasa za utawala wa CCM Tanzania ni mojawapo ya jambo la kuudhi sana linalokwamisha na kuharibu mema ya nchi yetu pande zote mbili pamoja na kuleta migawanyiko ambayo hakipaswa kuwepo. Kuna video clip nimieona ya mwanamke mmoja huenda ni shabiki au kiongozi wa...
  7. Makonda ampa msajili siku 12 kumaliza utata Simba

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amemtaka Msajili wa Vyama vya Michezo nchini, Abel Ngilangwa kuipa Simba majibu ya kinachoendelea kuhusu mchakato wa mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji. Makonda amesema kuwa msajili anatakiwa kabla ya mwezi huu kumalizika, awe ametoa...
  8. Makonda: Rais Samia ameagiza Ujenzi wa Shule 56 za Kukuza Vipaji vya Watoto

    Rais Samia Suluhu ameagiza kujengwa kwa shule mpya 56 za kukuza vipaji vya Watoto ili waandalie na wakidhi vigezo na masharti yanayotakiwa kwenye kununuliwa au kusajiliwa na Timu kubwa ndani na nje ya Tanzania. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesema hayo leo...
  9. Makonda: Rais Samia ametoa Tsh. 2 Bilioni kwa ajili ya Watengeneza maudhui Mtandaoni (Content Creators)

    Vipi Content Creator umeshaenda kuchukua mzigo? Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema Wizara imepatiwa kiasi cha Tsh. 2 Bilioni itakayowawezesha watengenezaji wa maudhui mbalimbali mitandaoni kuimarisha kazi zao na kuwaongezea kipato kupitia majukwaa ya...
  10. L

    Makonda aendelea kupaa. Alamba Uteuzi Mzito Ndani Ya CCM

    Ndugu zangu Watanzania, Huyu Mwamba Ni Balaa Kwelikweli. Hakamatiki Wala Hashikiki. Mungu Wake nI mkubwa sana na anatembea naye muda wote Kuna jambo kubwa sana limepangwa na Mungu Wake Kwa Taifa letu ambalo litatimia. Mengi nilishaeleza Juu ya huyu Mwamba na namna gani ni hazina ya Taifa...
  11. W

    Makonda: Tutaunda kitengo kusambaza habari za Tanzania kwenye vyombo vya habari vya kimataifa

    Makonda: Tutaunda kitengo kusambaza habari za Tanzania kwenye vyombo vya habari vya kimataifa. "Kazi yake ni habari ikifanyika inachukuliwa inapelekwa kwenye vyombo vya kimataifa ili sura yetu na mwonekano wetu uendelee kuimarika," amesema Makonda.
  12. Ushauri wangu kwa Waziri Paul Makonda ili kuifanya Tanzania ing'are kwenye vyombo vya kimataifa

    Waziri wa Habari, Paulo Makonda ameonesha nia nzuri ya kutaka Tanzania ifahamike kimataifa. Hata hivyo utaratibu aliouzungumza ili Tanzania iandikwe aljazeera, CNN na maeneo mengine ina walakini, na hapa nitoe mawazo yangu kwenye kutimiza hilo. Suala la sisi kuandikwa kimataifa halifanyiki sana...
  13. Makonda: Tabia yangu inajulikana, sina tabia ya kukuchekea wakati moyoni nimekununia

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Paul Makonda ametaka watendaji wa Wizara hiyo kufunga mkanda ili kutimiza malengo waliyojiwekea wakiwa chini ya Profesa Palamamba Kabudi. Makonda ameyasema hayo hii leo tarehe 13 January 2026, kwenye zoezi la kukabidhiwa ofisi muda mchache mara...
  14. Paul Makonda: Kuna kipindi tunawachukia wanahabari wanaoripoti kero za wananchi. Mkurugenzi kaa kwenye kiti chako na uenee

    Wakuu, Huyu hapa Makonda akiwa anawawashia moto wanahabari ambao wanamind vyombo vya habari ambavyo vinaripoti kero na changamoto za wananchi "Inafika mahala Watanzania wanaenda kulalamika kwa wanahabari huko mitaani, wanahabari wanaenda kuripoti kero za wananchi iliyotokea kwenye halmashauri...
  15. PostGE2025 Makonda: Nitaenda kumlilia Rais Samia atupe Tsh. 2 Bilioni kwa ajili ya vijana wa Online TV na Content Creators

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Christian Makonda, ametangaza mpango wa kumuomba Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kiasi cha hadi Shilingi bilioni mbili kwa ajili ya mikopo ya vifaa vya kisasa kwa ajili ya vijana waliojiajiri kupitia vyombo vya habari vya mtandaoni na...
  16. SI KWELI Paul Makonda asema kuwa Mwandishi wa Habari lazima uwe na leseni kuandika habari za Serikali

    Kumekuwepo Na Chapisho Linalo Sambaa Kwenye Mitandao Ya Kijamii Hasa Facebook Likiwa Na Ujumbe Kwa Vyombo Vya Habari.Je Lina Ukweli Kiasi Gani? Hii Ni Nukuu Ya Ujumbe huo ""Baada yakuteuliwa kuwa waziri wa habari, Makonda kaja na Sheria mpya. Mtu yoyote ili aweze kutoa taarifa ya serikali ni...
  17. President Samia appoints Makonda as Minister for Information as she dismisses Simbachawene as Home Affairs Minister

    The President of the United Republic of Tanzania, Dr Samia Suluhu Hassan, has made several appointments and dismissals of government leaders. According to a statement released by the Chief Secretary, Ambassador Dr Moses Kusiluka, the changes are as follows (i) Hon Patrobas Paschal Katambi MP...
  18. PostGE2025 Makonda ateuliwa kuwa Waziri wa Habari, Simbachawane atenguliwa Uwaziri wa Mambo ya ndani ya Nchi

    Simbachawene kafanya nini tena? Mbona imekuwa mapema sana kutenguliwa kwake! Tutamkoma Makonda master misifa au tuseme kuhamasisha AFCON kwa Tanzania imemfanya apate nafasi? ================== Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi na utenguzi wa...
  19. PostGE2025 Makonda: Watanzania kutoa milioni 100 kwa kila goli la Stars AFCON

    Kuelekea mechi kati ya Timu ya ya Taifa ya wanaume (Taifa Stars), Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda amesema amepigiwa simu na Watanzania mbalimbali ambao wameahidi kutoa Tsh. 100 kwa kila goli watakalofunga dhidi ya Uganda Desemba 27 na ile ya Tunisia Desemba 30...
  20. Paul Makonda kuiongoza Taifa Stars AFCON 2025 nchini Morocco

    Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda ndiye ataongoza msafara wa Tanzania katika Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) zitakazofanyika Morocco kuanzia Desemba 21, mwaka huu hadi Januari 18, mwakani. Hilo limethibitishwa leo na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…