othman masoud

Othman Masoud Othman Sharif is a Tanzanian lawyer and politician serving as the First Vice President of Zanzibar. He is also a party member of ACT Wazalendo.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Othman Masoud: Mnayoyaona wanayoyafanya CCM leo wameyaiga kutoka Zanzibar, kuiba kura, kuteka watu, kuuwa watu. Sasa ifike mwisho

    Mgombea urais wa Zanzibar kupitia ACT Wazalendo, Othman Masoud: Mnayoyaona wanayoyafanya CCM leo wameyaiga kutoka Zanzibar, kuiba kura, kuteka watu, kuuwa watu haya wameyafanya zanzibar miaka yote lakini tuliamua kupambana nayo na tukawashinda tangu 1995. Lakini sasa tuseme iwe mwisho
  2. R

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya ACT: Zitto Kiongozi wa chama mstaafu ana sauti ie anasikika kuliko Kiongozi wa chama Dorothy Semu na Mwenyekiti wa chama Othman Masoud

    Mimi kwangu hayo ni maajabu katika kutafsiri madaraka.ya uongozi wa chama Na hii inatafsiri kuwa kwa Tanzania bara Zito ndiye defacto Kiongozi wa Chama
  3. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Othman Masoud Othman: Inakuwaje Polisi waongozwe na Mkuu wa Mkoa au Mkuu wa Wilaya ambaye ameelezwa wajibu wake ni kuhakikisha CCM inashinda?

    Mwenyekiti wa ACT- Wazalendo na Makamu wa kwanza wa Rais Zazibar Othman Masoud Othman anaeleza kuwa "Kwenye Tume ya Haki Jinai nilipendekeza Polisi wasiongozwe na wanasiasa. Inakuwaje Polisi waongozwe na Mkuu wa Mkoa au Mkuu wa Wilaya ambaye ameelezwa wajibu wake ni kuhakikisha CCM inashinda...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Othman Masoud ziarani Tumbatu asisitiza uimarishaji wa majengo ya Chama

    Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa, Othman Masoud Othman ameanza ziara ya uimarishaji wa Chama kisiwani Tumbatu Mkoa wa Kaskazini Unguja kwa ajili ya kujipangia na ushindi katika uchaguzi mkuu mwezi Oktoba 2025. Taarifa ya ACT imeeleza kuwa ziara hiyo imekuja kufuatia mwendelezo wa...
  5. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Othman Masoud awataka wanaohubiri amani wazingatie haki na uadilifu

    Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud, amesema suala la kutafuta amani ya nchi linahitaji dhamira ya kweli, inayojali misingi ya utu, haki na uadilifu, wala si jambo la msimu kwa ajili ya kupata shukrani na fadhila za kisiasa. Amesema kwa maoni yake, Kamati ya Amani Zanzibar...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Othman Masoud: Wingi wa shule za magorofa hauna maana yoyote ikiwa watoto wanaokwenda kusoma wanashinda njaa

    Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa Othman Masoud Othman amesema harakati za kubadili mifumo ya uongozi Zanzibar haziwezi kusimama vizazi hadi vizazi kwa sababu Zanzibar inashindwa kujiendesha wenyewe. Othman ameyasema hayo 28 April 2025 Wakati akihutubia maelfu ya wanachama wa Chama...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Othman Masoud Othman: Miaka 61 ya Muungano, Zanzibar inakandamizwa

    Wakati leo Tanzania inaadhimisha miaka 61 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa, Othman Masoud Othman amesema Zanzibar ilianza kupambana na changamoto za Muungano tangu yakiwa mambo 11 na hivi sasa yamefikia 41. Wakati Tanzania ikiadhimisha miaka...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Othman Masoud: Tunaingia kwenye Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025 tukiamini sisi ni washindi

    Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa, Othman Masoud Othman amesema wanaingia kwenye uchaguzi mkuu wa Mwezi Oktoba mwaka huu wakiamini wao ni washindi katika uchaguzi huo kwa nafasi ya Urais wa Zanzibar. Othman ameyasema hayo leo Aprili 16, 2025 wakati alipokuwa akizungumza na Waandishi...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Othman Masoud achukua Fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar kupitia ACT Wazalendo

    Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Wazalendo, ambaye pia ni Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Zanzibar. Othman amechukua fomu hiyo leo Aprili 13,2025 majira ya saa 4.00 asubuhi ikiwa ni mwanachama wa kwanza kwa nafasi...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Othman Masoud Othman: Tumejitahidi kuleta maridhiano Zanzibar lakini wenzetu wameingia mitini

    Mwenyekiti wa Taifa Chama cha ACT Wazalendo. Othman Masoud Othman amesema wamefanya jitihada kubwa kuleta hali ya maridhiano Zanzibar kabla ya kuingia kwenye uchaguzi mkuu mwezi Oktoba mwaka huu kuepusha maafa yasiokua ya lazima lakini wenzao hawakua tayari na hali hiyo. Othman ambae pia...
  11. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti ACT Wazalendo: Mazingira ya uandikishaji wapiga kura wapya Zanzibar yamegubikwa na matumizi makubwa ya vyombo vya dola

    Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo Taifa, Othman Masoud Othman, ameeleza kuwa mchakato wa uandikishaji wapigakura wapya visiwani Zanzibar unakabiliwa na changamoto kubwa, hasa kutokana na matumizi ya nguvu na ushawishi wa vyombo vya dola. Kwa mujibu wake, hali hiyo inaashiria kwamba watawala...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Othman Masoud Othman: Haiwezekani wenzetu wasiandikishwe Kupiga Kura Zanzibar kisha sisi tushiriki Uchaguzi

    "Haiwezekani kuna wenzetu hawajapata haki ya kuandikishwa kuwa wapiga kura Zanzibar, kisha sisi tutoke kwenda kushiriki kwenye uchaguzi kirahisi hili haliwezekani na lazima tupambane nalo" Othman Masoud Othman. Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo Taif, Othman Masoud Othman amesema kuwepo kwa...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Othman amshangaa Wasira kupotosha yaliyotokea Angola, asema ameipaka matope Serikali

    Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar, Othman Masoud Othman ameshangaa kauli zilizotolewa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Stephan Wasira na Mwenezi wa CCM Zanzibar Khamis Mbeto kufuatia yeye pamoja na viongozi wengine wa kisiasa kuzuiliwa uwanja wa ndege Airport. Kupata taarifa na matukio yanayojiri...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar Othman Masoud: Hakuna hata kero moja ya Muungano ya maana iliyotatuliwa

    Heri ya Mwaka Mpya wanajukwaa! Tuje hapa. Kumbe zile kelele nyingi za kudai kwamba kero za Muungano zimeanza kutatuliwa kwa kasi kumbe ilikuwa danganya toto. Mbona hii sasa ni tabu tupu! ========================= “Kwa upande wa kero za Muungano, hakuna hata kero moja ya maana iliyotatuliwa...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman atangaza rasmi kuwania Urais wa Zanzibar kupitia ACT

    https://www.youtube.com/live/SNFqdxgQ_R4 Mwenyekiti Taifa wa ACT Wazalendo, Ndg. Othman Masoud Othman ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar ametangaza rasmi kuwania Urais wa Zanzibar kupitia ACT Wazalendo.
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Othman Masoud: Mtanzania akilala hajui kama ataamka salama, tumuondoe CCM

    Othman Masoud Othman, Mwenyekiti wa ACT Wazalendo na Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, ametoa kauli yenye mashiko kuhusu hali ya kiusalama na haki nchini, akisema kuwa Mtanzania akienda mahakamani hana hakika ya kupata haki yake, na hata akilala, hawezi kujua kama ataamka salama. Akizunguza...
  17. Thabit Madai

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Kwanza wa Rais Othman Masoud atoa rai kwa ZLS kusimamia haki za wananchi

    Makamu wa kwanza wa rais Othman masoud amekitaka chama cha wanasheria Zanzibar (ZLS) kusimama imara kutetea haki za wananchi zinapovunjwa hasa katika kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Tamko hilo amelitoa wakati akifunguwa mkutano mkuu wa mwaka chama hicho uliofanyika visiwani Zanzibar na...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Othman Masoud: Watu wengi wamehama Zanzibar kwasababu ya Dhiki, Mateso na Dhulma Wanazofanyiwa

    Mwenyekiti wa Chama kikuu Cha Upinzani Zanzibar ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman amesema watu wengi wamehama Zanzibar kwa sababu ya Dhiki, Mateso na Dhulma wanazofanyiwa na baadhi ya Watawala. Soma: ==> Mwenyekiti wa Chama kikuu Cha Upinzani Zanzibar ACT Wazalendo Othman Masoud kesho...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Chama kikuu Cha Upinzani Zanzibar ACT Wazalendo Othman Masoud kesho ataongea na Waandishi wa Habari!

    Mwenyekiti wa Chama kikuu Cha Upinzani Zanzibar ACT Wazalendo mh Othman Masoud kesho ataongea na Waandishi wa Habari. Kadhalika Mwenyekiti wa Chama kikuu Cha Upinzani Tanganyika mh Freeman Mbowe kesho ataongea na Waandishi wa Habari. Hatari na nusu 🐼 Mlale Unono 😀😀
  20. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman, akutana na ujumbe kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Uhusiano wa Afrika Mashariki

    Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Othman Masoud Othman, Ijumaa Agosti 09, 2024 amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Uhusiano wa Afrika Mashariki. Ujumbe huo ambao umeongozwa na Waziri katika Wizara hiyo Balozi Mahmoud Thabit Kombo...
Back
Top Bottom