oral interview

An Oral Proficiency Interview (OPI) is a standardized, global assessment of functional speaking ability. Taking the form of a conversation between the tester and test-taker, the test measures how well a person speaks a language by assessing their performance of a range of language tasks against specified criteria. In the United States, the criteria for each of ten proficiency levels are described in the ACTFL Proficiency Guidelines, devised by the American Council on the Teaching of Foreign Languages (ACTFL).
In an OPI, the test-taker is interviewed by a certified ACTFL tester, who guides the conversation to explore the abilities and limits of the individual’s oral target language abilities. During the course of the interview, the interviewee is guided to engage in a variety of tasks such as describing, narrating, and hypothesizing. The interview is recorded and scored by the interviewer as well as a second certified tester using the following scale: Superior, Advanced High, Advanced Mid, Advanced Low, Intermediate High, Intermediate Mid, Intermediate Low, Novice High, Novice Mid, Novice Low.The OPI test format consists of four stages. In the first stage, otherwise known as the "Warm-up" stage, the interviewee is put at ease and provides the interviewer with information they can use later in the interview. The interviewer may ask "What are some things that interest you?" This stage is also used to indicate the interviewee's skill level before moving further into the interview. The second stage, called "Level Checks," helps identify what the interviewee can do and finds the highest level of sustained performance by the speaker (floor). Questions at the second stage might be,"Which cryptocurrency would you buy?" or "How is cryptocurrency changing the way we interact monetarily?" The third stage, known as "Probes" shows the interviewer what the interviewee cannot do, and finds the lowest level of performance which they are unable to sustain for prolonged periods of time (ceiling). Questions at the third stage might be, "Is Cryptocurrency a waste of money? Why or why not?" or "Explain to me why Cryptocurrency has more or less value." An effective OPI will show an interviewee what they can and can't do with their speech in the target language. The fourth and final stage, known as the "Wind-down," is designed to ease the interviewee and bring them to a comfortable level of speaking. The interviewer may end the interview by asking, "Do you have any plans for this weekend?" As the interviewer wraps up the interview, the interviewee will feel a sense of confidence as they exit the interview. The levels of ACTFL’s scale can be conceived as an inverse triangle, with the “Superior” rating at the top representing a wide range of skill in linguistic structures, vocabulary, and fluency. The Novice Low category forms the bottom point of the triangle, showing little functional knowledge of the language. Each progressive category represents broader skills and depth of knowledge. While one can progress relatively quickly through the Novice levels, progress is much slower through the upper ratings.
OPI is generally used for native speakers of English, but it was adopted in South Korea after the computer version was developed by the Korean computer company Credu. In September 2009, 40,000 people applied to take the test in South Korea.

View More On Wikipedia.org
  1. Maswali ya oral interview Tanzania Commercial Bank,nafasi ni Relationship officer ii.

    Habari za leo wapambanaji wenzangu. Nimebahatika kuitwa oral interview nafasi ya relationship officer ii mwajiri ni Tanzania commercial bank. Ningeomba mwenye kujua hawa jamaa huwa wanauliza maswali ya aina gani anisaidie.. Asante
  2. Utumishi Niliingia Oral Interview Lakini Bado Sioni Jina

    Nilibahatika kufaulu written interview ya kule sekreatieti ya ajira na nikafanya Oral interview. Lakini hadi sasa sijaiona jina langu kwenye mikeka inayotoka. Mwalimu wa Primary ngazi ya diploma, na pia naona kila mkeka unaotoka watu wa diploma ya primary wanatusahau kabisa ila wale wa...
  3. Possible za written na oral interview kwa kada za afya

    Habarini za wakati huu. Kama ambavyo kichwa cha habari kinavyojieleza, kwa ambao walishawahi kufanya written na oral interview za PRSR kwa upande wa kada ya afya Assistance Nursing Officer ( ANO) naomba anayejua maswali ambayo huwa yanaulizwa nataka nipate mwanga kidogo. Asanteni
  4. Kwa walimu wa business studies. Waliowahi kuhudhuria oral interview ya utumishi ni maswali gani mlikutana nayo?

    Msaada tutani , ninajiandaa na usaili na ualimu very soon wakuu. Hivyo nauliza KWA WALIMU WA business studies. WALIOWAHI KUHUDHURIA ORAL INTERVIEW YA UTUMISHI NI MASWALI GANI MLIKUTANA NAYO? Niweze kupitia pitia na mimi nikalambe asali. Natanguliza shukrani za dhati kwa ushirikiano wenu.
  5. D

    Walimu wa Physics waliowahi kuhudhuria oral interview ya utumishi ni maswali gani mlikutana nayo?

    Habari za muda huu kila mwanajukwaa? Kama kichwa kinavyojieleza hapo naombeni mnipe mwongozo
  6. Wakuu, kati ufaulu wa Written interview na Oral Interview ipi Wana consider sana wakati wa placement prioritization?

    Naomba kueleweshwa, Wakuu, kati ufaulu wa Written interview na Oral Interview ipi Wana consider sana wakati wa placement prioritization? Ni saa 00:26 usiku, Sina usingizi, nina wasiwasi mkubwa sana wakuu maana nilifanya vizuri kwenye written interview ila Sina uhakika na Oral Interview. Oral...
  7. Tutorial Assistant in Accounting - Msaada Mwenye uelewa na maswali yanavyoulizwa kwenye Written & Oral interview

    Msaada wakuu, mwenye uelewa wa maswali ya Interview ya Tutorial Assistant in Accounting Written na Oral huwa wanauliza nini naomba kujuzwa. Natanguliza Shukran 🙏
  8. K

    Kwenye oral interview, ni viashiria gani vinaweza kukufanya ukajua kuwa hiyo kazi umeipata?

    Wakuu Wakt wa kufanya oral interview, kuna viashiria gani vinaweza kukufanya ugundue kuwa umepata hiyo kazi? Kwa mfano ,mimi jana nilikua na oral kwenye taasisi flani. Wakt nimemaliza kufanya usaili kuna hr mmoja akawa ananisindikiza kutoka nje ya chumba cha usaili,nikamdodosa kwa kumuuliza...
  9. Hivi oral interview za serikali ni lazima kujibu maswali yote kwa ufasaha?

    Hivi wakubwa Hizi oral za serikali ni lazima kujibu maswali yote kwa ufasaha au ni kitu gani kingine huwa wanaangalia ili kuweza kukuita kazini?
  10. Oral Interview ya TRA 2025 nikajikuta kila kitu nimesahau

    Nimejipanga vizuri, nimesoma kila sehemu. Lakini ile kuingia tu kwenye chumba cha wadosi nikawekwa mtu kati, watu wananikodolea macho, mungu wangu…… Nikajikuta kila kitu nimesahau. Maswali yalikuwa rahisi sana, nilipotoka tu kwenye kile chumba cha Oral na kufika nyumbani, majibu yakaanza...
  11. J

    Oral interview customs officer II nimekula za uso

    Wazee at my age nimeshahudhuria interview nyingi za oral na written, ila ya leo wazee nisiwe muongo nimeshikwa pabaya, kama kawaida yangu nilijiandaa vya kutosha na nikahakikisha niko nondo, nikijua kuwa naenda kwenye interview ya oral na kawaida huanza na swali la introduce your self, Ila...
  12. Ushauri: hakikisha una mganga mzuri kabla ujaenda oral interview yeyote ya utumishi

    Ushauri: hakikisha una mganga mzuri kabla ujaenda oral interview yeyote ya utumishi. Mi yangu ni hayo tu
  13. Naomba nafasi za kazi zije sasa nikiingia tu oral interview

    Habari wapendwa hvi Kuna tetes Gani kuhusu kazi zinazohusisha HATA wenye vyeti vya ualimu maana nimejiandaa kwelkwel nifike oral tu kweny interview ya kazi yeyote harafu uko MBELE namuachia mganga wangu atajua awafanye nn watakao nisaili Ili nipate maksi nazozitaka mm sio wao. Mganga kasema...
  14. Kwenye haya mashirika ya umma huwa inachukua muda gani kuitwa kazini baada ya kufanya oral interview?

    Mko poa wajumbe wa jukwaa hili? Nipo hapa kuwauliza wanaofahamu utaratibu wa mashirika ya umma huwa wanachukua muda gani kuita watu kazini baada ya kufanya oral interview? Interview husika ilisimamiwa na taasisi husika na sio psrs. Nb:ni mashirika ya umma sio psrs,so mtu asichanganye
  15. Kwa jinsi nilivyo handsome, nikienda Oral interview watanikubali tu

    Uzuri huwa unabeba sana, watu wanakushobokea na kukukubali kwa kutumia nguvu ndogo sana. Sasa nikipoga ile mikato yangu, perfume kali, na muonekano wangu, hapo lazima wanikubali. Kwanza watapagawa hadi watashindwa ku concentrate. Af mi nitakua sina habari.
  16. Nimeitwa oral interview Gaming board of Tanzania

    Mko poa wapambanaji wenzangu? Ebana nimeitwa oral interview gaming board of Tanzania nafasi ni gaming inspector iii. Jamaa wanapiga simu hawatoi majina ya waliofaulu mtu ajijue kapiga ngapi. Kaeni karibu na simu zenu. Mwenye kujua abc za oral interview za hawa jamaa zinakuagaje atupie hapa...
  17. Hivi utumishi wanatumia utaratibu gani kwenye oral interview

    Habarini wakuu wa kazi naombeni kujuzwa utumishi (sekretarieti ya ajira wanatumia utaratibu gani kumpata mshindi wa baada ya oral interview? Kuna post moja ya kazi ilitangazwa waombaji waliofanya kwa usahili wa kuandika walikuwa kama 128 hivi baada ya mchujo wa kuandika wakabaki wasahili wa...
  18. Wazo : utumishi walimu tulikuwa tunaomba mtuwekee Mic kwenye oral interview kama itawezekana

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa ,,, "" hamna zipo ,,hamna zipo " hatimaye majibu yamepatika Bila shaka utumishi wameprove kile wanachokisimamia,,, kuwa hamna mtu atakaye pata kazi kwa kupitia utumishi bila kufanya interview Sasa basi kesho zoezi la kuendesha sahili za walimu nchi zima...
  19. Kesho naingia kwenye oral interview lakini hili limenitokea

    Wakuu habari, kesho naingia kwenye usaili wa oral mwalimu wa HISABATI ngazi ya degree. ila transcript ya matokeo sijafanikiwa kuipata orijino,nimepata kopi tu ila vyeti vingine vyote ni og, daa nmechanganyikiwa. Mrejesho: Wakuu asante sana kwa ushauri, nilienda kwenye eneo la usaili, mara ya...
  20. K

    Oral interview Tips

    Habari, naomba niweze kutoa uzoefu kidogo kuhusu nilivyoona baada ya kuhudhuria usaili wa muktadha wa muktadha wa mdomo (oral interview). Kusikiliza kwa ufanisi: Sikiliza vizuri kabla ya kutoa majibu. Jibu kulingana na unachokisikia. Kwa mfano, umeambiwa pointi tano, basi jibu kwa pointi tano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…