papa

Pápa [ˈpaːpɒ] is a historical town in Veszprém county, Hungary, located close to the northern edge of the Bakony Hills, and noted for its baroque architecture. With its 32,473 inhabitants (2011), it is the cultural, economic and tourism centre of the region.
Pápa is one of the centres of the Reformed faith in Transdanubia, as the existence of numerous ecclesiastical heritage sites and museums suggest. Due to the multitude of heritage buildings the centre of the town is now protected.
Pápa has a large historical centre, with renovated old burgher's houses, cafes, and museums, including the Blue-Dyeing Museum (Kékfestő Múzeum), set up in a former factory which produced clothes and other textiles dyed with indigo blue under a unique method.
The town is also noted for its thermal baths, particularly a newly constructed swimming complex, the Esterházy family's palace, its grand Roman Catholic church, and Calvinist secondary school; the town is an important religious centre. It also boasts a large park near the centre of town.
The town has been the main center of trade in the wines of the Somló wine region. Pápa was an administrative regional capital from 1945 to 1983.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mohamed Yussoufeli ni papa asiyeguswa na Serikali ana kiburi mpaka Shetani anaogopa

    Mohamed Yussoufeli ni raia mwenye asili ya India Kwenye utawala wa Magu alikabiliwa na kesi 199 zikiwemo za kutakatisha fedha, mikataba ya ulaghai, ufisadi na ukwepaji Kodi kiasi cha billion 15.6 Baada ya kifo cha JPM huyu bwana aliachiliwa akakimbia nchi kidogo na Sasa amerejea na anafanya...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Napenda kumwandika papa Leo alifute kanisa katoliki Tanzania mana limekuwa la kisiasa zaizi limepteza focus.

    Hivi maslahi yenu yameguswa? Mbona hamuwi wawazi tukawarudishia wizi wenu. Mtu mzima tena skofu unahubiri siasa eti jk asimshauri rais ni akili kweli hiyo? Rais ni asset ya serikali ndo mana analipwa till death ili atumike kisawasawa. Mboa Pengo alistaafu lakini bado yuko mimbalini na...
  3. JamiiForums Tanzania Papa Leo XIV aongoza kuwa mtu anayependwa zaidi Marekani

  4. JamiiForums Tanzania Kumbikizi: Mengi alivovichua mafisadi papa wanaoitafuna nchi

    Polepole hajakosea, Marehemu Mzee Mengi huyu hapa. https://www.youtube.com/watch?v=aSNSXYBsV1M
  5. JamiiForums Tanzania Papa Leo azitaka Iran na Israel kuwajibika na matendo yake

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Leo XIV ametoa wito kwa Israel na Iran kuonyesha hali ya uwajibikaji katika matendo yao wakati mzozo kati ya mahasimu hao wawili ukizidi kufukuta. Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Leo XIV ametoa wito kwa Israel na Iran kuonyesha hali ya...
  6. JamiiForums Tanzania Kanisa la Iran linashambuliwa papa Leo 14 yuko kimya. Papa Francisco asingekubali wala kukaa kimiya, watu wanauawa ovyo huko Iran bila huruma

    Tumsifu YESU KRISTO watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Mda huu nimekaa roho yangu imeniuma sana kwa kweli Kwan dunian hapa hatuwezi zungumza tu tukaelewana mpaka tuuwane jaman Leo nimetizama jinsi watu wa Iran wakikimbia Tehran kuokoa maisha yao aisee nimehuznika sana Mda huu Israel...
  7. JamiiForums Tanzania Hili ni kuhusu kuchaguliwa kwa Papa Leo XIV

    Hili ni kuhusu kuchaguliwa kwa Papa Leo wa Kumi na Nne, kutoka kwa Jaji mmoja nchini Kenya ambaye si Mkatoliki Hon. Jaji Aggrey Kuna aina ya hekima isiyopiga kelele. Haijitafutii umaarufu. Haipigi kelele ili ionekane. Inakuwepo tu – kimya, kwa kina na milele. Hii ndiyo hekima ya Kanisa...
  8. JamiiForums Tanzania Hawa watu kwenye picha walioenda leo kujitambulisha kwa papa Leo 14 ni watu wa dini gani?

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Naomba kujua dini hizi ni dini za wapi? Mbona mpya machoni pangu Leo watu wa hizi dini walienda pamoja na viongozi wao kujitambulisha kwa papa Leo
  9. JamiiForums Tanzania Siri ya chumba cha Amani kilichombeba kiongozi mkuu wa kanisa katoliki duniani, Papa Leo XIV ipo parokia ya mahanje Ruvuma

    Katika kijiji kidogo chenye utulivu wa kimungu kilichopo Mahanje,Halmashauri ya Madaba Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma, kuna chumba cha kawaida – lakini historia yake si ya kawaida hata kidogo. Ndani ya chumba hiki, miaka 22 iliyopita, alilala mtu ambaye hivi sasa ni Kiongozi Mkuu wa Kanisa...
  10. JamiiForums Tanzania Maana ya Pete ya Mvuvi "Fisherman's Ring" ya Papa Leo 14 Aliyopokea Aliposimikwa Rasmi leo

    Tunaposema Kanisa Katoliki ( hapa nitaita tu kwa ujumla kanisa) lina utaratibu wake haimaanishi ni taratibu zilioibuka tu. Wengi ambao siyo Wakatoliki au hata Wakatoliki "lukewarm" wanaweza kuyumbishwa na madai kwamba kanisa linafanya mambo nje ya Biblia, wakati si kweli hata kidogo. Kusema...
  11. JamiiForums Tanzania Mfano wa Kuigwa: Papa Leo XIV aliongoza kuupinga Utawala wa Kidikteka wa Fujimori nchini Peru miaka ya 1990. Hongereni TEC kwa kupinga Udikteta wa CCM

    Inaelezwa kuwa, moja ya sifa kubwa na Papa mpya, Leo wa Kumi na Nne ni namna ambavyo anasimamia ukweli kupinga udhalimu na uonevu wa binadamu bila kujali mazingira yapoje. Katika historia yake, inasemwa kuwa miaka ya 1990 akiwa Padre nchini Peru, utawala wa kidikteta chini ya Kiongozi Fujimori...
  12. JamiiForums Tanzania Papa Leo XIV Alishatembelea Tanzania zaidi ya mara tano

    Anaweza kuwa Papa wa kwanza kutembelea zaidi ukanda wa Afrika kabla hajawa Papa. Papa ameishi Nigeria, pia ametembea Congo DRC na Kenya. Kwa mujibu wa Catholic News Agency, Papa ameshafika Tanzania zaidi ya mara tano na kufanya kazi maeneo mbalimbali katika nyakati hizo ikiwemo Morogoro na...
  13. JamiiForums Tanzania Papa Mpya aayeitwa "Leo XIV" amkwepa mtu mwenye bendera ya Upinde 🌈 wakati wa kusalimiana

    Papa mpya aoneshq matumaini mapya dhidi ya watu wenye itikadi za ushoga, baada ya kumkwepa mtu mwenye bendera ya ushoga aliyetaka kurazimisha salamu wakati Papa huyo akisalimiana na watu Tizama video hii
  14. JamiiForums Tanzania Rais wa Vatican: Papa Leo XIV sasa ni raia wa nchi TATU!

    Baba Mtakatifu Dr Robert Prevost -PhD (Papa Leo XIV) ni raia wa nchi zifuatazo; 1. Marekani (by birth), 2. Peru (by naturalization), 3. Vatican (Rais na Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani). IPO haja na sisi tukubali uraia Pacha kuvuna vipaji vya huko duniani eg Bill Gates, Elon Musk, Mark...
  15. JamiiForums Tanzania Kardinali Robert Prevost Papa mpya asiye na misimamo mikali

    Tumsifu Yesu Kristo. Katika kipindi ambacho Kanisa Katoliki linakabiliwa na changamoto nyingi za kijamii, kisiasa na kiutamaduni duniani kote, uteuzi wa Kardinali Robert Prevost kama Papa mpya – Papa Leo XIV – umeleta matumaini mapya kwa wengi, huku pia ukizua mijadala kuhusu mwelekeo wa kanisa...
  16. JamiiForums Tanzania Papa mpya Robert Prevost kachaguliwa kimkakati

    Kwa kuangalia cv ya papa mpya, Cardinali Robert provost Toka marekani. Ndiye ndiye aliekuwa mshauri mkuu WA papa Francis aliyefariki, na wakatoliki duniani kote tunakumbuka vema papa Francis aliefariki alivokuwa akitoa kauli tata Sana kuhusu ajenda zinazohusu mashoga na ushoga kiujumla. Na kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Papa Kutoka Marekani inawezekana isiwe habari nzuri sana kwa CCM

    Kufa kwa nyani miti yote huteleza.ndicho nachoweza kusema. Leo hii CCM wapo mbele kupambana na kanisa katoliki Tanzania. CCM wanaminya democracy na haki za raia katika uhuru wa kujieleza na kutoa maoni. Sasa.kazi kwenu kushoto Trump kulia Papa Leo Samia ana bahati.mbaya sana. Nawakumbusha tu...
  18. JamiiForums Tanzania Mfahamu kwa ufupi Papa Leo wa XIV.

    Papa Leo wa XIV (Kardinali Robert Francis Prevost, O.S.A.) Mkuu wa Dikasteri ya Maaskofu, mwenye umri wa miaka 69, mzaliwa wa Marekani). Utumishi wake katika Kanisa. Alipadrishwa; 19 June 1982. Alitawazwa kuwa Askofu; 12 Desemba 2014. Aliteuliwa kuwa Kardinali; 30 Septemba 2023 Elimu...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Yahusu kumwamdikia barua Balozi wa Papa Nchini, Mwadhama Askofu Angelo Accattino

    Nakusudia kumwandikia barua rasmi Balozi wa Papa Nchini, Mwadhama Ask. Angelo Accattino na kumwomba mara tu Papa mpya atakapochaguliwa kwa ushawishi wake wa kimataifa(Papa) atusaidie Watanzania kukomesha vitendo vya kuteka na kuumiza watu. Vitendo hivi vitakoma ikiwa tu viongozi wetu...
  20. JamiiForums Tanzania Afrika haitawahi kupata wasanii watakaovunja rekodi ya Wafalme wa Rumba rika la Frankoo, Madilu System, Papa Wemba, Sam Magwana na wengineyo wengi

    Afrika haitawahi kupata wasanii watakaovunja rekodi ya Wafalme wa Rumba rika la akina Frankoo, Madilu System, Papa Wemba, Sam Magwana na wengineyo Ni ngumu kuvunja rekodi ya Frankoo huyu alikuwa na uwezo mkubwa wa kuimba pasipo kuandika mashahiri, kupiga vyombo vya muziki hasa Guitar kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…