nyumba

  1. Nyumba mpya ya kisasa, vyumba vitatu (3) inauzwaTshs.330 milioni, Madale

    ....
  2. HABARI MABOSS ZANGU : JE! UNAHITAJI RAMANI YA NYUMBA AU CHOCHOTE KATIKA UJENZI? BONYEZA 👇👇👇

    Habari! Nawakaribisha sana kwa yeyote mwenye kuhitaji ramani ya jengo aina yoyote ikiambatana na 1. JENGO LOLOTE (RESIDENCIAL AND COMERCIAL BUILDING) 2. Makadirio ya UJENZI (BOQ) 3. KUJENGEWA NYUMBA UKINUNUA MATERIALS AU KUTUKABIDHI PESA 4. USIMAMIZI WA JENGO LAKO BEI ZETU NI NAFUU SANA...
  3. Hivi inakuaje baba kijana wa miaka 28 anaishi Kwa wazazi wake nyumba moja

    Wakuu Leo nataka tu tuongee vitu serious Kuna jamaa kaja analalamika wazazi wake wanamuendesha Kwa kumkalipia na anasema baba yake anamtangaza mtaani kwamba anamtafutia kazi ila yeye hataki jambo ambalo huyu jamaa anasema ni uongo na sio kwamba yeye anapenda kuishi kwao ni kwamba anajitafuta...
  4. Wakuu naombeni mnipigie hesabu ya hii nyumba Mimi mgeni kwenye ujenzi

    Sebule 5m+5m Chumba 5m+5m Jiko 2m+2m Choo 2m+2m na kibaraza Cha 2m 2m hapa naomba kujua zinaingia bati ngapi Kwa upauaji wa paa nne na tiles ngapi wakuu Mimi ni mgeni kwenye ujenzi
  5. Nyumba ya vyumba 8 inauzwa mil 29 chanika

    Nyumba inauzwa chanika mwisho kwa milion 29 tu ipo mbele ya barabara ya mtaa na mita 300 toka lami, Nyumba ina viumba 8, vyote vina wapangaji matundu ya choo yapo ma 4. 0743257669 Hati ni ya mauziano ya serikali za mtaa
  6. Nyumba inauzwa kitunda kwa mpemba

    Nyumba inauzwa kitunda kwa mpemba dsm nyumba ina vyumba 3 chumba kimoja masta sebule jiko sehem ya kulia chakula choo public inauzwa ml 67 nicheki whatsap 0743 257 669
  7. M

    Nyumba ndiyo baraka ya kwanza kwa mwanadamu

    Duniani kote nyumba ni namba moja kwa mwanadamu, matajiri wote unaowajua duniani kila kukicha wanajenga na kununua nyumba. Hutakaa ujue nguvu ya nyumba mpaka siku utakapokosa pa kulaza familia yako au pale utakapotembelea mitaa ya kariakoo usiku uone watu wanavyolala kwenye mabox na kwenye mitaro.
  8. Nyumba mpya inauzwa, bahari beach Dar es salaam

    Gorofa la kumalizia linauzwa ni nzur sana”” Lina vyumba vitano master Ukumbwa wa kiwanja ni square mitter 1200” Price million 500” maongez yapooo Kuna hat miliki Locationbahar beach 🇹🇿call/whatsapp +255758844717
  9. Nyumba inauzwa,bahari beach Dar es Salaam

    Prime Property for sale at Haile Selassie, Masaki -There is a house inside the plot The plot is suitable for Apartment, Residential or office block ect -Plot size Sqm 4,000+ -Document; Title Deed (Ownership) Price $ 3.7 million negotiable
  10. NYUMBA YA VYUMBA VINNE (4) TSHS.70 MILIONI, KWA-MSUGULI, MBEZI/KIMARA.

    ...
  11. Nyumba ya makazi na frame design

    TUNAFANYA DESIGN + UJENZI CALL US +255624004650 TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM
  12. Nyumba 3 kwa pamoja Zinauzwa

    Eneo lenye Nyumba 3 linauzwa. Mahali: Tegeta Namanga, Mtaa wa Kibera. Eneo liko mita chache kutoka barabara ya Old Bagamoyo. Ukubwa wa Eneo: SQM 1204. Bei: Tzs Milioni 300. Mazungumzo yanaruhusiwa. Nyaraka: Hatimiliki. Gharama ya kwenda kuona Eneo itahusika. Mawasiliano: 0784 829565 au 0767...
  13. Mimi fundi wa Kupaua, nyumba ya vyumba 3 napaua kwa TSh. Laki 8 bei ya ufundi

    Habari naombeni kazi mabosi zangu Nyumba ya vyumba ya vyumba 3 vya kulala napaua kwa lak 8 tu Namba zangu hizi 0743 257 669 Nipo banana ukonga
  14. NYUMBA YA VYUMBA 4 KALI KUWAHI TOKEA CHECK IT

    4BEDROOMS PROPOSAL DESIGN FOR OUR CLIENT (1200SQM PLOT) WE DO BUILDING DESIGN CALL US TO GET YOURS +255624004650
  15. Kwa Skimming bora ya Nyumba yako usisite kututafuta..

    Natumai Mu wazima wa afya.. Tunafanya Skimming bora na ya viwango vya juu kwa gharama nafuu.. Kazi ya Rangi ni kupendezesha, sasa unapokosea Skimming Jengo haliwezi kupendeza kamwe hata urudie Rangi Mara5.. Skimming haitakiwi kubaki na dosari ya Aina yetote.. (Achana na Skimming unamuuliza...
  16. K

    Sura ya Michael Jackson mwili Nyumba

    Hii ni moja ya picha (MJ look-alike) inayo trend sana hivi sasa mitandaon, inasemekana jamaa ni mtu kutokea Mexico, amefanana kinoma noma na The late Michael Jackson. Watu wanadai hakuna video Clip yoyote kuhusiana na huyu jamaa na kwa umri wake na ukubwa wa teknolojia, basi tungefahamu muda...
  17. Nahitaji kueezeka nyumba ni ushauri gani utanifaa

    Jamani mnipe highlights hasa kuhusu selection ya bati,maana bajeti yangu sio kubwa sana
  18. Ligi za ujenzi mtaani jirani yangu amebomoa nyumba anajenga ghorofa

    Wakuu sisi wakazi wa goba kuna ligi ya nani ana nyumba kali huku vijana ni kupambana nani awe juu sasa kuna dada amejenga ghorofa wanaita losheni sasa akalewa akatamba kuwa wanaume mtaa zima hakuna wa kumuweza hakuna wanaume wote hawana nyumba sasa mtaa umechangamka kil mtu anajipanga ajenge ka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…