oktoba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa ACT-Wazalendo baada ya kuwa Chama kikuu Cha upinzani Oktoba 2025

    Ewe mwanaJF, tupia ushauri wowote kwa hiki Chama ambacho mpaka Sasa kina dalili zote za kuwa Chama kikuu Cha Upinzani katika medani yetu ya siasa mara baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025. Unapendekeza wafanye nini' na kivipi. Karibuni!
  2. JamiiForums Tanzania Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025: Wananchi Mkoa Mbeya, wakubaliana na Kauli Mbiu ya Kama hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi 2025

    Katika muktadha wa uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, wananchi wa Mkoa wa Mbeya, pamoja na wilaya zake zote, wameonyesha hisia za kutoridhika na hali ya kisiasa na kiuchumi nchini. Kauli mbiu yao ya "Kama hakuna mabadiliko, hakuna uchaguzi" inatoa mwangaza wa wazi juu ya matarajio yao. Wananchi hawa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Namuomba Mungu anipe uzima nishuhudie huyo anayedanganya wananchi mikoani kuwa atazuia uchaguzi Oktoba, 2025

    Mpaka sasa sioni dalili za kuzuia uchaguzi zaidi ya kupiga porojo kwa wananchi na kuzawadiwa samaki, wakati wa Magufuli wananchi walijaa kama hivyo lakini mwisho wa siku ulishindwa uchaguzi na ukasaidiwa na mabalozi kukimbia nchi. Kwenye mikutano yako unatukana wateule wa Rais unawaita wana...
  4. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 UVCCM: Asanteni Singida kwa mapokezi makubwa

    ❇️ ASANTENI SINGIDA KWA MAPOKEZI MAKUBWA, HII NI IMANI KUBWA YA USHINDI WA KISHINDO KWA DKT. SAMIA SULUHU HASSAN KWENYE UCHAGUZI MKUU OKTOBA 2025 Asanteni sana kwa shukurani zenu mlizopeleka kwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa maendeleo makubwa aliyofanya mkoa wa Singida kwenye sekta ya elimu...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Israel yasema wanajeshi 16,000 wamelazwa tokea vita kuanza oktoba 7, 72% wamekatwa viungo

    Wadau hamjamboni nyote? Nusu ya hao wanatatizo la kisaikolojia yaani PTSD 72% wamepoteza baadhi ya viungo vyao Jumla askari wote wanaoitibiwa ni 78,000 ikijumuisha majeruhi wa vita vilivyotangulia kabla ya oktoba 7,2023 Ifikapo 2030 inatarajiwa askari 100,000 watakuwa wakipatiwa matibabu...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali kupitia taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Mwanza katika kipindi cha Oktoba hadi Disemba 2024 imefanikiwa kufuatilia

    Serikali kupitia taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Mwanza katika kipindi cha Oktoba hadi Disemba 2024 imefanikiwa kufuatilia utekelezaji wa miradi ya maendeleo 13 yenye thamani ya zaidi ya sh. Bil 4.4 kwenye sekta ya Elimu, Barabara na Biashara ambapo kati ya hiyo...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amos Makala: Kama tumeshinda uchaguzi serikali za mitaa kwa asilimia 98 nategemea ushindi ni huohuo uchaguzi mkuu Oktoba

    "Uchaguzi mimi nimeshiriki Dar es salaam katika wilaya zote katika majimbo yote nilifurahishwa na wana Dar es salaam muliokataa propaganda, uongo, mkachagua chama cha mapinduzi, na hii ni salamu kama tumeshinda serikali za mitaa kwa asilimia 98 nategemea kabisa ushindi ni huohuo katika uchaguzi...
  8. JamiiForums Tanzania Je, ile kauli ya wanawake hawapendani inaweza kuzaa matunda Oktoba 2025?

    Kuna kamsemo huwa kanasikika sana mitaani hasa pale katika uchaguzi mkuu ambapo unakuta Mgombea mwanamke anapata kura asilimia 0.2 ilihali wapiga kura zaidi ya 50% ni wanawake.. “Wanawake hawapendani….” Je, kauli hii inaweza kuzaa matunda Oktoba?
  9. JamiiForums Tanzania Prof Ndalichako alifaa kuwa Mgombea mwenza Oktoba 2025

    Kiukweli Mkoa wa Kigoma Una hazina ya wasomi mahiri. Ilifaa Prof Joyce achukue kijiti kwa PhD holder mwenzake
  10. JamiiForums Tanzania Oktoba 7 ni njama za natanyahu

    Utekaji uliofanywa Oktoba 7 2023 ni njama za natanyahu kuiangamiza palestina.Hebu tujiulize maswali haya: 1.Hivi inaingia akililini kweli kwamba jeshi la mwamba natanyahau,tena likisaidiwa na silaha kali kali kutoka Marekani,na sio hivyo tu,ni jeshi la watoto wa taifa la Mungu,wavamiwe na jeshi...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi lengo la Hamas lilikuwa ni nini ile Oktoba 7, 2023?

    Nimekuwa nikijiuliza kwa muda sasa bila kupata majibu. Kwa nini Hamas walianzisha chokochoko ambayo msukosuko wake hawawezi kuustahimili? Wapalestina wa Gaza wanapaswa kuilaani kabisa Hamas na kuipinga kwa hali zote. Ndiyo, Wapalestina hao wa Gaza walikuwa wanaishi kwenye mazingira magumu...
  12. JamiiForums Tanzania Kuna Nchi Mashariki mwa Afrika inaelekea kubaya sana. Nashukuru kikao cha Wakuu wa Ujasusi wa Uingereza na Marekani kilichofanyika Kenya Oktoba 2024

    Kuna chama cha Siasa katika Nchi moja mashariki mwa Afrika kimeamua kuwa Demokrasia itaishia kwenye Viongozi wa Chama chao tu. Wameamua kabisa kuwa sasa haitatokea Wananchi wa nchi yao inayoanzia na jina T watakuja kupata kiongozi wanayemtaka kwa njia ya sanduku la kura. Wameamua kabisa...
  13. JamiiForums Tanzania Kalenda hii inaonesha kesho ni tarehe 32/10/2024

    Hii taasisi imetoa kalenda na kesho ni 32/10/2024 Nini maoni yako?
  14. JamiiForums Tanzania Mbunge Mageni: Watu wengi wanaamini hakuna ajira Serikalini bila kuwa na ‘connection'

    https://www.youtube.com/watch?v=ECVGyl8jL60 Akizungumza wakati wa mjadala Bungeni kuhusu Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) iliyowasilishwa Bungeni Mwaka wa Fedha 2022/23, leo Oktoba 31, 2024, Mbunge wa Sumve, Kasalali Mageni amesema imekuwa kawaida kuona Ripoti hiyo...
  15. JamiiForums Tanzania Bunge la Kumi na Mbili Mkutano wa 17 Kikao cha Tatu, Oktoba 31, 2024

    Kwa sasa, Bunge linaendelea na kipindi cha maswali na majibu ambapo wabunge wanauliza maswali kwa Waziri Mkuu pamoja na Mawaziri wanatoa majibu, tuwe pamoja kufatilia yanayojiri kutoka viunga vya mji wa Dodoma. https://www.youtube.com/live/ECVGyl8jL60
  16. U

    JamiiForums Tanzania Kiongozi Mkuu wa kikundi cha Hezbollah Naim Qassem leo jumatano Oktoba 30 kutoa hutuba nzito sana kwa Dunia, ni mara ya kwanza tangu achaguliwe

    LATEST UPDATES: Newly appointed Hezbollah leader vows to continue Nasrallah’s war against Israel By Gianluca Pacchiani Follow Today, 4:00 pm In his first address after his appointment as new Hezbollah leader, Naim Qassem says he intends to continue the “work program” of his predecessor...
  17. JamiiForums Tanzania Yanayojiri kwenye Bunge la 12 Mkutano wa 17 Kikao cha pili, Oktoba 30, 2024

    Kwa sasa, Bunge linaendelea na kipindi cha maswali na majibu ambapo wabunge wanauliza maswali na mawaziri wanatoa majibu kwa hoja zinazotolewa. Endelea kuwa nasi tukifuatilia yanayojiri moja kwa moja kutoka viunga vya Dodoma. https://www.youtube.com/watch?v=I0lXFZKm-sE
  18. JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Samia akishiriki Mkutano wa 11 wa Merck Foundation Africa Asia Luminary, Oktoba 29, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan Akishiriki Mkutano wa 11 wa Merck Foundation Africa Asia Luminary, Ukumbi wa Johari Rotana Dar es Salaam, leo tarehe 29 Oktoba, 2024. https://www.youtube.com/watch?v=pO386W-gVjw
  19. JamiiForums Tanzania Bunge la 12 Mkutano wa 17 Kikao cha kwanza, Oktoba 29, 2024

    Kama kawaida, Bunge linaendelea muda huu na ni kipindi cha maswali na majibu ambapo wabunge wanauliza na mawaziri wanajibu hoja husika, tuwe pamoja kufatilia yanayojiri kutoka viunga vya mji wa Dodoma. https://www.youtube.com/watch?v=i2OqSWWMSO0
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gachagua hatapokea mshahara mwezi Oktoba

    Aliyekua Naibu Rais Gachagua Mwezi huu hatapokea mshahara, kama ilivyo kawaida Bali nae inabid ajiajiri kama vijana wengi wanavyohusiwa na wanasiasa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…