Hii sio hadithi wala chitchat. Ni habari ya kweli. Ni ufunuo aliouona Yohana mnamo mwaka 95 BK, alipokuwa katika kisiwa cha Patmo. Mungu alimfunulia mambo mengi mazito, ya kutisha, yatakayotokea nyakati za kuelekea mwisho wa dunia.
Katika sura ya 12:12 ya kitabu alichoandika, Yohana alionyeshwa...