nyimbo za injili

  1. JamiiForums Tanzania Koffi Olumide inasemekana ameamua kuimba nyimbo za Injili

    Baada ya kuupokea uwokovu wa Bwana moyoni mwake, nguli huyu inasemekana ameamua kuutumikia muda wake uliobaki duniani kuliimba jina la Bwana na kusifu utukufu wake.
  2. JamiiForums Tanzania Mume wa aliyekuwa mwimbaji wa nyimbo za injili nchini Nigeria, amekanusha mashtaka ya mauaji ya mkewe

    Peter Nwachukwu,aliyekuwa Mume wa mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili wa Nigeria aliyefariki mwezi Aprili mjini Abuja amekana mashtaka yote yanayohusiana na kifo chake na madai ya unyanyasaji katika ndoa yao Kifo cha Osinachi Nwachukwu kilizua ghadhabu baada ya familia yake kudai kuwa alikuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Mume wa mwimbaji wa nyimbo za Injili nchini Nigeria (Osinachi Nwachukwu) akamatwa

    Polisi wamemkamata mume wa mwimbaji nyota wa nyimbo za Injili nchini Nigeria, Osinachi Nwachukwu, baada ya kufariki siku ya Ijumaa Aprili 8, 2022 katika hospitali ya Abuja. Ripoti za awali zilisema kuwa msanii huyo mwenye umri wa miaka 42 alikuwa akiugua saratani ya koo, lakini familia yake...
  4. JamiiForums Tanzania TANZIA Ephraim R. Mwansasu, Nguli wa Nyimbo za Injili Afariki Dunia

    Mwimbaji mkongwe wa nyimbo za injili na Askofu wa Hossana Assemblies of God Ephraim R. Mwansasu amefariki dunia usiku wa kuamkia leo (29/08/2021). Mwasasu alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya moyo kwa muda mrefu, kwa sasa msiba upo Kimara Mwisho. Mwansasu atakumbukwa kwa nyimbo zake nyingi...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kipindi hiki cha maombolezo sisi wapendwa tunafaidi sana nyimbo za injili maeneo ya starehe

    Yaani ni mwendo wa nyimbo za injili tuuu... upako kila sehemu. Bar zimegeuka platforms za nyimbo za injili ... safiii
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamuziki wa nyimbo za Injili, Chris Embarambamba kupimwa akili kutokana na uchezaji wake kwenye video wenye kutia shaka

    Watetezi wa haki za binadamu nchini Kenya wametaka mwanamuziki kutoka kabila la Kisii nchini humo afanyiwe uchunguzi wa akili kutokana na matukio ambayo amekuwa akiyafanya kwenye video zake. Uchunguzi huo unatarajiwa kufanyika katika hospitali ya magonjwa ya akili ya Mathari. Iwapo...
  7. JamiiForums Tanzania Rwanda: Msanii maarufu wa nyimbo za injili Kizito Mihigo akutwa amejinyonga ndani ya Kituo cha Polisi

    Polisi ya Rwanda imetangaza kwamba msanii maarufu wa nyimbo za injili, Kizito Mihigo amekutwa amejinyonga kwenye Kituo cha Polisi. Kwa mujibu wa tangazo la Polisi, maiti ya msanii huyo imepatikana katika chumba alichokuwa anazuiliwa kwenye Kituo cha Polisi mtaa wa Remera, mjini Kigali. Polisi...
  8. JamiiForums Tanzania Tunaopenda nyimbo za injili tukutane upendo TV

    Ujio wa hii channel mpya ya upendo TV kwakweli nimeufurahia, zinapigwa nyimbo za injili muda wote. Kwa sisi wapenda nyimbo za injili hili ni la kupongezwa Pia jamaa wanapiga nyimbo zote bila ubaguzi tofauti na wale wenzetu wa j/mosi, hapa naona kabisa wanafanya kile YESU alichoagiza, kutangaza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…