nyuma

Tom Nyuma (died January 26, 2014) was a Sierra Leonean military commander and the chairman of the Kailahun District council. He was elected as chairman of Kailahun District council on July 6, 2008 with 87% of the vote running on the opposition Sierra Leone People's Party (SLPP) ticket.
Nyuma was born in Kailahun, and was very popular in the Southern and Eastern regions of the country. In March 2012, Nyuma left the SLPP and joined the All People's Congress (APC) of President Ernest Bai Koroma.He was at the rank of Lieutenant Colonel in the Republic of Sierra Leone Armed Forces before he retired. On 29 April 1992, Nyuma was one of the young officers in the Sierra Leonean army who ousted the APC government led by Joseph Saidu Momoh. They established the National Provisional Ruling Council (NPRC) to run the government. During the NPRC administration, Nyuma was the commander of the Eastern Province. He was a member of the Kissi ethnic group and an alum of Ohio State University in Columbus, Ohio U.S.A.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Green Card Makulilo Lottery

    Vijana changamkieni fursa adhimu ya kwenda na Kuishi Marekani. Full Raha kule hakuna mateso kama Nangurukuru
  2. JamiiForums Tanzania Kwa mtazamo wako, tunaendelea au tunarudi nyuma?

    Vigezo vya maendeleo vikiwa: Pato la mtu binafsi. Lishe, angalau milo miwili yenye virutubisho vyote kwa watu wa mjini, mitatu mashambani. Urahisi wa kupatikana elimu inayokidhi na huduma za afya angalau za msingi (basic health services) Maji safi, umeme, angalau kwa 50% ya Watanzania...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nikijua wewe ni dhidi yangu(Serikali) siwezi kukushirikisha. Utatumia sheria zote za Kimataifa, nitatumia za ndani kuku-bar

    Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia katika mkutano wa 47 wa wanasheria Afrika Mashariki uliofanyika mkoani Arusha, amesema haya kuhusu kushirikisha watu/taasisi ambazo ziko dhidi yake Kwa mfano Tanzania, miaka minne mitano iliyopita tulikuwa na Tanganyika Law Society ambayo frankly speaking...
  4. JamiiForums Tanzania Watoto na wanafunzi waruhusiwe kumiliki simu, la sivyo watabaki nyuma

    Simu kwa zama hizi ni kama kompyuta. Ukizuia watoto na wanafunzi kumiliki simu ni kama kuwazuia kumiliki kompyuta. Huko ni kuwaza kwa mtindo wa kale sana. Cha muhimu ni kuweka taratibu wasiingie nazo darasani na kufundishwa matumizi salama ya simu. Lakini kumkataza mwanafunzi kuwa na simu ni...
  5. JamiiForums Tanzania Dunia isifikiri Putin akitoka madarakani kwamba misimamo ya Russia itarudi nyuma

    Kuna mwamba mwingine huyu hapa Russia alone is fighting NATO and the Western world,” Medvedev, who is the deputy head of the nation’s Security Council and the leader of the ruling United Russia party, wrote on his Telegram channel on Saturday. “We are capable of destroying a mighty enemy or...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mlango wa abiria kwenye ill fated ndege ya Precision uko sehemu gani? Mbele au nyuma?

    Kama uko mbele ina maana ulikuwa submerged under water, sasa majaliwa aliuvunja vipi? Kumbuka kuna pressing force ya maji all over the plane with substantial pressure/force?. Akiufungua tu maji yana rush insid, kumbuka kuna obstacles za viti vilivyong'oka na msongamano wa abiria , commotion kila...
  7. JamiiForums Tanzania Ni zawadi gani nzuri, inayoweza kumfurahisha na kumuachia kumbukumbu ya furaha mkeo/mumeo aliyepitia changamoto kali kipindi cha nyuma?

    Nawaza zawadi ya kumpatia mke wangu kama 'surprise' tu, kutokana na changamoto alizopitia mwaka jana, mwezi kama huu, mpaka ikafikia hatua ya kukata tamaa ya kuishi. Alifiwa na mzazi wake aliyempenda sana; aliyekuwa akimuuguza muda mrefu. Kabla ya mzazi wake hajafariki, ndani ya wiki mbili...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Ni kweli miaka ya nyuma ukisoma tu unakuwa umetoboa maisha?

    Nakumbuka zamani mtu akishasoma tu huyo amepata ajira hasa akisomea afya au education yani ajira zilikua nje nje but i think wasomi wote wa zamani walikua wanapata kazi kikubwa uwe na elimu na vyeti vyako tu ajira zilikua nyingi mpaka wakaanza kuajiri na wenye vyeti feki. Lakini HayatI Magufuli...
  9. JamiiForums Tanzania Ujerumani inaizunguka Marekani kwa kuzungumza na China

    Ziara ya hivi karibuni ya Olaf Scholz nchini China ni ujumbe kwamba Washington haiwezi kulazimisha sera ya nje ya Berlin. Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz anatazamiwa kuzuru China wiki hii. Ni alama ya safari yake ya kwanza kabisa katika nchi ya Asia, huku kukiwa na mvutano unaoongezeka kati ya...
  10. JamiiForums Tanzania Nani yuko nyuma ya hili Tamasha la Matokeo ya Sensa?

    Ifike pahala labda itoshe tuu kuwajua wanao tuhujua hata kama hamna kitu tunaweza kuwafanya. Nafsi zetu ziwanung'unikie tuu watalipwa mbele kwa mbele. Najiuliza ni pesa ngapi zimetumika kuandaa hili tamasha la kuambiwa tuko mil.61? Hivi kweli hawa watawala hawajaona hata shida tu ya maji dar...
  11. JamiiForums Tanzania Ni hayati Magufuli pekee aliyeweka wazi kuwa ili pesa za umma zisiibiwe zote ziingie mfuko mkuu wa Serikali. Marais waliopita huko nyuma walimezea

    Huko nyuma pesa za umma ziliibiwa na kutafunwa kama njugu. Maana makusanyo hayakuingia mfuko mkuu wa serikali na pesa mingi sana ilipotea mikononi mwa mafisadi Hayati Magufuli aliazimia makusanyo yote yaingie kwenye mfuko mkuu wa Serikali. Leo hii taifa letu linanufaika.
  12. JamiiForums Tanzania Kero za nyumba za kupanga: Wamama wanaoshinda vibarazani/ makoridoni kwenye mikeka wanakosesha amani wapangaji wengine

    Jamani nyumba za kupanga zina shida sana. Shida ni hawa wamama ambao hawana shughuli ya kufanya, kutwa nzima kushinda majumbani kwenye mikeka, sehemu wazipendazo ni vibarazani na makoridoni Yaani usiwe na tumbo la kuhara, au kuingiza Totoz, Utakoma.
  13. JamiiForums Tanzania Kamanda wa Bavicha Calvin Lekule afariki dunia -Alitabiriwa kifo wiki moja nyuma

    Habari wana JF, Chadema imepata pigo kwa kumpoteza kamanda Calvin Lekule ambaye alikuwa mpambanaji sana, Lekule alikuwa mwanaharakati kama alivyo mdude, alikuwa anapinga sana police brutality na uonevu wa aina yeyote kwa vitendo na bila kuogopa. Wiki moja iliyopita alitabiriwa kifo na mmoja wa...
  14. JamiiForums Tanzania TRA mmeanza kudai kodi kwa kunyang'anya biashara kama miaka ya nyuma? Ref. Mama Bonge

    Hili limekaa kisiasa zaidi kwanza ukiwa mpinzani hawa jamaa watahakikisha unaishiwa ili mirija isi support tena upinzani. Hizo mali za mama Bonge mlizochukua badae utasikia hazijulikani zilipo ama haionekani. Na kodi mnazo bambika watu hazisaidii sana zinaua biashara za watu na watanzania...
  15. JamiiForums Tanzania Wana Yanga wenzangu tushirikiane tuutoe ule mwiko kule nyuma lasiivyo tutaendelea kuteseka.

    Hii ni aibu sisi ndio mabingwa alafu tunatolewa mapema hivi? Hapana haikubaliki tatizo ni ule mwiko kule nyuma kwa umoja wetu naomba tushirikiane tuutoe haraka iwezekanavyo. Kama tusipoutoa mwiko tusahau kimataifa kufanya vizuri. Daima mbele nyuma mwiko utoke.
  16. JamiiForums Tanzania Twendeni mbele na turudi nyuma au basi twendeni mbele tu

    Baba mchungaji songa mbele tu wala usirudi nyuma
  17. S

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Songwe Iko nyuma kwenye Kila kitu

    Wilaya Songwe Kuna shida mahali kwenye Kila kitu kuanzia miradi yake mpaka mpaka watu wake. Kwa taarifa zilizopo watumishi walioajiriwa mwaka jana HawaJathibitishwa kazini.kila siku Siasa tu ukienda kuuliza Kwa wenye mamlaka. Inaenda mwaka was pili sasa Pia walioajiriwa mwaka huu...
  18. JamiiForums Tanzania Nani yupo nyuma ya Nabii tito?

    Nikiwa mitaa ya hapa mjini kati karibu na stendi kubwa halimashauri ya mji kahama mara namuona mtu aliyebeba mabango akipita mbele yangu huku akiwa mengine ameyakilia nilivomtazama zaidi niligundua ni nabii tito ,hivi huyu mtu ajapona tu au kuna watu wapo nyuma yake. Pia amewezaje kufika huku...
  19. JamiiForums Tanzania Twende mbele na kurudi nyuma, ilikuaje na wapi Karia alitamka maneno haya? Yananikwaza sana

    Manara alisema aliambiwa na Karia "Wana Yanga chupi zao zimejaa kinyesi". Haya maneno nani mwingine aliyasikia? Walikuwa wapi wao tu wawili? Ilikuaje? Kama ilikuwa public kwa nini wengine hawakusikia? Itakuwa Haji ni katika kuendeleza utani wake kwa sisi wana Yanga kuna kipindi anajisahau...
  20. JamiiForums Tanzania Tanzania tunaachwa nyuma?

    Ukiwauliza Wabongo wengi watakuambia duh, Tanzania twakata mbuga aisei, wengine wataisoma tu! Tuna barabara za juu kwa juu, mwendo kasi, SGR ya kisasa yaja....wataka nini tena? Lakini waulize wengi kama wanajua kuna (hata Kiswahili chake sijui kama kipo): 1- Artificial Intelligence (AI) au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…