nyie

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nyie Kama sisi mnatuita "THE GENDER THAT BETRAYED JESUS" na nyie mtaitwa kama ifuatavyo.

    Ili kulinganisha mizani nyie majina yenu ni; Forbidden Fruit Eater Samson Hair cutter John the baptist Head requester Joseph seducer Snake language translator
  2. JamiiForums Tanzania Nyie Gazeti la 'Habari Leo' mnadhani Haji Manara aliposema kuwa hiyo Klabu wenye Akili ni Wawili tu na waliobakia wote ni Majuha (Fools) alikosea?

    TANGA; YANGA ya Dar es Salaam ni miongoni mwa klabu tatu za Ligi Kuu Tanzania Bara zilizokosa sifa ya kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) unaofanyika Tanga asubuhi hii. - Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya TFF, Wakili Kiomoni Kibamba, aliwaeleza...
  3. JamiiForums Tanzania Nyie wahuni wa KM Mombasa laana inawatafuta. Tushawajua wote ingawa mlivaa musk

    Za Leo, saa nane kasoro mchana napigiwa simu na Mama muuza chakula kwamba amepigwa chakula kimemwagwa na pia wamemtukana mbele ya watoto zake, Baadae kidogo nampigia rafiki yangu jina maarufu "Gwasuma" ananiambia walichukua majivu na kuni wakaweka kwenye sururia la makande ambayo Huwa tunanunua...
  4. JamiiForums Tanzania Watumishi wa Mungu msiendekeze siasa mtaendelea kuumbuka pale unabii wenu wa kichawi na kilozi unapokwama nyie wapuliza mitungi ya gesi

    Kwasasa nchini Kuna nyumba za ibada ukiingia tu as if umeingia kwa mganga wa jadi unakuta mtumishi wa mungu anasema wakati anasali ameona bango🤣🤣...... stupid! Kumbe siasa zimemjaa mpaka amegeuka kuwa Kama mchawi Sasa. Jueni kuwa wewe mtumishi wa Mungu huna uwezo wa kunibadilisha mm chama...
  5. JamiiForums Tanzania Vifo vya Wagombea Urais wa ACT Wazalendo nyie haviwafikirishi?!

    Leo asubuhi nimekumbuka trend ya wagombea urais wa ACT 1. Anna Mgwira RIP 2. Maalimu Seif RIP 3. Benard Membe RIP SItaki kuhusisha vifo na ugombeaji wao ACT lakini najiuliza kwa nini itokee hivi?
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kwa nini mnamtumia Mungu kuhalalisha msemacho wakati nyie ndo wadhambi wakubwa

    Bahati mbaya Mungu haonekani face to face mana angemtandika mtu kibao. Hivi mnakumbuka kipindi cha jpm ndo kiliongoza kwa mauaji na kuteka watu na kuwafurusha wapinzani exile kama akina lisu na lema. Msesahau hilo. Mnakumbuka kuwa ndo kipindi wafanyabiashara walifunga maduka kariakoo na...
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Haipendezi kwenye mchakato wa Ubunge ni Watu wa Familia za Viongozi

    Humphrey Polepole amesema "Leo kinachoendelea kwenye Uchaguzi wa Chama huko chini...ni kudhihirisha ni namna gani Chama kimedhohofika kwenye kusimamia Misingi, Nidhamu ya Wanachama, Maadili, Rushwa" "Ni Haki kila Mtu kugombea lakini kwenye Chama ambacho tuna Kamkate kadogo ka fursa za Uongozi...
  8. JamiiForums Tanzania Maria Sarungi na mange Kimambi nyie watanzania wajinga mmekubali ni wanaharakati kweli??

    Wako nje ya Tz, mmoja ulaya, mwingine sijui kenya na familia zao zipo Safe. Ni kivipi ww mwanaume mwenye kende mbili ukubali harakati za hawa wavaa pichu, wanaojiita wanaharakati wa mchogo na wanafiki. Kama wanapenda nchi yao,, kwanini wasije huku Bongo na tupigane wote kama wana uchungu wa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nyie machalii wa Rachuga mnafamu mkoa wenu umepokea TZS3.5Trilioni ila mjue hiyo pesa ni karibu sawa na bajeti nzima ya nchi ya Burundi

    Mkoa wa Arusha umepokea TZS3.5Trilioni pesa ambayo ni karibu sawa na bajeti nzima ya nchi ya Burundi ambayo haizidi TZS5Trilioni. Rais Samia ametoa kiasi cha fedha cha TZS3.5Trilioni ambazo hata hivyo zilitumika ili kutekeleza shughuli mbalimbali za maendeleo kwenye sekta mbalimbali kama...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Nyie Wajasiriamali zaidi ya 1,400 mnakumbuka mlivyopanga biashara zenu chini kabla ya Rais Samia hajatoa TZS27bn za ujenzi wa soko kuu la Mwanza?

    Rais Samia ametumia TZS26,61bn kujenga Soko Kuu Mwanza linalochukua wafanyabiashara 1,400 na maduka 500, maegesho ya magari zaidi ya 190 kwa Pamoja. Madhumuni ya Rais Samia ni kuongeza mapato ya ndani kwa halmashauri pamoja na kuhamasisha shughuli mbalimbali za kibiashara Ukanda Mzima wa ziwa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 sikilizeni matokeo ya kikao cha CCM live

    Wale wazushi wa humu JF sikilizeni matokeo ya kikao cha dharura cha CCM Dodoma. CCM ni chama imara zaidi ya jabali hamwezi ht kuitingisha, msiifananishe na hao wenzenu. Sijui baada ya hapa mtakuja na uzushi upi, tunausubiri ila wengine mtawehuka mwaka huu. KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI, OKTOBA...
  12. JamiiForums Tanzania Ambae upo interested na kilimo cha bustani.. fursa hii

    Kama kuna mtu yupo interested kufanya kilimo cha bustani , mbogamboga. Nichek DM, tufanye kazi Mashamba yapo Maji yakutosha , mto una flow maji through out the year Pump ya mwagilia ninayo.. Wewe njoo na mpira wake tu Location: Kimara mwisho, karibu na shule ya msingi mavurunza, bonde la...
  13. JamiiForums Tanzania GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE nimekuwa nikiyasema tokea Kitambo mkawa mnanipuuza Malaika Mimi. Na bado mtakoma

    Fukuzeni Murtaza Mangungu, Salim Abdallah Mhene 'Try Again', Abbas Mratibu wa Timu, Mtani wangu wa Kihaya Meneja Rweymamu, Mtani wangu wa Kiha na Rafiki yangu Kocha Msaidizi Matola na badilisheni Dereva wa Basi la Simba SC halafu kuanzia sasa achaneni na huyo Mganga wa Kienyeji ambaye ni mwana...
  14. JamiiForums Tanzania Tatizo linaanzia pale nyie pia mnapowaita manabii

    Neno linaumba, right? Haiwezekani bado una wasi wasi na mienendo ya uendeshaji wa huduma ya kiroho ya hawa watu alafu bado una wawasilisha kwa jina la kipekee la nabii. Kutapeliwa kuna mentallity, sasa ukisha ita tapeli nabii ina maana tayari umeshaanza kutapelika.
  15. JamiiForums Tanzania Huyu Kikwete nyie mnamuelewa kweli?

    Mi hainiingii akilini mtu ambae alikuwa CEO mda wake ukaisha akaja CEO mwingine halafu anakuwepo CEO wa zamani anafanya kazi ambazo kimsingi alitakiwa azifanye wakati wa utalawa wake. Yaani mara usikie ametumwa wapi huko mara umsikie anatoa matamko. Sielewi aisee hebu wajuvi mje
  16. JamiiForums Tanzania NI UONGOZI UPI KWENU ULIWAFAA NYIE WALALAMISHI WA KILA JAMBO

    Nyerere ooooo Mwinyi oooo Mkapa oooo Jk blaaaaa Jpm blaaaablaaa Suluhu blaaa and out Yupi aliwapa ahueni.
  17. JamiiForums Tanzania Huku Polepole atakuwa na Press Conference mara tena Askofu Gwajima nae atakuwa na Press Conference nyie endeleeni tu kutufanya Watanzania ni Fools

    Yaani mnajitekenya wenyewe halafu tena mnacheka wenyewe. Kwahiyo mmeana Suala la 'Genius' Lissu huko Mahakamani linawaendea vibaya mkaamua kukaa Kikao na Mfumo ili kuja na Jambo la ghafla ambalo litateka Akili za Watanzania na kutotilia maanani Sakata la Lissu? Halafu nikiwaambia hamna Akili...
  18. JamiiForums Tanzania Makamu kajitoa,waziri mkuu kajitoa na sasa Balozi kajitoa. Nyie mnaona Nini mbele?

    Hii record imewahi kutokea lini katika historia ya nchi yetu? Hili si jambo la kawaida hata kidogo. Kama mtampa Moyo kwamba mama usiangalie nyuma songa mbele mnampoteza ndugu yenu. Huko mbele meli inazama. Narudia meli inazama. Hii record na trend si nzuri hata kidogo na ni taa kwamba hatari...
  19. JamiiForums Tanzania JWTZ, nyie ndo walinzi wa Katiba, tuambieni mnasimama wapi?

    Kwa mara nyingi sana tumeandika humu kuhusu Uongozi wa CCM unavyoivunja na kuidharau Katiba yetu ila kila siku mmekuwa kimya. Wameweka bungeni wabunge wasio na vyama baada ya kufukuzwa uanachama wao Chadema kinyume kabisa na Katiba na wakawalipa mamilioni ya fedha ya kodi za Wananchi...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini tunataka Mangungu aachie ngazi? Nyie mnaomtetea Mangungu someni hapa

    Mangungu sio kwamba tunamchukia ama tunamtakia mabaya, hapana, mm namuombea kwa mungu jina lake lirudi vzr huko Dodoma apeperushe benders ya chama kule jimboni Kilwa Kaskazini awe mbunge. Kumekuwa na mvuragano mkubwa miongoni mwa wanachama kuhusu uongozi wa Simba, kuna wanaotetea uongozi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…