oktoba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    JamiiForums Tanzania Rose Migiro: CCM tulipata mshangao katika matukio ya Oktoba 29

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Balozi , Dkt. Asha-Rose Migiro @officialasharosemigiro anaeleza kuwa matukio ya vurugu za uchaguzi wa Oktoba 2025, yalikishangaza pia Chama hicho kwani haikuwahi tokea
  2. B

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 CCM Hatimaye yachukizwa na utekaji! Yaumizwa na yaliyotokea Oktoba 29, Balozi Migiro ateta na Kikeke

    28 May 2026 CCM YACHUKIZWA NA UTEKAJI, YAUMIZWA NA YALIYOTOKEA OKTOBA 29, BALOZI DKT ROSE MIGIRO ATETA NA KIKEKE https://m.youtube.com/watch?v=rqTKkT6dv7o Baada ya kukaa kimya toka 2017 kuhusu utekaji, mauaji, kesi feki hadi Mei 2026 kufuatia muswaada wa vikwazo uliopendekezwa huko Marekani...
  3. JamiiForums Tanzania Kikwete alivyokutana na Viongozi wa Upinzani Ikulu – Dar, Oktoba 15, 2013

    Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Viongozi wa Vyama vya Siasa nchini, waliofika Ikulu jijini Dar es Salaam, Oktoba 15, 2013. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Ikulu kiongozi wa kambi ya upinzani Bungeni, Freeman Mbowe mara baada ya mazungumzo nao leo ikulu...
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Oktoba 29 Serikali ilitumia busara, Majeshi yalitaka kugonganishwa

    Katika mahojiano ya hivi karibuni na M&S Podcast, Mahita amesema kuwa mamlaka za kiserikali zilionesha hekima na ustahimilivu mkubwa kwa kukataa kuingizwa katika mtego wa mapambano ya ghasia, jambo ambalo lililinda na kuhifadhi utulivu wa kitaifa. Kwa kuonya dhidi ya hatari ya kuiga mapinduzi...
  5. JamiiForums Tanzania Ma CCM yangemuachia Lissu, wakazungumza naye, Uzito wa Oktoba 29 ungepungua, na Pengine Lissu angesawazisha hili suala kwa US na Ulaya

    Ila kama kawaida, Ma CCM hayana akili, Yana viburi Yanangoja tu ICC na Vikwazo . Bado RAIA titaandamana kama kawaida Mkiua tena ni Moto, msipoua , tunaingia Ikulu !!! Mtachagua wenyewe aaaahhh!!.
  6. JamiiForums Tanzania Je Oktoba 29 inapita mulemule ilimopita Tannamen Square massacre?

    Angalia mlinganisho hapa:- Naona kama haya matukio yanafanana, je watawala wanapita mulemule ilimopita Tiannamen massacre?
  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Baadhi ya Wanaharakati walitumia changamoto za wananchi kuwachochea wananchi kushiriki vurugu za Oktoba 29

    Akizungumza Jaji Chande leo wakati anakabidhi anakabidhi Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23 Aprili, 2026, Dar es Salaam Soma Pia: Jaji Chande: Kauli za wanasiasa kama 'No Reforms No Election'...
  8. JamiiForums Tanzania Athari za Kiuchumi Oktoba 29,2025

    Tume ilibaini kwamba sekta ya elimu iliathiriwa kiuchumi pia, hasa shule za binafsi ambazo zilipoteza mapato ya ada wakati shule zilipofungwa. Walimu wa shule hizo hawakupata mishahara yao, na familia zilizowaongoza watoto wao kwenye shule za mbali zaidi pia zilibeba gharama za ziada za...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mwananchi: Hatutaki fidia, Tunataka Serikali ya Samia iondoke madarakani, kama wanaweza waturudishie roho za watoto wetu

    Wakuu, Nimekutana na hii sauti Mtandaoni inayoumiza sana namna huyu mama anauchungu moyoni mwake, Iko hivi, tukisema turidhiane na kulipa fidia huu siyo uponyaji kwa Taifa na wakati wote hata kabla ya ripoti ya chande tayari seriakli inafahamu nini wananchi wanakitaka Wananchi wanataka...
  10. JamiiForums Tanzania Warioba, Chadema na Njama za Oktoba 29

    Mzee Joseph Warioba,Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ananikumbusha "story" ya Waziri Mkuu wa zamani wa Nchi ya Burundi,Mh. Generali Alain Bunyoni ambaye alishiriki kuunda na kutekeleza njama za kutaka kumpindua Rais wa sasa wa Nchi ya Burundi,Mh Evarist Ndayshimiye. Haya...
  11. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwabukusi: Si kweli Vurugu za Oktoba 29 zilisababishwa na 'Gen Z' ni sababu za Wazee kushindwa kuwajibika

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, amesema hayo Mei 11, 2026, wakati akiwasilisha uchambuzi wa chama hicho kufuatia ripoti ya Tume ya Uchunguzi ya Matukio ya wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu 2025. "Vilevile swala la ukiukwaji wa haki za binadamu, Tume...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Pesa zinazokusanywa ni kwajili ya kuendeleza Dar, Dodoma na Zanzibar ? mikoa mingi imekuwa vyanzo vya mapato bila kupewa umuhimu kwenye maendeleo

    Kuna mikoa huchangia mamia ya mabilioni ya kodi kila mwaka kupitia biashara, kilimo, madini na shughuli nyingine za kiuchumi. Lakini ukifika hata makao makuu na majiji ya mikoa hiyo, maendeleo hayaendani kabisa na mchango wao, Inasikitisha kuona kuwa sehemu kubwa ya mapato hayo yanaelekezwa...
  13. JamiiForums Tanzania Mbunge Ujerumani ahoji bungeni mauaji ya Oktoba 29 Tanzania na kesi ya Lissu

    Mbunge wa Lahn-Dill nchini Ujerumani, Mheshimiwa Johannes Volkmann wa chama cha CDU ameihoji Serikali ya nchi hiyo kwamba, inachukua hatua gani kwa Tanzania kutokana na mauaji ya raia katika uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 na kuhusu kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, aliyosema inakiuka...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kuna ushahidi wowote unaoonyesha uhusika wa Vyombo vya Usalama katika mauaji ya Oktoba 29??

    Imenibidi niulize tena swali hili, ambalo watu wengi wameamini tu kwa kusikia/kuambiwa kwamba ni "vyombo vya dola" vinahusika na mauaji hayo. Hivi vyombo vinavyojulikana ni polisi, Jeshi, au hata TISS? Kuna ushahidi wowote unaoonyesha uhusika wa polisi au jeshi katika mauaji hayo? Picha zote...
  15. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Matukio ya Oktoba 29 yalipangwa na kufadhiliwa na watu waliopata mafunzo

    Wakuu, Anazungumza Jaji Chande leo wakati anakabidhi anakabidhi Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23 Aprili, 2026, Dar es Salaam Pasipo na shaka, kuwa matukio ya ghasia ya tarehe 29 Oktoba...
  16. W

    JamiiForums Tanzania Watatu wakamatwa kwa kutusi Tume ya kuchunguza vurugu za Oktoba 29

    Jeshi la Polisi nchini limewakamata watu watatu kwa tuhuma za kutumia vibaya mitandao ya kijamii kwa kusambaza matusi na maudhui ya kudhalilisha, wakiwemo waliolenga wajumbe wa Tume ya Uchunguzi wa matukio ya vurugu za Oktoba 29, 2025 na baada ya uchaguzi. Watuhumiwa hao wamekamatwa katika...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Mkuu Usalama wa Taifa (DGIS), Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Wakuu wa mikoa wapo ofisini hata baada ya mauaji ya Oktoba 29, 2025

    Tukubali "ghasia" zilipangwa, kuratibiwa, kufadhiliwa na kutekelezwa. Tukubali watu 518 tu ndio waliouwawa, 758 wamepotea na 448 hawajulikani walipo ( 518+758+448=1,724! Namba 8 imependwa sana na Tume). Jumla watu 1,724 HAWAPO kama matokeo ya hicho kilichopngwa, kuratibiwa, kufadhiliwa na...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa gari lililotumika kuua watu Oktoba 29, 2025 limeonekana tena kwenye Ziara ya Dkt Mwigulu

    Swali, Mpaka hapa bado kuna mtu hajajibiwa swali la nani alitoa amri ya kuua watu iwapo magari yaliyotumika kuua watu bado wanayatumia kuonesha hawajali wala kuogopa chochote?
  19. JamiiForums Tanzania Ukweli wa Vurugu Zilizopangwa Oktoba 29

    Ushahidi unaonyesha vurugu zilikuwa zimepangwa, ziliratibiwa, zilifadhiliwa na zilitekelezwa na watu waliofuzu mafunzo maalum. Viongozi wakuu walikaa nyuma na kuwatumia vijana kama zana za mbele. #UkweliOktoba29
  20. JamiiForums Tanzania Ripoti: Ghasia Oktoba 29 Zililenga Kuvuruga

    📍USHAHIDI WAONYESHA GHASIA ZA OCTOBA 29 ZILILENGA KUVURUGA UCHAGUZI Mwenyekiti wa Tume iliyoundwa na Rais Dkt. Samia kuchunguza matukio yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu October 29,2025, Jaji Mstaafu Mohamed Chande Othman amesema kwa mujibu wa ushahidi uliowasilishwa kwenye Tume...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…