Wachambuzi wa Vita vya Iran na Israel&Marekani, Mlikuwa wapi 29 Oktoba 2025? Acheni unafiki.
Ukiona mtu anajifanya kuchambua jinsi Iran imechakazwa, Comment neno lolote baya akasirike
Mwisho wa kunukuu
Ninataka kuona Mnara kuwakumbuka Wapigania haki wa 29 Oktoba 2025.
Watu wengi wamekufa wengi wamepotezwa.
Majina yao yatakuwa hadharani.
Nimemuandikia Barua Waziri wa Vijana ila bado hajajibu Barua.
Nimemuomba hela zinazotengwa kwaajili ya kuwawezesha Vijana, kwa mwaka wa fedha wa 2026/2027...
Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), imewataka Watanzania kuendelea kushikamana na misingi ya Taifa, hususan katika kipindi hiki ambacho nchi inatafakari matukio ya vurugu za Oktoba 29, 2025 kupitia Tume iliyoundwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan.
Hayo yameelezwa jijini Dar es Salaam leo, Alhamisi...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema mwaka 2025, Tanzania ilikabiliwa na vurugu wakati wa uchaguzi ambazo hazijawahi kutokea tangu nchi ilipopata uhuru mwaka 1961.
Soma pia: Waziri Kombo: Tumestahimili mtihani mzito wa Oktoba 29, Dunia...
Nipo hapa napata Moja baridi na Moja baridi nchi jirani huku nikofuatilia ITV HABARI kupitia YOUTUBE, huyu mtangazaji wa ITV anayeitwa Asiraji Mvungi, ameripoti Kwamba Tume ya Jaji Chande imekutana na wahanga na waathirika wa vurugu baada ya uchaguzi, na waathirika hao wamemwambia Jaji Chande...
Wanasheria Tito Magoti na Bob Chacha Wangwe kupitia Kesi Na. 59 ya mwaka 2025 wameishtaki Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki katika Mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ), wakilalamikia vitendo vya ukiukwaji wa taratibu za Uchaguzi...
Nadhani kuna watu wanafikiri wakiongea maneno matamu matamu basi watu wa ICC kule The Hague watasahau amri za kuua walizotoa na mauaji ya kutisha ya Oktoba 2025. Hakuna kitu kama hicho.
Anzeni kujipanga kwenda kwenye kesi, na hata kutangaziwa International Arrest Warrants. Ushahidi upo wa wazi...
Sikutegemea kama usiku huu wa kuamkua 2026 mwaka mpya utanivuruga kisaikolojia
Nilizoea kufurahia baruti za mwaka mpya lakini kwa mara ya kwanza nimehuzunika
kila ninaposikia milio ya baruti, akili inarudi kwenye milio ya 29 Oktoba mwaka jana
Nitaeleza kwa kwa ufupi kabisa na kwa lugha nyepesi ambayo hata kilaza kama popoma anaweza kuelewa.
Kilicho tokea Tanzania hiyo tarehe 29 Oktoba 2025 ni UPEPO MBAYA period.
Kwa vilaza 👇👇👇
Tanzania ilikumbwa na UPEPO MBAYA hiyo tarehe 29 OKTOBA 2025. Upepo huo mbaya ukawa reflected kwenye...
Salaam Wakuu,
Hapa chini nimewawekea hotuba nzima ya Luhaga Mpina bila kuchakachua kitu.
Angalizo, hii Hotuba ilitolewa tarehe 27 Oktoba, lakini Document ya hotuba imetoka leo. Naipost hapa kuweka kumbukumbu sawa kwa Vizazi vijavyo kwa Matumizi ya Shule na kuwajengea watu wa Dunia ufahamu na...
Tukio la mauaji na machafuko yaliyotokea nchini Tanzania tarehe 29–31 Oktoba 2025 limeacha jeraha kubwa katika taifa. Wananchi wengi wamepoteza imani, wengine wamepoteza ndugu, na nchi imeingia katika sintofahamu ya kisiasa na kijamii. Katika mazingira kama haya, kuendelea mbele kama kawaida...
Nchi yetu imefanya uchaguzi Mkuu wa Taifa tarehe 29 Oktoba 2025. Sote tunakumbuka kuwa siku hiyo na siku zilizofuata, nchi yetu imepitia hali ngumu ambayo haijawahi kutokea katika historia yake.
Palitokea vurugu zilizababisha upotevu wa maisha, ulemavu na uharibifu wa mali za umma na binafsi...
Katika tukio ambalo limegusa mioyo ya wengi, mashabiki wa soka nchini Tanzania tujipamge kuonyesha mshikamano na majonzi kwa wale waliopoteza maisha katika maandamano ya kudai haki yaliyofanyika kuanzia tarehe 29 Oktoba 2025 ambapo familia nyingi zimepoteza wapendwa wao katika mfululizo wa...
Machafuko ya siku ya Uchaguzi lazima yapatiwe tiba ya kudumu.
Yeyote aliyehusika na machafuko haya kwa namna yoyote lazima awajibike, iwe kwa kuchochea mitandaoni au kwa kutenda moja kwa moja, basi hatua kali zichukuliwe. Tunayo nchi moja tu na uhai ni mmoja tu.
Haki ya kila mmoja ipatikane...
Ndugu Raia wa Afrika Mashariki,
Tunasimama hapa tukiwa na wasifu wa utambulisho halali kama Raia wa Afrika Mashariki, tukiwa tunasukumwa na ukweli kwamba Jumuiya ni yetu sote.
Tunaendelea kushuhudia ukiukwaji wa haki za binadamu na uharibifu wa demokrasia katika eneo lote, na kama raia wa...
Natumai siku yako imeenda vizuri na una furaha. Chagua swali au maswali ambayo hutojali kuyajibu na tuzogoe pamoja.
Kitu gani kimefanya maisha yako kuwa rahisi kwa mwaka huu?
Mstari gani wa wimbo unakugusa na unaona kama unaongelea yanayoendelea maishani mwako?
Kama ungeweza kumuuliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.