Nyumba za lugumi maarufu kama '900 itapendeza', ni nyumba za mfanyabiashara maarufu Tanzania Saidi Lugumi zilizotaka kupigwa mnada kutokana na malibikizo ya kodi ya Tsh. Bilioni 14 kutoka katika kampuni yake ya Lugumi Enterprises mnamo mwaka 2017.
Lugumi amewahi kuhusishwa pia kwenye kashfa ya ufisadi ambapo mwaka 2011 alipewa tenda ya kusambaza mashine za utambuzi wa alama za vidole kwenye vituo vyote vya polisi nchini vipatavyo 108 lakini aliishia kupeleka mashine kwenye vituo 32 pekee.
Wakuu,
Kama mmeona sasa hivi karibu kila siku Lugumi yuko kwenye media, mara katoa msaada kwa watoto yatima, mara anajengea yatima nyumba, mara kaalika watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu kufanya dua, mara sijui kaenda kulisha wapi, yaani ni heka heka mtindo mmoja.
Na Millard kama kawa...
Kayasema hayo kwenye video akihojiwa
Kuhusu Tuhuma Juu ya Lugumi, na kusema kwamba waligundua kwamba Lugumi hakuwa na kosa ila serikali ndo ilikuwa na Matatizo juu ya suala ilo,
Ni kuhusu kufunga alama za utambuzi wa vidole amesema kwamba Lugumi alijitetea na akaona kweli utetezi wake uko...
Mytake: Magufuli endelea kunyosha hawa mafisadi. Wananchi wote tuko nyuma yako
======
Kampuni ya Lugumi Enterprises Ltd iliyotajwa katika sakata la zabuni ya Sh34 bilioni ya kuweka mashine za kielektroniki za kuchukua alama za vidole ya Jeshi la Polisi, iko hatarini kupoteza mali zake...
Umofia Kwenu Wana JF,
Kampuni ya Yono Kupitia TRA yamekamata majumba matatu ya Lugumi yaliyoko Ndege Beach Mbweni kwa kudaiwa kodi ya zaidi ya Bilioni 14.
Nawasilisha kutoka MINJINGU.
=======
Kampuni ya udalali ya Yono, imefanikiwa kukamata mali za wafanyabiashara wanaodaiwa kodi ya...
Magufuli afichua ufisadi wa bil. 60/- Jeshi la Polisi
WAKATI sakata la mkataba wa Sh. bilioni 37 kati ya polisi na Kampuni ya Lugumi Enterprises wa zabuni ya kufunga vifaa vya kutambua alama za vidole likiwa limeanza kupoa, Rais John Magufuli, amenusa ufisadi mwingine kwenye jeshi hilo wa...
CHARLES Kitwanga, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi amesema kuwa, hajutii ‘kutumbuliwa’ na Rais John Magufuli, anaandika Moses Mseti.
Ametoa kauli hiyo wikiendi iliyopita jimboni kwake Misungwi jijini Mwanza ikiwa ni takribani mwezi mmoja baada ya kung’olewa kwenye nafasi hiyo...
mkalamo
Ndugu waandishi wa habari , nimewaita hapa leo ili niweze kutoa ufafanuzi wa mambo kadhaa kwa niaba ya Kampuni yetu ya LUGUMI ENTERPRISES LTD, kwa siku kadhaa kumekuwa na habari mbali mbali za kuchafua na kudhalilisha Kampuni yetu pamoja na Mimi Said Lugumi ambaye ni Mkurugenzi...
SAKATA la mkataba wa Kampuni ya Lugumi Enterprises limechukua suara mpya, baada ya Kambi ya Upinzani kusema kuwa itahakikisha mbivu na mbichi za mkataba huo, zinajulikana katika mkutano wa Bunge la Bajeti unoanza kesho mjini Dodoma.
Kampuni hiyo iliingia mkataba na Jeshi la Polisi mwaka 2011 na...
Kumekuwa na taarifa zinazoendelea kupotosha umma na baadhi ya vyombo vya Habari kuwa Kamati ya Bunge yo Hesabu za Serikali (PAC) ilipokuwa ikitekeleza majukumu yake tarehe 5 April, 2016 ililitaka Jeshi Ia Polisi kuwasilisha Mkataba ulioingiwa Kati ya Jeshi hilo na Kampuni ya Lugumi Enterprises...
Kampuni ya INFOSYS IPS (T) LTD imekanusha taarifa zinazoenezwa katika mitandao ya kijamii kwamba kampuni hiyo inahusika na inashirikirikiana na Lugumi Enterprises katika kashfa ya ubadhirifu.
Katika habari zilizosambaaa inasemekana kwamba kampuni ya Infosys ilipokea mabilioni ya shilingi kutoka...
Wanajamvi
Salaam;
Kwa sasa habari kubwa kwenye vyombo vya habari vyote,ni kuhusu ufisadi wa kutisha unaohusisha jeshi la police na baadhi ya viongozi akiwemo waziri wa mambo ya ndani Charles kitwanga na kampuni yake ya INFOSY.
Hawa jamaa niliowataja hapo juu,tangu wakati wa kampeni...
WAZIRI WA MAGUFULI KTK KASHFA YA UFISADI NA POLISI
- Kampuni inayohusishwa naye ya Infosys ilikuwa mkandarasi
Yadaiwa Infosys inamilikiwa na Kitwanga na Mkurugenzi Mkuu NIDA
Ni mdau wa LUGUMI enterprises
Na Mwandishi Wetu
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga atajwa kuhusika...
"Mimi sikuchaguliwa na watanzania ili niifanye Ikulu kuwa Pango la wanyanganyi"
Pili naomba tujadili hali ya ikulu yetu, je ni pango la wanyanganyi au ni mahali patakatifu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.