nyumba

  1. JamiiForums Tanzania Nyumba ya makazi na frame design

    TUNAFANYA DESIGN + UJENZI CALL US +255624004650 TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM
  2. JamiiForums Tanzania Nyumba 3 kwa pamoja Zinauzwa

    Eneo lenye Nyumba 3 linauzwa. Mahali: Tegeta Namanga, Mtaa wa Kibera. Eneo liko mita chache kutoka barabara ya Old Bagamoyo. Ukubwa wa Eneo: SQM 1204. Bei: Tzs Milioni 300. Mazungumzo yanaruhusiwa. Nyaraka: Hatimiliki. Gharama ya kwenda kuona Eneo itahusika. Mawasiliano: 0784 829565 au 0767...
  3. JamiiForums Tanzania Mimi fundi wa Kupaua, nyumba ya vyumba 3 napaua kwa TSh. Laki 8 bei ya ufundi

    Habari naombeni kazi mabosi zangu Nyumba ya vyumba ya vyumba 3 vya kulala napaua kwa lak 8 tu Namba zangu hizi 0743 257 669 Nipo banana ukonga
  4. JamiiForums Tanzania Nauza raman ya nyumba hii ya vyumba 3 vya kulala 0743 257 669

  5. JamiiForums Tanzania NYUMBA YA VYUMBA 4 KALI KUWAHI TOKEA CHECK IT

    4BEDROOMS PROPOSAL DESIGN FOR OUR CLIENT (1200SQM PLOT) WE DO BUILDING DESIGN CALL US TO GET YOURS +255624004650
  6. JamiiForums Tanzania Kwa Skimming bora ya Nyumba yako usisite kututafuta..

    Natumai Mu wazima wa afya.. Tunafanya Skimming bora na ya viwango vya juu kwa gharama nafuu.. Kazi ya Rangi ni kupendezesha, sasa unapokosea Skimming Jengo haliwezi kupendeza kamwe hata urudie Rangi Mara5.. Skimming haitakiwi kubaki na dosari ya Aina yetote.. (Achana na Skimming unamuuliza...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Sura ya Michael Jackson mwili Nyumba

    Hii ni moja ya picha (MJ look-alike) inayo trend sana hivi sasa mitandaon, inasemekana jamaa ni mtu kutokea Mexico, amefanana kinoma noma na The late Michael Jackson. Watu wanadai hakuna video Clip yoyote kuhusiana na huyu jamaa na kwa umri wake na ukubwa wa teknolojia, basi tungefahamu muda...
  8. JamiiForums Tanzania Nahitaji kueezeka nyumba ni ushauri gani utanifaa

    Jamani mnipe highlights hasa kuhusu selection ya bati,maana bajeti yangu sio kubwa sana
  9. JamiiForums Tanzania Ligi za ujenzi mtaani jirani yangu amebomoa nyumba anajenga ghorofa

    Wakuu sisi wakazi wa goba kuna ligi ya nani ana nyumba kali huku vijana ni kupambana nani awe juu sasa kuna dada amejenga ghorofa wanaita losheni sasa akalewa akatamba kuwa wanaume mtaa zima hakuna wa kumuweza hakuna wanaume wote hawana nyumba sasa mtaa umechangamka kil mtu anajipanga ajenge ka...
  10. JamiiForums Tanzania Wamiliki wa Frem za Biashara

    Sisi ambao Tunatafuta Ridhiki kupitia Biashara, Vidogo Vidogo. Mara Nyingi kupandishiwa Kodi mara kwa Mara, Ukilipia Kodi ya mwaka, au miezi 6 Tegemea mda wowote kukutana Bonge la waraka wa kupandishiwa Kodi. Wengine wanakupandishia Kodi Ili ushindwe uhame akiona unakomaa zaidi anazidi...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kabla hatujaanza kutumia smartphone ndani ya mablanketi, Miaka ya 90s na 2000s nyumba zilikuwa na chumba special kwajili ya computer (computer room)

    Ramani za nyumba zilikuwa na chumba maalum cha computer Chumba cha computer kilikuwa na meza kubwa, screen yenye chogo, speaker mbili, mouse yenye mpira ndani, cpu yenye kitufe kikubwa cha kuwashia unachoweza tumia dole gumba la mguu.
  12. JamiiForums Tanzania Alejandro Garnacho aiweka nyumba yake ya Manchester sokoni kwa siri

    Winga wa Manchester United, Alejandro Garnacho yupo kwenye mpango wa kuiuza nyumba yake iliyopo Jijini Manchester uamuzi ambao umeanza kutafsiriwa na mashabiki wa timu yake kuwa inawezekana ni sehemu ya mpango wa kujiandaa kuondoka. Raia huyo wa Argentina aliinunua nyumba hiyo kwa Pauni Milioni...
  13. JamiiForums Tanzania Nyumba Inauzwa Goba Dar es Salaam

    Nyumba inauzwa Goba, Dar es Salaam. Mahali: Lilian Kibo kwa Mwakifulefule. Sifa za Nyumba: *Nyumba haijakamilika, imefikia kwenye hatua ya finishing. *Iko mita chache kutoka barabara ya Goba. *Iko upande wa kushoto ukitokea mbezi beach, na upande wa kulia ukitokea mbezi stendi ya Magufuli. *Ina...
  14. JamiiForums Tanzania Aliyedai kuwa ametumwa na Mungu amuombe Nabii Laki Sita, sasa anadai Mungu kamuonesha ndotoni gari mpya na Nyumba

    Wakuu Naona Kondoo anatikisa mfumo Soma: Mpaka Mchungaji kashtuka! Mama amwambia Mchungaji Mungu alimwambia ampe Laki 6
  15. JamiiForums Tanzania Nyumba za kupaa Japan

    Nchi ya Japan imepiga hatua za juu zaidi za kiusalama wa tetemeko la Ardhi kwa kutumia Nyumba za levitating zilizotengenezwa na Kampuni ya Kijapani ya Air Danshin Systems Inc. wakati wa hali ya kawaida, Nyumba zitatumia airbag deflated. Lakini wakati wa Tetemeko wameandaa mfumo wa kupanda juu...
  16. JamiiForums Tanzania CCM iache kutumia siasa kwenye nyumba za ibada

    Tumeshuhudia Abduli akiahidi kitita cha mchango wake kukarabati kanisa! Abduli mwanasiasa wa chini ya zulia amejijengea umaarufu wa kugawa vitita vya fedha hadharani huku wengi wetu hatujui biashara znayofanya zaidi ya kujua mtoto wa mama. Viongozi wa CCM ndio huajialika harakaharaka kwenye...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Kesho Tar 1 Baba Mwenye Nyumba nimpe Hadithi Gani? mbele ya Kodi yake!?

    Nipo Nawaza na kutafakari kila siku namkimbia na kuponyoka na story kibao, Leo naskia wapangaji wanaongea kwamba kaja ameshararuka na kuwa mkali na kesho hataki kuskia story za abunuasi kwa mpangaji mwenye deni!? Hapa napiga nimfate Nyumbani kwake nikalia maana yupo yeye na mke wake tu...
  18. JamiiForums Tanzania Unaeneo dogo ? Na unahitaji nyumba kali

    4BEDROOMS PLOT SIZE 15X20M CALL US TO GET YOUR DESIGN +255624004650
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Pauline Gekul aifariji familia ya mwananchi aliyechomwa moto nyumba

    Baada ya kusambaa kwa taarifa ya kuchomwa moto nyumba ya mwananchi wa Mtaa wa Maisaka kati Mbunge wa jimbo la Babati Mjini Mhe Pauline Gekul amejitokeza kuifariji familia ya mwananchi huyo, na kuwasihi wadau wenye mapenzi mema kuendelea kumsaidia muhanga wa tukio hilo. Akizungumza na mwananchi...
  20. JamiiForums Tanzania Pwani: Watu wasiojulikana wakidaiwa kuwa ni polisi wabomoa nyumba na kuchoma moto mali za wananchi wakidai kutumwa na mmiliki wa eneo hilo

    Watu 'wasiojulikana' wamefika katika Kitongoji cha Mchango wa Hela, Pwani, na kubomoa nyumba kadhaa huku wakichoma moto baadhi ya vitu, wakidai kutumwa na mmiliki wa eneo hilo. Tukio hili limezua taharuki kubwa kwa wakazi wa eneo hilo ambao wamemlilia Rais Samia Suluhu Hassan awasaidie...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…