oktoba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hotuba ya uamsho wa Taifa: Siku ya Kupinga Ubabe na Udhalimu

    Watanzania, ndugu zangu, Leo tunasimama hapa si kwa hofu — bali kwa hasira. Hasira ya watu waliodhalilishwa kwa miaka. Hasira ya watu waliodhulumiwa hadharani, wakabaki kimya. Hasira ya watu walioumia, lakini wakatakiwa wapige makofi. Na sasa nawauliza: Mpaka lini tutakaa kimya? Mpaka lini...
  2. JamiiForums Tanzania Oktoba katiki baada ya hapo wakosoe wakuteke uliowapa tiki

    Sasa hivi wanakubembeleza ukatiki October 29 baada ya uchaguzi uliowachagua ukiwakosoa wanakuteka
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Na hawa ndio vijana wa kiTanzania watakaoandamana Oktoba 29?

    Kanda ya ziwa bado safari ni ndefu, sijui wamepatwa na nini Wananchi wa Buhongwa Wilayani Nyamagana Mkoani Mwanza wakiwa wamejitokeza kwa wingi pembezoni mwa barabara, tayari kwaajili ya kumlaki na kumsikiliza mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Shauri la Kikatiba la Luhaga Mpina dhidi ya INEC kuendelea leo Oktoba 6, 2025

    Mahakama Kuu Masjala Kuu Dodoma, leo Oktoba 6, 2025, itasikiliza shauri la kikatiba lililofunguliwa dhidi ya Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, kupinga Luhaga Mpina kuondolewa kugombea Urais wa Tanzania. Kesi hiyo imepangwa kusikilizwa mbele ya majaji watatu kuanzia...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Tusiruhusu Uharibifu, Ukombozi Uanze usiku wa 28 Oktoba

    Siku zote mapambano ya ukombozi huanza usiku wa manane. Na ndiyo maana madikteta yote yakiona mambo yanawaendea vibaya, hatua ya kwanza huwa ni kuwazuia watu kutembea usiku. Uhuru wa Tanganyika ulitangazwa usiku wa tarehe 8 kuamkia tarehe 9 December 1961. Mapinduzi ya Zanzibar yalikamilika...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Ukiamka mgonjwa oktoba 29 mtaarifu mjumbe ufanyiwe mpango ukapige kura

    Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema kwa mtu atakayeamka mgonjwa siku ya kupiga kura Oktoba 29, 2025 atoe taarifa kwa mjumbe wake ili afanyiwe utaratibu. Samia amebainisha hayo leo Alhamisi, Oktoba 2, 2025, katika...
  7. JamiiForums Tanzania Oktoba 29: Kutiki au Kutikisa?

    Siku zinayoyoma kwa kasi kuelekea Oktoba 29, 2025. Kuna pande mbili kuu zenye mitazamo tofauti kabisa kuhusu nini hasa kinapaswa kutokea siku hiyo. Je, itakuwa siku ya kutiki au kutikisa? Pande zote mbili zina hoja zao. Upande mmoja unaamini kwamba suluhisho la changamoto za taifa letu lipo...
  8. JamiiForums Tanzania Tarehe 29 Oktoba ni kumbukizi ya kuzaliwa Hayati JPM na ndiyo siku ya uchaguzi mwaka huu huku wananchi wakidai kuandama kupinga uchaguzi huo

    Wakuu kuna mambo nayaona kuelekea Oktoba 29 mwaka huu isiyo ya kawaida kabisa katika nchii tangu kizazi cha uhuru. Tarehe hii 29 Oktoba imebeba historia nzito sana kwa Taifa la Tanzania,inahusisha mambo makuu matatu ya kuogofya 1.Uchaguzi Mkuu wa Rais,Wabunge na Madiwani. 2. Kumbukizi ya...
  9. JamiiForums Tanzania Ni aibu serikali kuwatumia mabongolala kama mwijaku,Stan bakola,wema sepetu,Jimmy mafufu na vilaza wengine kuhamasisha watu wakatiki oktoba

    Serikali badala ya kuwatafuta watu wenye ushawishi wa Maana ili waweze kutushawishi Sisi wenye uelewa mpana ili tukatiki oktoba wenyewe wanatuletea vichekesho kwenye jamii ya watu waliojeruhiwa imagine mtu kama Bibi wema sepetu amekazana kusema oktoba tukatiki ukimuuliza kwa sababu gani nikatiki...
  10. JamiiForums Tanzania Tarehe 29 Oktoba, piga kura yako mapema na nenda nyumbani

    Watanzania ni watu watulivu, watu wa amani, watu wa hekima, ila si wajinga. Uchaguzi ni mara moja kila miaka mitano, na ni haki ya kikatiba kila mtu kuchagua ampendaye kukalia kiti cha urais, ubunge au udiwani. Watanzania tusipoteze nafasi hii, ya kikatiba. Watu wasio waelewa wanasema siku hiyo...
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 It's Do or Die. Tuchukue hatua kukomesha utawala huu wa kidhalimu tarehe 29 Oktoba au tupotee mazima na vizazi vyetu

    Uwe askari polisi , uwe daktari, uwe mwalimu, uwe mwanajeshi, uwe hakimu au jaji, uwe mkulima, uwe mfanyakazi, uwe bodaboda uwe Mama ntilie, uwe machinga au uwe jobless usipochukua hatua hiya Oktoba 29 ndo umeweka muhuri kwenye kunyanyaswa kwako na kuibiwa rasilimali zako huku wewe, familia...
  12. JamiiForums Tanzania Maandamano ya oktoba 29, 2025 hayawezi kufanikiwa, japo nia yake imewapa ujumbe mkubwa mafisadi

    Ningetamani haya maandamano yatokee na sisi tufanye mapinduzi dhidi ya mafisadi na viongozi wahuni, lakini Kwa vyovyote hili halitawezekana Mafisadi na wahuni watafanikiwa kufanya uchaguzi fake Kwa amani na kujitangaza kushinda na baadaye kujiapisha na kupigiwa mizinga na jeshi letu, Sababu...
  13. JamiiForums Tanzania Kabla hamjaandamana Tarehe 29 Oktoba waulizeni Zanzibar na Waislam kwanza

    Kabla hamjaandamana hiyo tarehe 29 Oktoba waulizeni kwanza wananchi wa Zanzibar 2001 kilitokea nini kwao ? Pia waulizeni waislam wa mwembechai kilicho watokea. Hivyo kama unatokea kwenye maandamano ya tarehe 29 Oktoba nakuambia mapema kabisa kuwa tayari kwa matokeo yoyote. Usiandamane kwa...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA maandamano ya Oktoba 29, na taifa lililojaa watazamaji badala ya wananchi

    Ndugu zangu, kuna jambo moja linazidi kujidhihirisha katika historia yetu ya kisiasa: Tanzania bado ni nchi ya watazamaji, si ya washiriki. Ndio maana kila baada ya muda fulani, Chadema huibuka na tangazo la maandamano, mara hii Oktoba 29, kana kwamba dunia itatikisika, serikali itatetemeka, na...
  15. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 29 Oktoba tunashirikije uchaguzi ikiwa haya hayajafanyiwa kazi?

    Watu wa Tanzania! Sasa ni wakati wa kuandamana na kutoa sauti yetu kwa nguvu ili kuzuia uchaguzi wa udanganyifu tarehe 29 Oktoba 2025. Hapa kuna hoja kuu zinazothibitisha kuwa tunahitaji kubadilisha hali hii mbaya kabla ya kura kupigwa bila haki. Jitokeze kwa wingi na tuungane pamoja! 1...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF) linatekeleza zoezi la ajira kitaifa Oktoba

    Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF), kupitia taarifa iliyotolewa Jumapili, Septemba 14, linasema kuwa zoezi hili litalenga kuajiri Wakandarasi wa Huduma za Kawaida (GSO) – kwa kawaida na wahitimu wa vyuo vikuu, Wakandarasi Maalumu, Wajibu wa Kawaida, Wafundi wa Kazi na Wanawake, pamoja na Askari wa...
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Unabii mzito wa Mchungaji Dickson Cornel Kabigumila juu ya yatakayojiri kabla ya Oktoba 29, 2025

    Wakuu! Mmesikia Unabii mzito wa Mchungaji Dickson Cornel Kabigumila ambao ametoa katika ibada iliyofanyika Septemba 07, 2025, akieleza juu ya mambo yatakayojiri kabla ya Oktoba 29, 2025?
  18. JamiiForums Tanzania Oktoba tunatiki!!

    Marko 12:17 "...Mpeni Kaisari yaliyo ya Kaisari, na yaliyo ya Mungu mpeni Mungu." Mimi hata kabla ya Oktoba, yaliyo ya Mungu ninayatiki ✅ Yesu Kristo ni Mwokozi wa ulimwengu ✅ Damu ya Yesu inasafisha dhambi zote ✅ Wokovu haupatikani kwa matendo, bali kwa neema ✅ Biblia ni Neno la Mungu, ni...
  19. JamiiForums Tanzania Oktoba tunatiki challenge target 5k replies

    Haya ndugu zangu Wanaccm nimeona na mimi niazishe thread yakuwajibu wahuni wa no reforms no election twende nao sambamba hawa watu mpaka kieleweke kati ya sikio na kichwa nani kamzidi mwenzie
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Nchimbi: CCM itashinda Kwa Kishindo Uchaguzi Mkuu wa Oktoba

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema chama hicho tayari kimejipanga kushinda kwa kishindo katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…