ofisini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suti za ofisini na harusi zinapatikana

    Doctor_clothing_store tunatoa suluhisho la upatikanaji wa suti za kiume za ofisini, harusi, msibani na kwenye matukio maalumu. suti zetu ni za ubora wa hali ya juu (zimetoka uturuki) Bei ya suti inategemea aina ya suti Kuna za Tsh.150,000/=, 170,000/=, 180,000/=, 200,000/=, 250,000/= na...
  2. Nauza fenicha za ofisini zilizotumika 800,000 maongezi yapo

    Habari za leo! Ninauza fenicha za ofisini zilizotumika zipo katika hali nzuri sana: 1. Meza kubwa moja (imported) 2. Kiti kimoja cha ngozi cha kuzunguka 3. Viti viwili vya wageni (nimenunua mwezi Januari,2024) Fenicha zote hizi nauza kwa pamoja kama zilivyo sh 800,000 maongezi yapo Zinapatikana...
  3. Hatimaye nimempata anayenipenda, naye ananipenda! Aisee, love is a beautiful thing

    Aisee nimekamatika mpaka jana nikatoroka, na leo nimesingizia naumwa ili niwe nae nisiende ofisini. Mimi ni mchapakazi sana na mara ya nyingi ni wa mwisho kuondoka ofisi, lakini naona mapenzi yataenda kufanya kibarua chagu kiote nyasi Mahusiano haya yenye mwezi sasa yanazidi kunibadilishia...
  4. L

    Jifanye kidume lakini tambua kwamba ofisini kwa mkeo lazima kuna mwanaume anatoka nae kimapenzi

    Hii sio meme, huu ni ukweli ulio wazi Siku hizi maisha ni kusaidiana na katika kusaidiana huko ndio maana baba anafanya kazi na mama pia anafanya kazi. Ofisini kuna mambo mengi yanaendelea ikiwemo mabosi kuwataka kimapenzi wafanyakazi wao na hii mara nyingi hutokea kwa mabosi wa kiume kuwataka...
  5. Mabibi na mabwana afya tokeni ofisini na mpite mitaani, hali ya mazingira hairidhishi

    Mabibi na mabwana afya tokeni ofisini mlikojificha, piteni mitaani, masokoni nk hali ya mazingira ni mbaya hairidhishi, kwa Jiji la Dar ndio kimbembe hasa kipindi hiki cha mvua, watu wasio wastaarabu wanafungulia chemba za vyoo vyao zinatirirsha maji machafu yanajichaganya na maji ya mvua...
  6. Mara: Wafanyakazi wa Mgodi wa Dhahabu CATA MINING warejesha mgomo, walala ofisini wakisubiri mshahara

    Wafanyakazi wa Mgodi wa Dhahabu CATA MINING ulioko Kijiji Katalyo, Wilaya ya Butiama wamerejea kwenye mgomo na wakulala ofisini wakishinikiza Mwekezaji wa Mgosi kulipwa mshahara na malimbikizo, ikiwa ni wiki moja tu tangu walipositisha mgomo baada ya kuahidiwa kuwa watalipwa Januari 11, 2024...
  7. Ni kwanini kwenye makampuni ama bishara binafsi wanapenda zaidi kuajiri wanawake kuliko vijana wa kiume kazi za ofisini ?

    Waweze kuta hata mtu awe na duka akiweka mtu anataka aweke binti. Huku kwenye makampuni nako ukiachana na kazi za kiume kama IT, kubeba mizigo, uhandisi, uongozi, n.k. unakuta wanawake ndio wamejaa zile kazi zinazosomewa equally na jinsia zot mfano cashier, wahasibu, reception, n.k. Kwanini
  8. Kiongozi anapaswa kuonekana hata ofisini, Siyo Makanisani tu, watu watajua anaenda kuombewa

    Huu ni ujumbe wa wazi ninaoupeleka kwa Dr Mpango , ambaye ni Makamu wa Rais wa Tanzania. Tangu itokee sintofahamu ya kutoonekana kwake, Mh huyu alijitokeza kwa mara ya kwanza Kanisani , jambo lililoshangaza wengi , Sisi wengine tulitarajia labda atokee ofisini kwake au kwenye majukumu mengine...
  9. Cleaner/Mtu wa Usafi Ofisini Anahitajika

    Mdada/Mkaka (Sio Mmama/Mbaba) Anahitajika Kijana ambae ana muonekano wa Kijana atakae weza kufanya kazi ya Usafi na kusafisha Bidhaa zilizopo Ofisini. Majukumu Yake ni Kuhakikisha Sakafu Safi wakati wote,Viti vya wateja,Makabati vinafutwa Vumbi wakati wote. Ki ujumla Usafi Usafi Usafi Kauli...
  10. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa: Makamu wa Rais, Philip Mpango yuko nje kwa majukumu

    Kasim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kuwa Makamu wa Rais Dkt Isdory Mpango ni mzima wa afya na yupo nje ya nchi kimajukumu. Waziri Mkuu amesema kuwa watanzaia waachane na ule mtandao unaosema maneno ya ajabuajabu na wasiwe wasiwasi wowote Kwa kuwa Makamu wa Rais Dk. Mpango ni mzima na...
  11. Waziri Jerry Silaa awataka Watumishi wa Ardhi watoke ofisini waingie mtaani kuhudumia Wananchi

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa amewataka Watumishi wote wa Ardhi nchini kutoka maofisini na kwenda kutoa huduma ya wananchi kwa kuanzisha Kliniko ya Ardhi ambayo itafanua kazi kwa uwazi zaidi. Jerry Slaa ametoa agizo hilo wakati akikabidhi Hati za viwanja katika Mtaa...
  12. Mkuu wa Wilaya awataka Maafisa Ugani na Watendaji wa Vijiji watoke ofisini waende wakatoe elimu ya Kilimo Bora

    Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi amewataka Maafisa Ugani na Maafisa Watendaji wa Vijiji kuhakikisha wanawafikia Wakulima ili kuendelea kutoa elimu ya kilimo bora. Mkuu wa Wilaya hiyo, Onesmo Buswelu ameyasema hayo wakati Kikao cha Maendeleo cha Wilaya kilichohusisha Watumishi wa...
  13. Haya ni Maandamano ya Chumbani na Ofisini au Barabarani?.

    Tunajua Asilimia kubwa ya watanzania bado hawaelewa au kujua kabisa haki yao ya msingi katika taifa ni ipi kupitia katiba. Na hata kama tunajua ila bado haki yetu ya msingi kutoka kwa serikali haina maana sababu serikali hiyo hiyo ndiyo inakupa kibali na hiyo hiyo inakunyima kisa inaogopa popo...
  14. S

    Vipi unapofanya kazi ofisini na mavazi na sura zao na uchangamfu wao hawa wadada.

    Nimeshindwa imebidi niwe nafanya kazi za nje tu ,siwezi siwezi siwezi ,nafukuzwa maana uvumilivu kusema kweli sinao ,wote nawaona warembo. Sijui wenzangu mnawezaje kuwepo maofisini na kufanya kazi kwa ufanisi.
  15. K

    Waziri wa TAMISEMI fumua uongozi wote wa TARURA Mkoa wa Mara

    Wakandarasi karibu wote wa Mkoa wa Mara tumepata mateso makubwa kutokana na vitendo vya rushwa vinavyoendekezwa na Mameneja hawa. Kwanza kupata kazi lazima utoe millioni tano. Bila millioni tano hupati kazi. Pili, kama ukiwa umepata kazi lazima utoe asilimia 10 ya malipo yako kama rushwa...
  16. Kisa cha binti wa field na host supervisor wake

    Moja kati ya mambo yamezungumzwa sana ni pamoja na rushwa ya ngono katika taasisi za elimu - yaani wanafunzi wa taasisi za elimu ya juu kuombwa au kutoa "utamu" kwa wakufunzi ili wapate alama nzuri na kisha wafaulu mitihani yao. Hili limezungumzwa sana na hadi uchunguzi wa kina umefanyika katika...
  17. Rais Biden amehojiwa kuhusiana na faili za siri zilizopatikana nyumbani kwake na ofisini

    Rais Joe Biden kwa muda wa siku mbili zilizopita alishiriki katika mahojiano ya hiari na wakili maalum Robert Hur kama sehemu ya uchunguzi wake wa nyaraka za siri, Ikulu ya White House ilitangaza Jumatatu. "Rais amehojiwa kama sehemu ya uchunguzi unaoongozwa na Wakili Maalum Robert Hur,"...
  18. Tundu Lissu apuuza wito wa DCI Kingai, asema hatoenda ofisini kwake

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amewasili nchini leo Julai 26, 2023 kutoka Ulaya. Akihojiwa juu ya kuitikia wito wa DCI Kingai unaomtaka afike ofisini kwa mahojiano, Lissu ametoa kauli inayoashiria kuwa hatakwenda. “Kwenda (kwa DCI) kufanya nini? Unapoitwa na Polisi mahali popote...
  19. DED na DC wa Wilaya ya Mtwara Waliohamisha Mradi Hawafai Kukaa Ofisini: Rais Dkt. Samia Amechukua Hatua Sahihi kwa muda sahihi

    Nakupongeza sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kufanya uamuzi wa kuwatimua kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya (DED) na Mkuu wa Wilaya (DC) wa Wilaya ya Mtwara, kufuatia maamuzi yao ya kuhamisha mradi kutoka kata moja kwenda kata nyingine kutokana na...
  20. Arusha: Daladala zagoma tena Arusha, leo Agosti 14, 2023

    Kwa mara nyingine tena daladala zote zinazoenda katikati ya jiji. zimegoma kufanya biashara ikiwa ni mgomo wa pili ndani ya kipindi kisichozidi mwezi na nusu. Mussa njuga ambae ni katibu wa daladala amesema mgomo huo hauna kikomo hadi wapate kauli kutoka kwa waziri Mkuu au Makamu wa Rais...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…