nyumba

  1. JamiiForums Tanzania Nyumba nzuri sana inauzwa, ipo Dar es Salaam, Goba - Bei ni million 550

    Ghorofa inauzwa Iko Goba lastanza Umbali mita 300 toka lami Inavyumba Vinne (4) vyote master ,sebule 2 juu na chini,jiko kubwa dining, stoo na Choo cha public ENEO Lina sqm 900 Hati ipo Bei mil 550 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
  2. E

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa ramani ya nyumba, au mchoraji anakaribishwa

    Ukubwa wa viwanja Kiwanja cha kwanza 20*23- vyumba vya kupangisha, mchanganyiko, single na chumba na sebule Kiwanja cha pili Urefu 31m Upana 17.5m Nyumba moja ya kuishi yenye ghorofa moja Naomba kuwasilisha
  3. M

    JamiiForums Tanzania MIKOPO MAALUM KWA AJILI YA UNUNUZI WA VIWANJA AU NYUMBA (REAL ESTATE LOANS)

    Habar Pasipo kupoteza muda naomba niende kwenye mada na niwaletee ufafanuzi mzuri kuhusiana na mada niliyoweka hapo juu. Baada ya kuona uhitaji mkubwa na muhimu wa watu kutaka kuwa na makazi Yao ya kudumu na kuwa na changamoto ya upungufu wa fedha hususani katika kununua viwanja na nyumba...
  4. JamiiForums Tanzania Jaribu ubunifu wa aina hii katika ujenzi wako wa nyumba. Simple, Unique and Healing

    Macho ya mtanzania hayawezi kuona vitu in details, ndio maana atahukumu mara moja kitu atakachokiona in terms of mazoea yake au kiasi cha tabu yake. Tofauti na kuchambua matako makubwa kwa ubunifu wa hali ya juu, mbongo hawezi kuona simplicity na uniqueness ya hii nyumba basi atakuja na...
  5. JamiiForums Tanzania Mama ana changamoto ya kiafya, anahitaji mkopo wa fedha kwa dhamana ya nyumba

    Habari wanajamii Forum Natumain muhali njema na majukumu ya kila siku. Nia na madhumuni ya uzi huu ni kuwa kama mwanajamii mwenzenu nimekuja kuomba msaada wa mawazo na majibu juu ya hili. Mzazi wangu anachangmoto ya kiafya inayohitaji fedha nyingi tuu kwajili ya matibabu, kwa bahati mbaya Hana...
  6. JamiiForums Tanzania Wenye nyumba mtuhurumie aisee

    Aisee kuna appartment hapa ziko 6 kwenye compaund, Kuna nyumba ya faza house pia. Alijenga hizi apaartment akiwa kashajenga nyumba yake tayari. Issue inakuja hizi appartment zina tank za maji na zote zinashea mita moja na mwenye nyumba(maajabu), Ana watoto 7 na watoto 5 wana familia zao maeneo...
  7. JamiiForums Tanzania Nyumba Inauzwa Bahari Beach Mugeta Street

    Nyumba Inauzwa Bahari beach, Dar es Salaam. Mahali: Mtaa wa Simba/Mugeta. Sifa za Nyumba: *Iko Mita 100 kutoka barabara kubwa ya ununio. *Ina vyumba vitano vya kulala, vyote ni master. *Huduma zote za kijamii zipo. Ukubwa wa Eneo: SQM 1833. Nyaraka: Ina Hatimiliki. Bei: Tzs Milioni 900...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Urembo wa madirisha kwa nje na kona za nyumba

    Naomba kushare, hivi urembo wa madirisha na kona vipo kwenye fashion au ni vimepitwa na wakati? Na kama vipo, vipi huko mbeleni? Binafsi navutiwa na huo urembo ila nakuwa nakuwa nasita kuweka!
  9. JamiiForums Tanzania Nyumba Inauzwa Kimara Temboni

    Nyumba Inauzwa Kimara. Mahali: Kimara Temboni, Mtaa wa Mtakuja. Sifa za Nyumba: •Ipo km 1 kutoka barabara kuu ya Morogoro. •Ina chumba chenye choo ndani, sebule na jiko. •Ina mpangaji analipa kodi sh. 300,000 kwa Mwezi. •Ina eneo kubwa mbele. •Usafiri wa aina zote unafika mpaka kwenye nyumba...
  10. JamiiForums Tanzania Acha kuteseka na umeme kwenye nyumba za kupanga

    Submita kata umeme inakuwezesha Kutumia umeme wako mwenyewe, Acha kuokota fundi mtaani. Ukihitaji Submita nitakuuzia na kukufungia. Pia nitakupa Elimu namna yakuitumia Submita hiyo. Wengi wamekuwa wakipata changamoto namna ya kuitumia na wakati mwingine kutaka hata kuzifungua...
  11. JamiiForums Tanzania Nyumba Inauzwa Temeke Chang'ombe

    House For Sale. Location: Temeke Chang'ombe. -100 meters from National Stadium. - Corner House. Features: -3 Bedrooms(1 Master Bedroom). -1 Kitchen. -1 Public Toilet. -3 Medium Size Warehouse(Stoo). -Large Parking. -Borehole(Kisima). Size: SQM 375. Starting Price: Tzs 450 Million which is...
  12. JamiiForums Tanzania faida za kumtumia fundi kukujengea nyumba ambaye ni mkazi wa mbali na eneo lako hasa mkoani

    Ingawa wengi hupendelea mafundi wa karibu, kutumia fundi kutoka mbali kunaweza kuwa na faida maalum kulingana na mahitaji na mazingira ya mradi wako. Hapa kuna baadhi ya faida zake: 1. Utaalamu wa kipekee – Fundi kutoka mbali anaweza kuwa na maarifa au uzoefu wa kipekee ambao haumpati fundi wa...
  13. JamiiForums Tanzania faida za kumtumia fundi kukujengea nyumba ambaye ni mkazi wa jilani na eneo lako

    Habari naitwa Eng James ni mtaalamu wa ujenzi wa nyumba za kisasa ,Ramani za nyumba ,BOQ N.K Wewe endelea kufatilia maandiko yangu utajifunza mengi kuhusu ujenzi na kupata ubora mkubwa sambamba na kupunguza ghalama. Njoo tukujengee tukukabidhi funguo 0743257669 ofisi tupo ukonga dsm Kumtumia...
  14. JamiiForums Tanzania Picha: Nyumba kali ya Mwl Mkuu Itilima; ''Mama hatumdai''

    Nyumba ya Mwalimu Mkuu, Shule ya Msingi Dasina, Kata ya Nkoma, Jimbo la Itilima Mkoa wa Simiyu. Hakika Mama Hatumdai ila yeye ndio anaeyetudai..
  15. JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Dodoma

    NYUMBA INAUZWA IPO DODOMA MNADA MPYA KARIBU NA ZAHANATI 🏞Kiwanja 450 sqm vyumba 3 (1master) ▶Sebule ▶Jiko ▶Dininig ▶Store ▶Public toilet 💸💸💸Bei=50M 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
  16. JamiiForums Tanzania Nyumba Inauzwa Goba Kwa Robert

    Nyumba Inauzwa Goba. Mahali: Goba Kwa Robert. Sifa za Nyumba: *Ni nyumba mpya anakaa mlinzi tuu. *Ina vyumba vinne vikubwa, kila chumba kina choo chake. *Ina Spanish tiles. *Madirisha ni pvc. *Ina fence(uzio). *Ina vyoo(toilets)5. *Umeme na maji yapo. *The house is new, no one has lived in...
  17. JamiiForums Tanzania Mwanaume una mke na watoto lakini unaishi kwenye nyumba ya mwanaume mwenzio eti umepanga!?

    Halafu unakuja hapa kutubeza sisi tusiokuwa na gari ila tumejenga unaatuona ni malofa ila wewe unayeishi kwenye nyumba ya mwanaume mwenzio unajiona ni mwamba sana. Kwanza hapo huna mamlaka hata ya kumgombeza mkeo mwenye nyumba anaweza kutoka kifua wazi na kukukoromea kuwa hapa sitaki ugomvi...
  18. JamiiForums Tanzania Nyumba Inauzwa Goba Kwa Lilian Kibo

    Nyumba inauzwa Goba, Dar es Salaam. Mahali: Lilian Kibo kwa Mwakifulefule. Sifa za Nyumba: *Nyumba haijakamilika, imefikia kwenye hatua ya umaliziaji. *Iko mita chache kutoka barabara ya Goba. *Iko upande wa kushoto ukitokea mbezi beach, na upande wa kulia ukitokea mbezi stendi ya Magufuli...
  19. JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Argentina Morogoro Road

    Habari wakuu. Nyumba inauzwa Argentina mkabala na ofisi Za Mabasi ya Shabibi Line. Nyumba inatazama Morogoro Road Eneo Lina ukubwa wa sqm 480 Hati Safi Bei ni Milion 600 Maongezi ni wewe mnunuzi na mwenye nyumba. Hakuna mgogoro wowote. Unaweza kuvunja na kuweka uwekezaji mwingine.Maamuzi...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Bati gauge 26 inafaa kuezekea nyumba ya kuishi

    Wanabodi kama mada inavosema,nimepitia maoni mengi kuhusu uezekaji na gauge pendekezwa ni 28,lkn binafsi nataka kutumia gauge 26,naombeni ushauri wenu wa kitaalamu nipate elimu na kufanya maamuzi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…