nyumba ya kupanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Natafuta nyumba ya kupanga hapa jijini Mwanza

    Msaada natafuta nyumba ya kupanga vyumba viwili na sebule sina familia kubwa ninawatoto wawili na house girl sina mke. Nahitaji maeneo haya ya Kisesa, Kishiri na Igoma. Nina 100k kwa mwezi ikizidi sana iwe 150k kwa mwezi
  2. Nyumba ya Kupanga Kilombero

    Habari, Natafuta nyumba ya kupanga Ruaha, Kilombero au maeneo ya jirani kabisa na eneo hili.
  3. Umewahi kupatwa na tukio kama hili? Moto wateketeza nyumba na mali za wapangaji

    Ni huzuni moto ambao chanzo chake hakijajulikana umezuka na kuteketeza nyumba moja yenye vyumba saba, ikiwa na wapangaji watano katika maeneo ya Gogoni, Kata ya Kibamba, Wilaya ya Ubungo mkoani Dar es Salaam, na kusababisha hasara kubwa ya mali za wapangaji waliokuwa wakiishi humo. Hapa kama ni...
  4. M

    Huu ni ugonjwa gani wa mtu kupenda kubaki uchi hadi kafukuzwa aende kusimamia nyumba ya kupanga ?

    Anapenda sana kuwa uchi anapojihisi yupo peke yake, Ni mtu mzima yupo kwenye 40 Ukienda kwake lazima upige simu mara nne hadi tano kumwambia ujio wako lengo likiwa asijisahau mumkute yupo uchi. Ukienda chumbani kwake lazima ukohoe au kuzima taa na kuwasha ili ajue kuna mtu anakuja Alikuwa...
  5. Unaishi nyumba ya kupanga unaruhusu mkeo avae hivi?

    Unaishi nyumba ya kupanga Halafu unaruhusu mkeo kuvaa hivi... Unakuwa na maana gani?
  6. M

    Kwa yeyote anayehitaji nyumba ya kupanga

    Kuna mtu ana nyumba mbili moja karibu na nyingine Buyuni, Chanika. Ni self-contained, na kila moja ina eneo la kutosha. Ni karibu na maeneo yafuatayo: Hospitali binafsi ya Tikaya (ina huduma za kawaida na kibobezi), soko la Buyuni, na ni karibu na usafiri wa kwenda au kutoka mjini. Kwa yeyote...
  7. Auawa baada ya kufumaniwa na mke wa mpangaji mwenzake

    Wakuu tukio hili limenikumbusha kuepuka tamaa kwa nguvu zote hasa kwenye hizi nyumba za kupanga na maneo mengine, tusije tukafikiwa matukio ya kikatili kama haya ===== Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza linamshikilia kijana James Nyakoro Kirauka (20), mkulima na mkazi wa mtaa wa Medical Research...
  8. J

    Nyumba ya kupanga mikocheni

    Habari wadau, Tunapangisha nyumba ipo Maeneo ya mikocheni Plaza. Mazingira yake: Eneo Lina SQM 1,500. Ina ukuta umezungushwa. Ni Nyumba ya Ghorofa moja. Ina vyumba 5, sebule, jiko na DINNING pamoja na servant quarter kwa nje. Parking space kubwa. Kodi : Million 4 kwa mwezi. Inafaa kwa...
  9. W

    Watoto wanaposema uwapeleke kwenu wakati uliishi Kota, nyumba ya kupanga, ulipoishi pamekuwa sehemu ya biashara, n.k. unawajibu nini ?

    Sehemu ulipoishi ni kota, kuna familia nyingine imehamia Sehemu ulipoishi ni nyumba za kupanga, kuna wapangaji wengine Ulipowahi kuishi pamebadilika kabisa, sio tena sehemu ya makazi ni mji wa kibiashara kuanzia mafremu, magorofa, gesti, magorofa, n.k. Kijijini kwenu hawakujui au...
  10. D

    Inahitajika nyumba ya Kupanga Kigamboni haraka.

    Habari wadau. Nahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya kigamboni. Nyumba isiwe mbali na barabara ya lami inayotoka ferry , maji yawepo , tiles na aluminium muhimu pamoja na gypsum, bila kusahau Usalama na itapendeza kama kutakuwa na umeme wa kujitegemea. Nyumba iwe na Chumba master, sebule na...
  11. Natafuta nyumba ya kupanga maeneo yafuatayo Morogoro mjini (bajeti 300,000/=)

    1. Eneo la Kilakala isiwe mbali na kituo cha Tushikamane. 2. Eneo la Kola (iwekaribu na barabara ya pangawe) 3. Eneo la Bigwa (iwekaribu na barabara ya pangawe) Iwe na vyumba 3 vya kulala. Ijitegemee maji na umeme.
  12. Msaada wa nyumba ya kupanga maeneo ya Uyole

    Msaada wakuu, kuna mtanzania anahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya Uyole. Tupe sifa ya nyumba na bei tafadhali tutakufuata inbox🙏🙏
  13. Nyumba ya kupanga ila masharti ya kupanga usinywe pombe na usipende kula ovyo

    Nyumba hii kodi bei ndogo ila kutokana na jeografia yake kama kichwa cha habari utakubaliana nayo.
  14. Nyumba ya kupanga!

    Jamani nipo kwenye nyumba ya kupanga ,tunaishi familia mbili tu Sasa basi mimi ni mfanyabiashara,iyo familia nyingine mwanamke ni mama wa nyumbani mume wake mchakalikaji Yani ameajiliwa anachonikera huyu dada ambaye ni mke wa jamaa. Siku nikishinda nyumbani ni kuimba imba manyimbo mda wote...
  15. Natafuta nyumba ya kupanga mbezi chini budget ni Tsh 500,000

    Wadau wa JamiiForums, Habari za jioni. Ninaomba msaada wenu. Ninatafuta nyumba ya kupanga yenye vyumba viwili (2 bedrooms) eneo la Mbezi Beach Chini. Bajeti yangu ni kati ya Tsh 500,000 hadi Tsh 600,000 kwa mwezi. Kinachonifanya niandike hapa ni kwamba kwa sasa hali yangu ya kifedha ni ngumu...
  16. MSAADA WA KUPATA NYUMBA YA KUPANGA ZA NHC DAR ES SALAAM

    Habari wanajamii forum, Naomba msaada wa kusaidiwa kupata nyumba ya kupanga za NHC Dar es salaam eneo laweza kuwa Ubungo Shekilango au eneo lolote ambalo litanirahishia kufika hospitali ya muhimbili kwa urahisi kwani kwa sasa nauguza Mgonjwa ambaye anilazimu kumpeleka kwenye session muhimbili...
  17. MSAADA WA KUPATA NYUMBA YA KUPANGA NHC DAR ES SALAAM

    Habari wanajamii forum, Naomba msaada wa kusaidiwa kupata nyumba ya kupanga za NHC Dar es salaam eneo laweza kuwa Ubungo Shekilango au eneo lolote ambalo litanirahishia kufika hospitali ya muhimbili kwa urahisi kwani kwa sasa nauguza Mgonjwa ambaye anilazimu kumpeleka kwenye session muhimbili...
  18. Msaada wa kupata nyumba ya kupanga NHC Dar es Salaam

    Habari wanaJamiiForums, Naomba msaada wa kusaidiwa kupata nyumba ya kupanga za NHC Dar es salaam eneo laweza kuwa Ubungo Shekilango au eneo lolote ambalo litanirahishia kufika hospitali ya muhimbili kwa urahisi kwani kwa sasa nauguza Mgonjwa ambaye anilazimu kumpeleka kwenye session muhimbili...
  19. House4Rent Natafuta nyumba ya kupanga Kigamboni

    Habari ya wakati huu wadau. Nahitaji nyumba ya kupanga Kigamboni , haswa eneo la Mjimwema au Gezaulole . Sifa : Nyumba iwe na master bedroom, Sebule na Jiko, isiwe mbali na barabara, Umeme na Maji viwepo. Kwa mwenye kuweza kunifanikishia hitaji hilo tafadhali naomba tuwasiliane. Natanguliza...
  20. Hebu tiririka kero mojawapo kwenye nyumba za kupanga.

    📖Mhadhara (63)✍️ Nyumba za kupanga (hasa zile ambazo zina wapangaji wengi) zina kero mbalimbali. Hebu tiririka kero mojawapo kwenye nyumba za kupanga - Natiririsha baadhi ya kero. 🔘 KERO 1: Kuna mpangaji ambaye akiingia bafuni kuoga, akitoka lazima bafuni mkute mabaki ya dawa za kienyeji. Kila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…