Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), lililo chini ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, limetoa wito rasmi kwa wasanii na wadau mashuhuri wa sanaa nchini wakiwemo Nandy, Harmonize, Director Kenny, na Millen Magese.
Wito huo unawataka kufika bila kukosa katika Jengo la Utumishi...
Kwa mfanyakazi anayeshinda ofisini akiwa ameketi kwa saa 8 au zaidi, maumivu ya tumbo mara kwa mara na mabadiliko ya ghafla ya kwenda chooni si tu kwamba yanapunguza ufanisi wa kazi bali yanatengeneza mazingira magumu ya kisaikolojia.
Makala hii imeandaliwa maalum kabisa ili kuelimisha jamii ya...
Alianza kujakama siku mbili hivi na nilianza kumzoea,Jana nilimuwekea vocha,akaingia ofisini akaniomba nimchikue video.Nilimwambia ana mimba maana alikuwa anatematema mate,Leo simuoni najisikia vibaya.
Kwa UZI huu nampinga Sheikh Mkuu kwa kusema at Mh Rais akiwa Eda miezi 4 na siku 10 anaweza kufanya kazi muhimu fulanifulani kinyume na Quran 2:234. We can never dilute the Quran Verses.
Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, kazi na majukumu ya Makamu wa Rais...
Totozi kama hizi kama hauna inch za kutosha , bora uachane nazo ni upotevu wa pesa yako 🤔
Hizi ishia kuzilia nyero kwenye chudai tu , okoa kibunda chako kwa wivu mkubwa sana👇
Utekelezaji wa kampeni hii, kwa sisi hapa Tanzania, tumeamua tuje na kaulimbiu inayosema "Kipo, Kichukue, Kamilisha Safari Yako."
Lengo letu kubwa ni kuwakumbusha wananchi wote waliosajiliwa kwenda kuchukua vitambulisho vyao.
Tunayo changamoto, kama nilivyosema kwenye takwimu, tumesajili...
Ukiona umeajili mfanyakazi anaamka saa kumi na mbili anaoga maji baridi , linanyoosha nguo, linabrashi viatu, anapiga mswaki, lakini anasaau kujisaidia haja kubwa anakuja kujisaidia ofisini jua ilo litumishi akili halina fukuzia mbali.
Yaani ulilipe mshahara, saa nyingine ulipe ofa ya chakula...
Wanasiasa wa Tanzania (hawa wa upinzani) wameshajijengea dhana ya kuwa watakula ofsini kwahyo hawana mubadala wa kupata Hela nje ya Siasa ndo maana ni vigumu sana kuachia madaraka licha ya kuwa wanakashifa za kula Hela za chama.
Heche hakutakiwa kuendelea kuwepo ofsn mpaka muda huu nadhani ni...
Hii mentality ya kuishi kupitia siasa kula kupitia mikutano ya Hadhara ifikie mahali iondolewe hasa kwa hawa wanasiasa wanaotegemea wale kupitia kapu la donation. Wewe mwanaume unaishije kwa kutembeza kikapu? Ipo siku utajiuza kwa mabeberu ila mostly mmeshajiuza
Mfano wewe kama mwenyekiti wa...
Habari Boss?
Umekuwa ukiangaikia Printing?
Basi sasa naweza kukuletea Kazi mpaka Ofisin kwako baada ya Kukudizainia nitakwenda kukuprintia na kukuletea.
HUDUMA UTAKAZOZIPATA
1: Business Cards 100Pcs 25,000/= (Design,print & Delivery)
2: Flyers (Vipeperushi A5) 100Pcs.. 50,000/= (Design...
Yani mtu anaamini ukifanya kazi za ofisini ndio utakuwa una pesa na maisha mazuri, mfano wa kazi hizo iwe profesional; udaktari, ualimu, afisa sijui nini na nini nk, au ofisi za kibiashara iwe duka, cash points nk
Katika mihangaiko yangu kuna deals nafanya tofauti na kaduka kangu ka kuuza...
Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga Wananchi na Watumishi tunapata changamoto sana hasa tunapohitaji huduma ya Mkurugenzi (DED), zinaweza pita siku 5 hupati huduma unaambiwa hayupo na hajakaimisha mtu.
Kinachokera zaidi ni kuwa Halmashauri ni mbali kiasi kwamba hizo siku zote unaweza tumia zaidi...
Anonymous
Thread
ded
halmashauri
huduma
kupata
majukumu
ofisini
shinyanga
wilaya
Na Waandishi WETU
SIKU saba zinaisha leo tangu kuwasilishwa kwa ripoti ya kuchunguza matukio mabaya yaliyoharibu taswira ya Tanzania yaliyosababisha watu zaidi ya 500 kuuawa, lakini hakuna aliyewajibika.
"Katika dunia ya kuthamini utu, kujali maslahi ya taifa na utulivu wa nchi, kunapotokea...
Tukubali "ghasia" zilipangwa, kuratibiwa, kufadhiliwa na kutekelezwa.
Tukubali watu 518 tu ndio waliouwawa, 758 wamepotea na 448 hawajulikani walipo ( 518+758+448=1,724! Namba 8 imependwa sana na Tume).
Jumla watu 1,724 HAWAPO kama matokeo ya hicho kilichopngwa, kuratibiwa, kufadhiliwa na...
kabwe
mkuu usalama wa taifa
mkuu wa jeshi la polisi
ofisini
oktoba
oktoba 2025
serikali
usalama
viongozi
viongozi wa serikali
vurugu
vyombo
vyombo vya usalama
wapo
wote
zitto
zitto kabwe
Watu wengi wanakimbilia kununua router za Airtel, Vodacom, Tigo au Ttcl kwa Matumizi mbalimbali bila kujua utofauti wao uliopo kuhusu hizo router.
Sasa Leo nakupa maujanja kutokana na ripoti mbalimbali za mitandaoni nakuambia router gani nzuri kwa Matumizi ya Ofisini na Nyumbani ili kuwa salama...
Habari Tanzania !..
Naomba wananchi tuamue na tuanzishe utamaduni maalumu; kwa kila kiongozi wa Taifa wawe wanatembea kwa miguu kutoka mahali wanakoishi kwenda Ofisini na kurudi nyumbani kila wiki ya mwisho wa mwezi. Yaani Jumatatu mpaka Jumapili.
Faida
1. Hii itawawezesha kupata uzoefu wa...
Wakuu, husika na mada tajwa hapo juu, naomba mnisikilize kidogo.
Nimehitimu masomo yangu mwaka 2024 katika fani ya IT in Business. Baada ya hapo nilipata nafasi ya kufanya kazi katika kampuni moja iliyopo Posta, ambapo nafanya kazi kama Consultant pamoja na Data Analyst. Pia ninashiriki...