paul chacha

John Paul Mwirigi (born 7 January 1994), is the Member of Parliament for Igembe South Constituency, Meru County, in the Kenya National Assembly. He was elected in August 2017 at the age of 23 years, the youngest ever Kenyan member of parliament. He was re-elected on 9 August 2022 as Igembe South Constituency MP with a total of 34, 561 votes. His closest opponent garnered 10,000 votes.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Madeleka: CCM inatakiwa isimiliki Majeshi kwa mujibu wa Katiba, lakini imekuwa ikimiliki kwa mujibu wa Chacha

    Wakili na Mdau wa Demokrasia, Peter Madeleka, amesema kuwa hakuna demokrasia ya kweli inayoweza kuwepo katika nchi inayofuata mfumo wa vyama vingi vya siasa endapo chama kimoja kinamiliki na kuyaamrisha majeshi ya ulinzi na usalama. Madeleka amebainisha kuwa tangu mwaka 1992, Katiba ya...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wakili Madeleka: Paul Chacha anatakiwa kukamatwa kwa Uhaini, kwa Kauli kuhusu Vyombo vya Ulinzi

    Wakili Peter Madeleka ameitaka mamlaka za ulinzi na usalama kumchukulia hatua Chacha kufuatia kauli anazodaiwa kutoa kuhusu umiliki wa vyombo vya ulinzi na usalama. Madeleka amedai kuwa kauli hiyo inaweza kuhusishwa na uhaini, akirejea Ibara ya 147(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa...
  3. kavulata

    JamiiForums Tanzania Paul Chacha hakuna alichokosea, vyombo vya dola lazima vitii serikali ya chama tawala chochote.

    Paul Chacha, katibu wa NEC ya CCM amewatia jambajamba kubwa watu wasiojua kufikiria vizuri kwa hotuba yake kwa wanachama wenzake. Vyombo vya dola vyote vinalitumikia dola, vinalinda dola, vinakula kiapo kumtii Rais na katiba. Rais ndiye AmiriJeshi Mkuu wa vikosi vyote na Mkuu wa nchi. Bahati...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Chacha: Wengine wanauliza Nchimbi yuko wapi? Umeenda nyumbani kwake wamekwambia hayupo!

    Katibu wa NEC, Idara ya Oganaizesheni wa CCM, Paul Matiko Chacha, amekemea viongozi wanaofanya makosa na kujificha nyuma ya chama, akisema CCM itachukua hatua dhidi ya kiongozi au mwanachama yeyote atakayekiuka Katiba, kanuni na taratibu za chama na jumuiya zake. Chacha pia amehoji wanaoendelea...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Wakili Madeleka: Paul Chacha ajue kwamba amefanya kosa aombe radhi kwa Sofia

    Wakili wa kujitegemea, Peter Madeleka, amemtaka aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha, kuomba radhi kwa mwanamke aliyetambulika kwa jina la Sofia kufuatia kitendo chake cha kuweka hadharani jumbe na mazungumzo yao ya faragha. Akizungumza kuhusu sakata hilo, Wakili Madeleka ameeleza kuwa...
  6. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Wakili Peter Madeleka; "Kama Sofia akiamua kudai fidia kutoka kwa paul chacha haiwezi kuwa chini ya billioni tano za kitanzania"

    "Kama Sofia akiamua kudai fidia kutoka kwa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Tabora Paul Chacha, haiwezikuwa chini ya shilingi Bilioni tano za kitanzania" Amesema wakili Peter Madeleka. Akihojiwa kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, Wakili Madeleka amebainisha kuwa ikiwa Sofia ataamua...
  7. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Madeleka: Paul Chacha ana kesi ya kujibu kuhusu dada aliyemtongoza, ametoa taarifa bila ridhaa

    Wakili Peter Madeleka amesema anafunga safari kuelekea Tabora kwa ajili ya kusimamia kesi ya mwanamke aitwaye Sophia ambaye anatuhumiwa kumtongoza aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora Paul Chacha, ambaye aliteuliwa Katibu wa Oganaizesheni Ya CCM. Taarifa hizo zimeibuka kufuatia mahojiano maalum...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Paul Chacha: Kuwanyima watu haki kunajenga tabaka baya katika jamii, chama kitahakikisha wanachama wake wanapata haki, uhuru na usalama

    Katibu wa NEC, Organizesheni wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Chacha, amesema kunyima watu haki kunajenga tabaka baya katika jamii, akisisitiza kuwa chama kitahakikisha wanachama wake wanapata haki, uhuru na usalama. Akizungumza wakati wa hafla ya mapokezi ya wajumbe wa Sekretarieti ya CCM...
  9. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Heche amjibu Paul Chacha: Kusema Wasira amezeeka ndio kumtukana?

    Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, John Heche, amekausha kumtukana Makamu Mwenyekiti wa CCM, Stephen Wasira aliposema kuwa amezeeka. Soma zaidi: Heche amchana vibaya Wasira "umri wako huu wote hujui kazi ya mbunge"? Ameyasema hayo Agosti 3, 2026, katika kikao na viongozi wa Chadema Wilaya ya...
  10. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Naona Paul Chacha kachangikiwa maana mateso waliofanyiwa akina Mbowe ni Makalii mno

    Ona huu unyama hao wapinzani waliopitia 1. Maalim seif alinyang'anywa uraisi na zecha .aliteswa sana na CCM machafuko ya 2001 2. Lipumba alipigwa hadi kuvunjwa mkono huko zanzibar 2001 na mhanga wa mauji hayo.na juzi kafanyiwa fitina akaporwa uenyekiti. 4.Dr slaa alipigwa na kuvunjwa mkono...
  11. B

    JamiiForums Tanzania RC Chacha aitaka TMDA kuimarisha Vita dhidi ya Dawa na Vifaa Tiba visivyo Salama

    Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Mheshimiwa Paul Chacha, ameitaka Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) kuendelea kuchukua hatua kali dhidi ya wananchi na wafanyabiashara wanaokiuka sheria kwa kuuza dawa na vifaa tiba bandia au visivyo salama. Ametoa wito huo wakati wa kikao kazi kilichofanyika mkoani...
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Paul Chacha Makuri achukua fomu kugombea ubunge Jimbo la Serengeti

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Chacha Makuri, ametangaza rasmi nia yake ya kugombea ubunge wa Jimbo la Serengeti kupitia tiketi ya chama hicho tawala, akiahidi kusukuma mbele ajenda nne kuu zinazolenga maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Akizungumza mara baada ya kuchukua fomu ya...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wallace Karia na RC wa Tabora, Paul Chacha kuwa wageni maalum kwenye mechi ya Simba SC dhidi ya Al Masry

    Klabu ya Simba SC imemtangaza Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia, kuwa mgeni maalum katika mchezo wa mkondo wa pili wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) dhidi ya Al Masry. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Aprili 9, 2025 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Ninakubali sana utendaji kazi wa mkuu wa mkoa wa Tabora

    Nimekuwa nikifuatilia utendaji kazi wa Mkuu wa Mkoa wa Tabora Ndugu Chacha ni mfano wa kuigwa. Anafanya kazi kwa manufaa ya wananchi wote wa Tabora. anaenda kila Wilaya kusikiliza kero za wananchi na kutolea majibu au suluhisho. Mfano hai ni ufuatiliaji wa magunia ya kuwekea tumbaku...
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Tabora: Marufuku kuuza majeneza hadharani

    Mkuu wa Mkoa wa Tabora ametoa miezi mitatu kwa halmashauri zote mkoani hapo, kutenga maeneo yatakayokuwa na miundombinu ya kujificha ya kutengeneza na kuuzia masanduku ya kuzikia maiti (majeneza) kwani kwa sasa wauzaji wa masanduku hayo wanayauzia hadharani kando na hospitali hali inayoongeza...
  16. BigTall

    JamiiForums Tanzania Baada ya picha za vyoo vya Shule ya Kamama (Uyui - Tabora) kuziweka hapa JF, nimeona wanajenga vyoo vipya

    Ujenzi ukiendelea Wiki mbili iliyopita niliandika kuhusu Shule ya Kamama iliyopo Kata ya Goweko, Kijiji cha Kamama, Wilayani Uyui kuwa ni hatarishi hasa Vyoo na madarasa, hatua zimeanza kuchukuliwa. Kama hukuona andiko langu la awali, lipo hapa ~ Hali ilivyo Shule ya Msingi Kamama (Tabora)...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RC wa Tabora, Paul Chacha awakabidhi wachezaji wa Tabora United Tsh. Milioni 50 kwa kusalia katika Ligi Kuu

    Baada ya kufanikiwa kusalia kwenye NBC Premier League, hatimaye Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha amewakabidhi wachezaji wa Tabora United, kitita cha Shilingi milioni 50 aliyowaahidi endapo wangefanikiwa kusalia kwenye Ligi Kuu Bara. Tabora United imesalia NBC Premier League baada ya kuifunga...
  18. Dkt. Gwajima D

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Kusitisha huduma za Athuman Kapuya Foundation

    Wasaalam. 4 Juni, 2024, Dodoma. ________________ Athuman Kapuya Foundation ni shirika lililosajiliwa mwaka 2021 ambapo, kwa kipindi chote limetekeleza matakwa ya kisheria ya uwasilishaji wa taarifa na kulipa ada. Kwa mujibu wa usajili wao malengo waliyotekeleza na kupelekea hatua...
Back
Top Bottom