Dorothy Wanja Nyingi is a Kenyan ichthyologist and recipient of the Ordre des Palmes académiques (Order of Academic Palms) for her work on Fish Biodiversity and Aquatic Ecology. She is the head of the Ichthyology Department at the National Museums of Kenya. She is the author of the first guide to fresh water fish in Kenya, Guide to the Common Freshwater Fishes of Kenya.
je hii ni shida au ndo maamuzi yao wazalishaji wa nyimbo hizo maana unakuta jitu linacheza club ukiliuliza ni kinaimba.
Nlasambaa, nakasolembwaa x2
kah
yaani sauti iko chini biti kuliko bongofleva atleast inakuwa juu ya biti au ni style sio kwamba wanakosea
Ningependa kuwasilisha ushauri kuhusu changamoto zinazowakabili vijana na wafanyakazi wengine katika sekta binafsi, hususan masuala ya mikataba ya ajira, mishahara na mazingira ya kazi.
CHANGAMOTO KUBWA
Mikataba ya ajira: Wafanyakazi hupewa mikataba ya mwaka mmoja inayorudiwa kwa kipindi cha...
Anonymous
Thread
binafsi
changamoto
iangalie
nyingi
sekta
sekta binafsi
serikali
wafanyakazi
Ili niliwai liandika sana na kuandika sana, lakini nikaonekanika ni kibwengo tu nisiyejielewa, nilidhiakiwa sana na kubezwa
Kitendo cha kuunganisha siku ya kumbukizi ya kifo cha Hayati mwalimu Julias Kabarage Nyerere na siku ya kilele cha mbio za mwenge kitaifa ni kumzalilsh Mwalimu.
Hii ina...
Ujinga wa wananchi wa nchi nyingi za Afrika hauiishi leo au kesho.
Kundi kubwa ni bendera fuata upepo halijui linataka nini.
Ni huzuni sana. Akitokea mmoja kuwatetea utasikia wanasema sisi hatuna wala shida ni yeye tuu huyo.
Ni kwamba kimsingi, hakuna haja kabisa ya kuwa na utitiri wa malori tunayoyaona barabarani siku hizi katika barabara za Dar - Mbeya, Dar - Tanga, Dar - Songea, Dar - Arusha na hata Dar - Mtwara.
Sasa basi suluhisho ni nini?
Serikali iamue, kama kweli inataka kuondoa tatizo la msongamano wa...
ajali
bandari
bandari kavu
barabarani
basi
chanzo
chanzo cha ajali
iko
kutatua
malori
mfumo
mikoani
msongamano
muendelezo
nchini
nyingi
reli
serikali
serious
suluhisho
uwepo
wazi
Kwa wakati wa Millennials wakiwa vijana, ilikuwa ni enzi ya taiti, vitop, mini na vivazi vilivyoacha Hardcopy ikionekana wazi.
Wengi walipagawa. Hata muziki ukabadilika nyimbo zikaanza kusifia mashepu, makalio, mapaja na uzuri uliokuwa ukionekana kila kona.
Millennials wengi wakaingia kwenye...
salamu wana bodi
leo pia nimetafakari maamuzi ya mkuu wa mkoa kuhusu stendi.
kama ilivyo ada tunatarajia kuona idadi ya mapato endelevu imeongezeka stendi,waharifu na wahamiaji halamu wanaokamatiwa magufuli na kushtakiwa mahakamani na mapato ya kodi au ushuru kwa serikali yameongezeka na...
Kwa kurelax,
elezea hasara na athari hizo za kisiasa, kijamii na kiuchumi wanazopitia wasusia uchaguzi na vyama vyao vya siasa, kwa kurejea hasara na athari za wasusia uchaguzi wa Kenya, Zanzibar na Tanzania na itapendeza zaidi, kwasababu sote ni mashahidi, hakuna faida hata moja waliopata...
nimekuta post ya inayopinga chuki kwa wakristo, katika kupitia comment nimekutana na hii shuhuda
Nakumbuka utotoni kule kijijini jirani yetu mkristo zikifika sikukuu zao wanatuletea wali na nyama saazingine kuku Tunaupokea kwa shukurani nyingi sana nyingi mnoo lakini wakitupa mgongo tu daah...
Dini ni nini?
Dini ni jumla ya imani, mafundisho, na desturi ambazo humwongoza binadamu katika uhusiano wake na Mwenyezi Mungu au nguvu za ghaibu, pamoja na kuweka mwongozo wa maadili na mtindo mzima wa maisha.
Neno hili limetokana na neno la Kiarabu "Ad-din" (اﻟدﻴن), lenye maana ya utaratibu...
Kama ni mdau wa sekta ya usafiri Hasa wa mizigo ,Kuna jambo fanya kufuatilia katika ajali kumi oh gari ilifeli break nk utagundua gari za kichina ni ajali Saba out of 10. Je shida ni mazoea ya madereva au hizi gari za mchina Zina shida. Serikali wamefuatilia hili kujua Kwa nini gari za mchina...
Declaration of Interest:
Nimeona wanawake wawili kutoka Kaskazini.
Twende kwenye Mada sasa, aisee hii ni balaa, zamani nilikuwa nilikutana na single Maza kutoka Kaskazini najua ni kwa sababu anapenda hela hivyo Wanaume wanapiga na kusepa.
Nilishtuka mara ya kwanza Mtoto kutoka Rombo...
Salama wakuu? Mimi umri umesogea sana... hivyo nimeona mengi na nimeshuhudia mengi na kujifunza mengi.
Nimezunguka sana nchi hii, karibu mikoa mingi nimefika.. pia niliwahi kufanya kazi taasisi nyeti zilizoniruhusu kupata taarifa nyingi za siri za watanzania wengi.
miongoni mwa mambo mengi...
NB: Nina Akili Ndogo Sana
Misri hawana mvua ila wana pesa nyingi kutuzidi. Je, watuchimbie mabwawa kama ya JULIUS NYERERE mikoa ya Kanda ya ziwa Victoria na sisi (Tanzania) tuwape maji ya ziwa Victoria kwa maana tuna pesa kidogo ila mvua ni nyingi sana??
Apigia chapuo utekelezaji wa DIRA 2050
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema bado kuna fursa nyingi za ushirikiano wa kiuchumi baina ya Taifa la Qatar na Tanzania ambazo zikitumiwa vizuri zitawanufaisha raia wa nchi zote mbili.
“Bado tuna fursa nyingi ambazo tunaweza tukanufaika nazo kama...
Vibanda vya games vya mtaani, hasa fremu za PS, ni sehemu zinazopendwa sana na wezi
Wateja hao baadhi wakiwa wezi hupenda kupumzika vibanda vya ps lakini pia kufuatilia mazingira ya kutafuta mianya ya kuiba.
Ndio maana fremu za PS zimkuwa na matukio mengi ya kuvunjwa na wezi, na wakati...
Kwa nini Tanzania hatupo serious na ujenzi wa viwanda licha ya population yetu kuwa kubwa na kukua kwa kasi
Kwa nini tusitake advantage ya population yetu wenyewe inayokua sasahivi tukaanza kujenga viwanda vingi nchini na kuuza products humuhumu? Kwa mfano sasahivi ingependeza uwepo mradi wa...
Barabara ya Kibada-Mwasonga imekuwa na ajali nyingi na ndugu zetu wengi wamepoteza maisha, iwekwe matuta. Hii ni wiki ya pili ilitokea ajali asubuhi Mwasonga karibu na Kituo cha Mafuta cha Asam Oil, Dar es Salaam, Kigamboni
Muigizaji mashuhuri wa tamthilia ya Jua Kali, anayejulikana kama Femi, ameibuka na kutetea wanawake kutoka Mkoa wa Singida wanaofanya kazi ya uhudumu wa baa (baamedi), akieleza kuwa uwepo wao kwenye sekta hiyo unatokana na muonekano wao na mvuto wa kipekee unaosaidia kuvutia wateja.
Femi...