oktoba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Kassim Majaliwa: Uchaguzi utakuwa huru wa haki na uwazi, Oktoba tukapige Kura

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Wananchi kujitokeza kushiriki uchaguzi kwa kuwachagua viongozi, ambapo amesema uchaguzi huo utakuwa huru, wa wazi na haki huku akitoa rai kwa Wananchi kutopata hofu ya kujitokeza kupiga kura akidai kuwa wasiwe na shaka ya usalama. Ameyasema hayo...
  2. JamiiForums Tanzania Yani kwa kifupi Kama una namba ya NIDA oktoba UTATIKI upende Usipende

    Hiki ndio tunachomaanisha tunaposema mfumo umeunganisha INEC=NIDA=CCM
  3. JamiiForums Tanzania Tuseme ukweli tu: Yeyote atakayepiga kura Oktoba atakuwa na Mtindio wa Ubongo

    Kwa sisi Wanasheria Kanuni na Sheria Kuu za Ushahidi zinasema Ushahidi usiotiliwa mashaka na unaopaswa kuzingatiwa moja kwa moja na Mahakama au Mfanya maamuzi ni Ushahidi wa Mtu aliyetenda kitendo husika au aliyekuwepo eneo la tukio wakati kitendo hisika kinafanyika. Kwa maneno ya Humphrey...
  4. JamiiForums Tanzania Nahisi mbwembwe za Oktoba Tunatiki kama zimefifia

    Maneno ya Humphrey Polepole yameweka hadharani kile ambacho tulikuwa tukisema kwa miaka mingi – CCM si chama tena cha siasa, bali ni kampuni ya mafisadi wenye maslahi binafsi. Amedai wazi kuwa mchakato wa kumpata mgombea wa urais ndani ya CCM umekiuka kanuni, taratibu na miongozo ya chama...
  5. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Mrisho Gambo anaungana na Luhaga Mpina 'Arusha Oktoba tutalinda kura'

  6. JamiiForums Tanzania Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi waazimia Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 unafanyika katika hali ya amani

    Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi Nchini wameazimia kuhakikisha kuwa uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 unafanyika katika hali ya amani, utulivu na usalama na kwamba hawatamuonea muhali mtu yeyote atakaye jaribu kuvunja amani ya nchi. Azimio hilo limefikiwa baada ya kukamilika kwa Mkutano Mkuu wa...
  7. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Oktoba tiki kwa samia ili kujenga tanzania bora

    Siku ya Jana tarehe 09.08.2025 ilikuwa ni mwanzo mpya wa mabadiliko makubwa yaliyo mbeleni kwa Taifa baada ya mgombea bora wa urais kwa tiketi ya CCM Dkt. Samia Suluhu kuchukua fomu ya uteuzi. Kilichofanya ubora wa mgombea huyu ni vipaumbele vyake vilivyobeba matarajio makubwa ya wapigakura na...
  8. JamiiForums Tanzania Hii video ni mfano halisi wa kinachoenda kutokea Oktoba 29 2025

    Kwa atakayenielewa aelewe… https://www.instagram.com/reel/DLcLBEptO4A/?igsh=MXQwamxoNmVsOWt3eg==
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Jimbo la Segerea Dar es salaam tunaelekea kudanganywa tena Oktoba 2025 kwenye Ubunge

    Binafsi nimekuwa najiuliza sana, nchi nzima hii kila jimbo huwa linawakilishwa bungeni na mbunge ambae anaeleza shida za jimboni kwake na kupata utatuzi. Huku Tabata nimeambiwa tupo ndani ya jimbo la Segerea, sasa nikauliza, mbona huu ubovu wa kutisha wa barabara huku Tabata, tena Dar es...
  10. JamiiForums Tanzania Kuna chama kimeahidiwa serikali ya umoja wa kitaifa hapo oktoba 2025 na mgombea wao wa urais wiki ijayo atahamia chama hicho

    Baada ya maji kuzidi kulowana. Kuna chama kimeahidiwa kupewa mawaziri kadhaa na kuundwa Kwa serikali ya UMOJA WA KITAIFA Ili kuonyesha demokrasia ipo na kuizika Rasmi CHADEMA. Baada ya leo mtoto wake kuhamia Chama hicho next week kama SIO Tarehe 10 ya wiki Hii kutakuwa na kung'atuka Kwa mgombea...
  11. E

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mpina ahamia rasmi ACT Wazalendo, kumvaa Rais Samia Oktoba 29, 2025

    DAR. Mbunge wa zamani wa Kisesa, Mkoa wa Simiyu, Luhaga Mpina ni mwanachama halali wa Chama cha ACT Wazalendo na tayari ameshakabidhiwa fomu ya kugombea urais wa chama hicho. Taarifa za uhakika ndani ya ACT-Wazalendo zinasema, mwanasiasa huyo tayari amekabidhiwa kadi ya chama hicho cha upinzani...
  12. JamiiForums Tanzania Albert Chalamila: Mabasi 99 yataingia Agosti 15, mengine 250 yataingia Oktoba 1, 2025

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema kuwa ifikapo tarehe 15 Agosti 2025, mabasi 99 yataanza rasmi kutoa huduma ya usafiri katika barabara ya Mbagala. Aidha, kufikia tarehe 1 Oktoba 2025, mabasi mengine 250 yanatarajiwa kuanza safari kati ya kituo cha Mbezi Kimara hadi...
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Waziri Aweso: 'Tufocus' katika miezi hii miwili, kufikia Oktoba wananchi Tabora wapate maji

    Waziri wa Maji Jumaa Aweso amewataka Wakandarasi wanaotekeleza Mradi wa Maji wa Miji-28 kufanya kazi Usiku na Mchana ndani ya Kipindi cha Mwezi Julai na Agosti, akiagiza wananchi wa Miji ya Urambo, Kaliua na Sikonge mkoani Tabora kuanza kupata huduma ya Maji Mwezi Oktoba mwaka huu. Wakati wa...
  14. JamiiForums Tanzania No Reforms No Election haizuiliki wala kushikika: Wananchi sasa wanasema wazi hawatopiga kura Oktoba 2025

    Muda huu Chombo cha Habari cha ITV wameripoti kuhusu Tume ya Uchaguzi kuwataka Watendaji kuzingatia Sheria. Kilichonifurahisha ni maoni ya Watanzania kwenye post hii. Angalia mwenyewe. Watanzania tujipongeze sana. Lazima CCM watambue sisi sio mafala tena. No Reform No Election ✊️ ✌️
  15. JamiiForums Tanzania Sauti ya wakenya ipo juu sana, ni mwendo ule ule OKTOBA KUTIKI TU

    Wakenya wanasema 20 tena https://www.tiktok.com/@ma3nisisi/video/7526154389866745144
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Mada: Uchaguzi mkuu wa oktoba 2025 unaweza kukizi vigezo vya kuwa uchaguzi huru, haki na wa uwazi?

    Habari zenu ndugu zangu Katika utaifa wetu wa Tanzania. Leo nataka tujaribu kuangalia mchakato wa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi wa Oktoba mwaka huu. Watanzania wanajiandaa kuwachagua wabunge,Rais na madiwani. Lakini kabla ya uchaguzi kuna mambo mbali mbali mazuri na mabaya...
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania itafanya uchaguzi mwezi oktoba na Kazi itaendelea

    Waliotaka kususa wanatafuta huruma ya kurejea. Kamwe huruma hii isitolewe na kwa nguvu za Mwenyezi maanani uchaguzi utafanikiwa kwa amani na kazi itaendelea.
  18. JamiiForums Tanzania Akipatikana na Hatia, Hukumu ya Kunyongwa Mtuhumiwa Lissu itekelezwe kabla ya Oktoba 2025 kabla ya KUTIKI

    Mahakama iharakishe Hukumu dhidi ya Lissu ili akipata na Hatua Anyongwe Hadi Kufa kabla ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025
  19. A

    JamiiForums Tanzania Oktoba 2025 ifike tuachane na no reforms no election

    Ni kheri Oktoba 2025 ifike ili tutiki na kuachana na huu upuuzinwa no reforms no election unaoandikwa kila sehemu na kuomekana kama uchafu.
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Taratibu zisizoeleweka wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa zitukumbushe uhitaji wa 'reforms' kuelekea uchaguzi mkuu Oktoba

    Utafiti uliofanyika dhidi ya mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2024 unabainisha mila na desturi za kijamii na kijinsia zilivyoathiri ushiriki wa vijana na wanawake katika uchaguzi. Katika kipindi chote cha uchaguzi, vijana na wanawake waliokuwa sehemu ya utafiti walibaini na kutoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…