online

In computer technology and telecommunications, online indicates a state of connectivity, and offline indicates a disconnected state. In modern terminology this usually refers to an Internet connection, but (especially when expressed "on line" or "on the line") could refer to any piece of equipment or functional unit that is connected to a larger system. Being online means that the equipment or subsystem is connected, or that it is ready for use."Online" has come to describe activities performed on and data available on the Internet, for example: "online identity", "online predator", "online gambling", "online shopping", "online banking", and "online learning". Similar meaning is also given by the prefixes "cyber" and "e", as in the words "cyberspace", "cybercrime", "email", and "ecommerce". In contrast, "offline" can refer to either computing activities performed while disconnected from the Internet, or alternatives to Internet activities (such as shopping in brick-and-mortar stores). The term "offline" is sometimes used interchangeably with the acronym "IRL", meaning "in real life".

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tunzaa online shop credibility

    Wakuu habari za asubuhi. Naomba mwenye experience ya kulipia na kutumiwa mzigo na hawa jamaa wa kuitwa Tunzaa online shop, wana application yao pia wapo kwenye app ya mpesa. Kuna jambo nithibitishe.
  2. G

    JamiiForums Tanzania Nina milioni 2 ningependa kuwekeza biashara za online naomba mawazo nijaribu kitu gani?

    nina biashara za kawaida lakini nimeona nijaribu na online kwa bajeti ya milioni 2 kama kuna mawazo feasible. so far nilipanga niwekeze youtube ila shida ni kwamba sina account ya Youtube adsense, nina rafiki yangu yupo states aliwahi kunipa wazo hilo kibongo bongo views buku kwa wastani ni...
  3. JamiiForums Tanzania Nimefanya mtihani wa IQ online, Naomba mnipe ufafanuzi wa majibu!

    Wakuu mko poa? Nimefanya mtihani wa IQ mtandaoni na nilitarajia kupata matokeo yanayoonyesha namba ya kiwango changu cha IQ. Hata hivyo, badala ya namba hizo, nimeshangazwa kupata matokeo yanayoonyesha maumbo mbalimbali. Naomba mnipe ufafanuzi wa maana ya haya maumbo kwani nilitarajia matokeo...
  4. JamiiForums Tanzania Air Tanzania - online booking haifunguki....

    Naona website ya ndege yetu "The Wings Of Kilimanjaro" haifunguki hivyo mtu hawezi kufanya booking; Msaada tafadhali?
  5. JamiiForums Tanzania Data nafuu kwa mfanyabiashara (airtel sme menu)

    OFFLINE ❌ ❌ 🥶
  6. JamiiForums Tanzania Miaka ya hivi karibuni usikilizaji wa online radio umekua maarufu kuliko FM/AM

    Habari wana jf Leo ngoja tupeane updates ya masuala ya radio mi ni mwazilishi wa Tzgospel Radio inasika online na kwenye cable milan cable arusha. Jambo la kushangaza miaka ya hivi karibuni usikilizaji wa online radio umekua maarufu sana,wakati wa covid kulikua kuna idadi kubwa zaidi ya...
  7. JamiiForums Tanzania Michael Clifford ana uwezekano wa kuweka wazi majina ya wahusika wote ambao alifanya nao online conference ya kumpiga risasi Lissu

    Wakati ukuta, tuliwahi kusema na watu walisema MICHAEL CLIFFORD anaenda weka majina ya wote walioshiriki katika unyama wa Lissu. Kwakua tulizoea wafunga mdomo watanzania je tutaweza mfunga mdomo Michael Clifford?
  8. JamiiForums Tanzania ALIYEWAHI FANYA ONLINE TEST YA EACOP PROJECT MSAADA

    Habari wakuu Kuna yoyote aliyewahi Fanya online test za eacop project kwa upande wa law wanauliza maswali gani msaada make pale Kwenye description hawakusema Chochote haswa kwa watu wa administration
  9. JamiiForums Tanzania Nilichokiona kwene mtihani wa Online? Sijawai kiona sehemu yeyote ile tangu nimalize chuo

    Wakuu,,, Naishia hapa
  10. JamiiForums Tanzania Hivi mitihani ya Wizara ya Online tunafanyia kila mtu nyumbani kwake au Tunaenda kwene hizo venue walizopanga? Na kama online si online

    Wakuu hebu nisaidie hizi kazi za Afya zilizotoka saizi za online interview
  11. JamiiForums Tanzania SGR wana app yao ambayo unaweza kukata tiketi?

    Naomba kuuliza je SGR wana app yao ambayo unaweza kukata tiketi kwa njia ya mtandao au tovuti? Msaada tafadhali
  12. M

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali kwa wataalamu wa online jobs

    Wakuu mambo vpi? Huku kukosa kazi kunatifanya tuapply kila kazi tunayoiona, ni changamoto. Niliapply kazi ya Data Entry Clerk katika kampuni inayoitwa Silverlief trading limited kupitia tovuti ya Ajira zetu (kwa kujaza Google form). Sasa leo nimeona email ya Ajirazetu yenyetaarifa za...
  13. JamiiForums Tanzania Nahitaji kujifunza lugha ya kifaransa online na kupata cheti, sehemu gani sahihi ya kujifunzia?

    Sehemu gani sahihi ya kujifunza Kifaransa na kupata CHETI?
  14. JamiiForums Tanzania Swali: Serikali kushindwa kuwadhibiti wakopeshaji wa online ni ishara kuwa hii nchi wenye pesa wana nguvu kuliko serikali?

    Hello! Suala la kero za wakopeshaji wa mitandaoni limekuwa kero kubwa. Kila ukiperuzi mtandao wowote Tanzania usipotumia VPN matangazo ya mikopo yatajazana mbele yako mpaka kero. Kwa wakopaji kero wanazokutana nazo ni pamoja na kudaiwa pesa kabla ya siku ya makubaliano, kudhalilishwa, watu...
  15. JamiiForums Tanzania Naangaliaje TIN yangu online??

    Nimeingia kwene TRA online siiioni ! Wenye uzoefu nisaidieni
  16. JamiiForums Tanzania Mnafanyaje kupata mkopo kwa haraka na ipi kampuni nzuri inayokopesha online?

    Wakuu nahitaji nikopeshwe kwenye haya makampuni ya online,nimedownload app kadhaa na kuomba najaza taarifa zooote muhimu mwishowe naambiwa nisubiri baada ya nusu saa ntajibiwa halafu inakuwa holla.. Vipi wazoefu KAMPUNI ya uhakika ni ipi na nifanye je?
  17. N

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Adventure na tikects online

    Ni Jumanne saa 4 asubuhi unahitaji kusafiri siku inayofuata ya Jumatano August 14,2024, ķutoka Mwanza kwenda Kigoma! Unaingia katika mtandao kutafuta usafiri. Jina la kampuni maarufu inayofanya safari zake njia hiyo, linakuja Adventure. Unaamua kufanya Adventure kwa kutumia mabasi yao...
  18. JamiiForums Tanzania Translater ipi unatumia katika kiganja chako free katika kuvinjari... Online

    Wakuu mwenye chimbo la translater nzuri yenye Kiswahili kwenda lugha zingine Duniani free plizz anisogezee hapa kwangu... Natanguliza Shukran za dhati Kwa alie tayari asante sanaa
  19. M

    JamiiForums Tanzania Hizi online companies za kukopesha pesa!

    Habari! Hapa tunazungumzia PesaX, FiniLoan na kadhalika. Hizi ni online platforms ambazo zinajinadi kuwa zinakopesha pesa. Vigezo vyake huwa ni namba au kitambulisho cha NIDA, leseni ya udereva, kitambulisho cha mpiga kura, au cha utaifa. Nina maswali mengi sana. Hizi platforms zinapata faida...
  20. JamiiForums Tanzania Msaada nnataka kusoma online university vya nje nahitaji kujua jinsi ya kutambua vyuo vinavyotambulika

    Habari zenu wataalamu wa IT shida yangu km nilivyoandika hapo kwenye heading msaada please sihitaji cheti Mimi nnataka ujuzi wa IT ethical hacker nna diploma ya ict
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…