nyumba

  1. JamiiForums Tanzania Je unaweza kupaka rangi nyumba bila kuweka wall putty?

    Wakuu kama lipu imeshafanyika je unaweza kupaka rangi nyumba bila kuweka wall putty? Hii putty ina ulazima gani wakuu?
  2. JamiiForums Tanzania Zalisha faida kwa uwekezaji mdogo katika UTT na Hati fungani

    Nipo zangu katika Site ya ujenzi ,Kuna wazo la Uwekezaji mdogo limenijia. Kwa wale wanaopokea mshahara wa kuanzia 250,000 hadi 450,000 Ambao hawapati nafasi ya kufanya biashara nje ya kazi yao. Wasio na Pensheni. Uwezo wa kuiweka hela na kuisahau. Fedha yenye maremgo ya miaka miaka mitano...
  3. JamiiForums Tanzania PDPC: Ukifika nyumba ya Kulala Wageni, marufuku kuandika unapotoka na unapokwenda

    TUME ya Ulinzi wa Taarifa (PDPC), imesema kuwa unapokwenda nyumba ya kulala wageni hairuhusiwi kuandika ulikotoka na unakokwenda kwa kuwa kufanya hivyo ni kukiuka sheria ya taarifa binafsi. Akiwasilisha mada ya zana ya taarifa binafsi, Mkurugenzi wa usajili na Uzingatiaji wa PDPC, Stephen...
  4. JamiiForums Tanzania House4Sale INAUZWA NYUMBA INAUZWA TANGA

    Nyumba ipo Pongwe Tanga * Rooms 3 kimoja master *Sebule *Dinning *Open Kitchen *Public Toilet
  5. JamiiForums Tanzania Je, Wajua Japo Baba ni Kichwa cha Nyumba, Mama Anaweza Kugeuka Kichwa Akawa Baba? Wajua Rais Samia ni Kichwa kama Baba?

    Wanabodi, Nawasalimu kwa jina la JF. Angalizo la uchangiaji, hili ni moja ya mabandiko yangu ya kuwaanda Watanzani kisaikolojia kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu, nakushauri, ukiusoma uzi huu, ukijiona kama huuelewi elewi, jipitie zako tuu kwa amani, usiparamie kuchangia vitu usivyo elewa...
  6. JamiiForums Tanzania Nyumba nzuri ya kisasa inauzwa Madale Flamingo

    Modern house for sale Madale flamingo 3 bedrooms house Area sqm. 600 Price 170 millions tsh Tittle deed availble 0742 892 195
  7. JamiiForums Tanzania Katika harakati za kujenga nyumba ulikutana na changamoto gani!?

    Ukiachilia uwepo wa Mafundi, na matilio kama mchanga, kokoto, sumeti na uwepo wa fedha!?
  8. JamiiForums Tanzania Hakikisha mshahara wako wa mwezi mmoja unatosha kulipa kodi ya miezi sita , kama hautoshi tambua umepanga nyumba sio size yako. madeni hayatakuisha

    habari wadau. Nimegundua watu wengi wanapanga nyumba zenye kodi kubwa kulipo uwezo wao. wanateseka sana na mikopo hasa muda wa kodi unapofika. wakifata hii sheria ya asili ya maswala ya kodi za nyumba, wataishi kwa amani sana
  9. JamiiForums Tanzania Kabla Simba hajapigwa Zile 5 Kulikua na Trend ya Yanga Kufunga goli 5 kwenye Michezo ya Nyuma yake Msimu huo ni kama Msimu huu tu.

    Mashabiki wa Simba Mashabiki Simba nawaita Tena Simba jiandaen kalieni kusema Yanga ananunua match ila mnajisahau kwenye hili. Muulizeni Mganga wenu hili kama analifanyia kazi? Nenden mkajikumbushe games 5 za nyuma za Yanga kabla hajaja kuwapiga Zile 5 alikua anashinda Kwa goli ngapi ngapi...
  10. JamiiForums Tanzania Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe hapa kwa Kumjengea Nyumba Mama yako ili aishi na siyo Waishi sote na Baba yako umechemka vibaya mno

    Kuna Kasisi Mmoja nilimsikia (pamoja na Sheikh fulani) wakisema kuwa Watoto wengi tunapoteza Baraka zetu kwa Kukosana na Baba zetu kwa Kuwadharau na Kutowajali tukidhani (kwa Kudanganywa) kuwa Mama zetu ndiyo hasa wenye Baraka nasi kwakuwa tu wametubeba Matumboni mwao kwa Miezi Kenda (Tisa) na...
  11. JamiiForums Tanzania Uandaaji wa Ramani za Nyumba bado umekua ni shida kwa baadhi ya wataalamu wetu

    Nimekua nikiangalia ramani nyingi sana za nyumba zinazoandaliwa na professionals wetu wengi kwa industry lakini bado nagundua kuna shida,, 1. Ramani zinaandaliwa pasipo kuzingatia proper coordination of Rooms. Mfano: Kuna ramani nmekutana nayo,,Public toilet iko katikati ya Kitchen na Dining🤣🚮...
  12. JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba inapangishwa Dar es Salaam

    INAPANGISHWA NYUMBA VYUMBA 2 SEBULE JIKO NA CHOO NDANI. MAHALI kawe KODI TSHS 200,000 CALL - 0716442950
  13. JamiiForums Tanzania Anataka kuwahamishia watoto wake olympio. Walikua shule ya private. Anauliza apange nyumba sehemu gani ili iwe rahisi kwa watoto wake kwenda shule

    Anataka kuwahamishia watoto wake olympio. Walikua shule ya private. Anauliza apange nyumba sehemu gani ili iwe rahisi kwa watoto wake kwenda shule Maoni na ushauri wako please
  14. JamiiForums Tanzania Nyumba ya kisasa vyumba bitatu inauzwa madale flamingo

    Modern house for sale Madale flamingo 3bedrooms house Area sqm. 600 Price 170 millions tsh Tittle deed availble 0742 892 195
  15. JamiiForums Tanzania House4Sale Nauza nyumba Mbagala Kibulugwa

    Habari maboss wangu. Ni Mimi Kwa mara nyingine tena nakuletea nyumba hii ipo Mbagala kibulugwa. Kiwanja hiki kina nyumba mbili ndani ya fensi. Hapa unaweza kufanya uwekezaji wa Lodge Kali sana mana nyumba ipo katika ya mtaa na magari yanapita hapa boss. Lakini ukiamua wewe mwenyewe...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu ujenzi wa nyumba ya ghorofa kumi kwenye eneo la sqm 500 hapa temeke

    Ni kiasi gani niwe nacho kuweza kujenga ghorofa kumi structure tu bila finishing? Kwa wataalamu natanguliza shukran nyingi sana Eneo temeke wailes Ukubwa 500 sqm Tambarare
  17. JamiiForums Tanzania House4Rent Dalali wa nyumba, vyumba na viwanja Bagamoyo road

    4RENT - CHUMBA SEBULE CHOO NA JIKO LOCATION: GOBA SENTA BEI: TSHS 300000 CALL - 0716442950
  18. J

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa kimara matosa

    Nyumba yenye ukubwa wa almost sqm 300 inauzwa Kimara Matosa: LOCATION: KIMARA KWA KOMBA KAMA UNAENDA MATOSA 4 BEDROOMS HOUSE 3 BATHROOMS 1 SITTING ROOM 1 DINNING AREA KITCHEN STORE PARKING NB:barabara ta gari ipo mpaka eneo husika,ukubwa wa eneo ni square meter 400 BEI NI 80M Umiliki ni karatasi...
  19. JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Tabata Liwiti

    Nyumba Inauzwa Tabata. Mahali: Misewe B, Liwiti. Sifa za nyumba: • Ina vyumba vya kulala 3 na master 1. • Ina sehemu ya chakula(dining), sebule, Jiko na stoo. • Ina korido kubwa ya ndani na baraza ya nje kubwa. • Ina umeme, maji pamoja na simtank ya 2000ltr. • Ina sehemu ndogo ya nje ndani ya...
  20. JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua gharama ya kujenga msingi wa nyumba hiyo

    Habari zenu ninahitaji kufahamu gharama za kumaliza msingi wa nyumba hiyo.Ninapendelea na upande wa jiko huko kuwe na kibaraza kama cha mbele Kiwanja tayari kipo,nataka nifahamu gharama za msingi ili nianze hatua ya kwanza hiyo Maeneo hayo msingi lazima uwe na lenter na nguzo za pembeni muhimu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…