Utavuna ulichopanda ×2
Kiitikio
Ulichopanda×2,Utavuna!
Wananchi tusidanganyike na vitenge, vyakula,pesa nk
Kama mmbunge aliyopo madarakani,hajafanya lolote kwenye Jimbo lake mbali na msukumo wa serikali,asirudi Bungeni.
Kama ni mgombea wa mara ya kwanza,tumuulize huko alikuwa amefanya Nini Cha...