HABARI JAMII FORUM.
POLENI NA MAJUKUMU NAOMBA UTUPAZIE SAUTI SISI WATUMISHI WA NZEGA DC TUMEAJIRIWA TANGU MWAKA 2024 ILA MPAKA LEO TUNAZUNGUSHWA KUPEWA BARUA ZETU ZA UTHIBITISHO TUMEMUULIZA MPAKA MKURUGENZI HATUPI MAJIBU YA KUELEWEKA WALISEMA MPAKA BARAZA LA MADIWANI LIKAE NDIO WATUTHIBITISHE...
Mkurugenzi wa Nzega Mji aangaliwe, maana ananyanyasa watumishi na anatumia Madaraka yake vibaya dhidi ya watu wake wa chini.
Kuna watumishi kadhaa ambao uwezo wao ni mkubwa wamelazimika kuondoka kwa kuomba uhamisho wakikwepa mazingira ambayo siyo rafiki.
Nilikuwa Mtumishi wa CBWSO Kata NKOME kwa sasa inaitwa BUGANDO, Wilaya ya Geita Mkoa wa Geita, niliondolewa kwa shinikizo la Meneja wa RUWASA (W) 28.08.2025.
Licha ya changamoto zilizokuwepo ambazo nazo pia chanzo ni huyo kiongozi wangu, stahiki zangu kakwamisha hata baada ya Bodi kuridhia...
Anonymous (3d7d)
Thread
ded
geita
hawataki
kazi
kazini
mamlaka
mjini
nzega
stahiki
Katika hali isiyo ya kawaida, sintofahamu iliibuka Septemba 10, 2025 wakati wa siku ya kwanza ya kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan mkoani Tabora zilizofanyika Wilayani Nzega, baada ya mabango yaliyokuwa yakimnadi mgombea huyo kuondolewa...
Mbunge wa Nzega Mjini ambaye pia ni Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amemuomba Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan akifanikiwa kushinda na kuwa Rais wa Tanzania kwa awamu nyingine aidhinishe kugawanywa kwa Mkoa wa Tabora ili upatikane Mkoa mwingine wa Nzega kutokana na...
Video hii ya Mbunge wa Nzega Vijijini Dkt Hamisi Andrea Kigwangalla akichangia Bungeni Juni 18, 2025 aliweka wazi kwa yeyote ambaye atakuwa tayari kushindana nae kwenye Jimbo la Nzega vijijini basi akachukue fomu yeye yuko tayari.
Kupitia ukurasa wa akaunti yake ya Instagram mtia nia wa jimbo la Nzega vijijini ameandika haya "Kupitia Kazi Inayoongea! “kuna watu mtakuja mtasema maneno mengi sana Kwa sababu zenu mbali mbali; lakini muwe na uhakika pia kujua na kusema kuwa si rahisi kufikia hapa, I put in the work in this...
Moja kwa moja kwenye mada.
Zilipotoka ajira za walimu wapya, tayari serikali ilishapiga hesabu na kutoa fungu ambalo lilipelekwa moja kwa moja eneo husika wilaya au mkoa.
Baadaye vijana wetu wameitwa kwenye mkoa husika ili wapeleke makaratasi yenye taarifa zao kwa ajili ya uhakiki.
Makosa au...
📍NIRC:Nzega, Tabora.
Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) imekabidhi awamu ya tatu ya utekelezaji wa Mradi wa Umwagiliaji wa Skimu ya Idudumo, wenye thamani ya zaidi ya Sh. bilioni 36, kwa Mkandarasi Kampuni ya Mkwawa Logistics and Construction Limited.
Mradi wa Idudumo unalenga kuongeza eneo...
Ndugu zangu, huu mjadala ulikuwa chinichini ila sasa naona kumbe hata huko X watu wanajadili kama vile mimi na wanangu tulivyokuwa tukijadili, kwahiyo ndio ukweli kwamba Shilingi Bilioni 4.327 zimemwaga kwa miundombinu hii?
Pia soma ~ Waziri Mkuu Majaliwa azindua Stendi ya Sh Bilioni 4.3...
Vyombo vya dola wilaya ya Nzega mkoa wa Tabora vinawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kuiba miundombinu ya mradi wa maji ikiwemo mabomba ya maji, katika mradi wa maji unaotekelezwa Kata ya Sigili wilaya ya Nzega, mkoani Tabora hali inayosababisha kusuasua kwa mradi huo.
Taarifa ya wizi wa...
MBUNGE wa Nzega Mjini na Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ni mgonjwa sana na ameshindwa kuhudhuria ziara ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliyoifanya jana Jimbo la Nzega Mjini.
Kwa mujibu wa Majaliwa amewaeleza wananchi hao kuwa Mbunge wao ni mgonjwa na ameshindwa kuhudhuria ziara hiyo ya Waziri...
Mbunge wa Jimbo la Manonga Seif Khamis Gulamali Amuomba Waziri Mkuu Shule moja jimbo la Nzega Vijijini ipewe jina la Mbunge wao Dkt. Khamis Kigwangala.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote...
Leo kituo kipya cha mabasi Nzega Mjini mkoani Tabora kimezinduliwa rasmi na Mh Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.
Ujenzi wa kituo hiki cha mabasi umegharimu shiling Bilion 4.327.
Tabora wamepata stend ya kisasa waitunze sasa
Pia soma Pre GE2025 Miradi kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mhandisi Kundo akagua...
Nchi hii inashindwa kufika mahali ilipotakiwa kufika kwa sababu ya kuongozwa na watu wasiojitambua, wasiojua wajibu wao wala mipaka ya mamlaka yao.
Kuna habari zinazunguka mitandaoni kuwa eti DC wa Nzega ameamuru mkuu wa Chuo Cha Madini Nzega awekwe ndani kwa sababu alishindwa kumjibu mkuu wa...
Mkuu wa Wilaya ya Nzega Naitwapwaki Tukai ameliagiza Jeshi la polisi kumkamata na kumuweka ndani Abraham Lwakajunguti ambaye ni mkuu wa chuo cha mmDadini Lusu kilichopo wilayani Nzega kwa madai ya utovu wa nidhamu akishindwa kutoa majibu mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora wakati walipokua kwenye...
Ukitoka mizani ya Tinde kabla ya kufika Nzega hapo katikati kuna kipande kikubwa cha barabara kimeharibika na kutengeneza mashimo makubwa sana kwenye lami.
Hii ni hatari kwa watumiaji wa barabara hii na hasa kwa madereva ambao hawaijui njia hii wanaweza kupata ajali.
Nimepita usiku huu...
Nilikuwa nasafiri hivi karibuni nikitoka Shinyanga kwenda Igunga, nikiwa kwenye gari sikuamini macho yangu, kama kilometa mbili kabla ya kufika Stendi kuu ya mabasi Nzega, barabara imeliwa na vile mvua zinanyesha kila wakati kila dereva anapita anakojua.
Kama Barabara itaendelea kuwa vile kuna...
Habari wana JF.
Leo napenda kuzungumzia kero ya huduma za Afya katika zahanati nyingi za mkoa wa Tabora.
Kwa kipindi cha miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la ufunguzi wa zahanati mpya katika maeneo mbalimbali ya mkoa wa Tabora na maalum niizungumzie Halmashauri ya Nzega...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.