nyie

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania JamiiForums yarudi hewani

    Sasa bila ya VPN unaweza kuipata ndani ya Tanzania. Angalu sasa ile washa na kuzima VPN ilikuwa inakera, mara uwashe kuingia JF mara uzime kuacess mobile app na app za kibenki. Updates Naona mtandao umezuiliwa tena, mamlaka bado hazisomami.
  2. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tanzania nchi huru, nyie mnaosubiri Trump na vi organizations uchwara viwasaidie kukaa Ikulu imekula kwenu

    Mnakumbuka kipindi cha Magufuli vimemo vya vi organizations mbalimbali vilivyotolewa na majibu ya MAGUFULI? Baadaye wakijua kuwa unajiamini na hitishiki wanaendelea kumwaga pesa maisha yanasonga. Hata wasipotoa pesa tutaishi vivyo hivyo ingawa wewe mwananchi ndiyo tutakuminya zaidi kwenye...
  3. JamiiForums Tanzania Waandishi acheni kuwapa airtime Mashekhe ni wazi wananunuliwa

    Mange Kimambi anampiga Rais haramu, je Mange Ni TEC? Ally Kibao aliuawa kihuni, je alikuwa TEC Nifa kakaa mahabusu mwezi, je alikuwa TEC? Shehe ponda kaongea, je yeye ni TEC? Zitto Kabwe kaibiwa uchaguzi halafu kawekwa ndani siku 6, yeye ni TEC? Waliokamatwa na makesi ya uhaini kwenye...
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Hakuna dini ya ku-override serikali, toka niingie madarakani TEC wametoa nyaraka 8

    Rais Samia ameongeza kwa kusema "Kama haumpendi kiongozi aliyeko juu, basi vumilia wakati wake utaisha tu". Amesema tangu aingie madarakani, TEC wametoa matamko 8 Pia Soma: Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC): Wote waliokamatwa kwa kudai haki, wakiwemo viongozi wa vyama vya kisiasa...
  5. JamiiForums Tanzania Waambieni MAJAJI kesi ya LISSU kuwa, Wameamuliwa na Mungu kabla ya Dec 1 wawe wameshatoa Tarehe ya kesi kuendelea kusikilizwa!

    Mh LISSU hataki Kupendelewa Wala Kuonewa, ndio Sababu Licha ya Ofa zote mnazompelekea amegoma kuwasailiti Wananchi. Huyo ni MTU wa aina gan? Je Msimamo huo wa Kimungu hautoshi Kuwashtua Majaji ?. Sasa nikiwa Katika Usingizi, Mungu alinichukua na kunipeleka katika Kikao Cha Malaika ,kikao...
  6. JamiiForums Tanzania PostGE2025 TCRA kiko wapi? Ngebe zote za kuzima Mitandao leo Dunia yote imejua kilichotokea na nyie mnatajwa kama sehemu ya Watuhumiwa

    Kwenye Jinai kuna watu wanaoitwa accomplices yaaani Watu wanaoshiriki kutenda uhalifu au kufanikisha Uhalifu. Vyombo vya habari vya Kimataifa hasa CNN vimeeleza wazi kuhusu vyombo vya Ulinzi na Usalama vya Tanzania kuuwa watu na kuficha ushahidi. Uzuri kwenye kuficha ushahidi vimesema wazi...
  7. JamiiForums Tanzania Baada ya kufanyia Kazi masuala serious katika nchi yaliotupelekea vifo vya watu October 29 nyie bado Mnaendekeza propaganda?

    Nilifikiri kama taifa tumejifunza wapi tulipo kosea sasa kama Taifa tutakua serious kufanya reforms kila sehemu ambayo wananchi wamekua wakilalamikia kwamba sasa tunayafanyi kazi malalamiko ya wananchi yaliopelekea mauaji October 29...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Nyie wazee 7, mnakaribia kurudi kwa Muumba wenu, achana na Unajisi wa kutenda dhambi kubwa. Tubuni dhambi na si kuongeza dhambi

    Achana na DHAMBI hii kubwa ya kusafisha mauaji ya HALAIKI. Mnakaribia kufa, kwa umri wenu , ni muda wa kutubu dhambi mlizozifanya mkiwa madarakani. Msiongeze DHAMBI HII KUBWA YA KUBARIKI MAUAJI YA HALAIKI/ KIMBALI. TUBUNI HUKUMU ZA UONEVU MLIZOZITOA NA SI KUONGEZA HUKUMU ZA UONEVU
  9. C

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 watanzania wana akili sana na wala sio wajinga, dini wala sio hoja yao

    Naona mpo busy sana na mnapambana sana kulazimisha sana mgogoro wa kidini lakini niwahakikishie pasi na shaka watanzania wana akili sana na wala sio wajinga, dini wala sio hoja yao, ukatoliki na uislam wala sio hoja ya wananchi. Hoja ya wananchi ni utekaji ukome, mauaji yakome, na wizi na...
  10. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wanaokataa Maridhiano msiwaite sio wazalendo. Nanyi mlikataa maridhiano kabla ya Uchaguzi na mlikuwa mnaonywa, hamkusikia

    Wakati huu kumezuka rundo la maandiko, Nasaha kutoka kwa watu mbalimbali Nchini Tanzania Ma Prof, watu wenye nyadhifa mbalimbali za Juu na ndogondogo. Wote hawa wanasemea Taifa kuliunganisha na wanakua wakali na kusema wale wanaosema D9 na kusema serikali iwajibishwe juu ya kile kilichotokea...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi mbona haji tena na swaga la Jeshi lipo na nyie?

    Naangalia youtube hapa kwenye TV namsikia kidada anasema Watanzania wasirudi nyuma, ohhh vijana endeleeni kweli? ahaaa ahaaaa ahaa yaani anachochea bado tu na wajinga waje wakubali ? KWELI WATANZANIA TUMELOGWA ndo maana kiboko ya wachawi mkongomani alisema Watanzania ni wajinga sana naanza...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi mnamjua Paul Makonda nyie?

    Huyu ambaye alimlaghai GSM kuwa Rais Magufuli anataka kujengewa nyumba, Aliyetaka kupitisha biashara yake bandarini kwa kisingizio cha kusaidia meza na viti waalimu wa Dar Huyu bwana ukimweka kwenye kundi la walafi wa madaraka na matumizi mabaya ya madaraka ni namba moja kwa Tanzania hivi sasa...
  13. JamiiForums Tanzania Mkikubali maridhiano ina maana kweli nyie ndo mlikuwa nyuma ya GenZ na mna kesi ya kujibu, huo ni Mtego Polepole alikataa Maridhiano

    Kuna mtego. Mkikubali maridhiano, mjue mmekubali kuwa nyie ndiyo waandaaji wa vijana wa GenZ. Oktoba 29 kesi zimewekwa pending, mkikosea kidogo wanawarudisha ndani na mtapata kesi ya kujibu tena. GenZ ni nguvu ya umma, maridhiano yanaweza kuwa mtego wa kuwanasa. Chadema, kuweni makini. Polepole...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali imekuja na propaganda ya kuonyesha Mali zilizohalibika Wananchi na Nyie Endeleeni kuonyesha Maiti za Marehemu

    Propaganda ya kuonyesha mali ni nzuri wananchi nao waendelee kuonyesha Maiti za Marehemu tuone vitu vinarudishwa uhai wa watu Je?
  15. N

    JamiiForums Tanzania Wakenya kuanzia sasa tutadeal na nyie kweli kweli namaanisha kweli kweli

    1. Rais wa Tanzania ameshaapishwa uvumi umeisha na maisha yataendelea 2. G z Tanzania nawashauri ebu jifunzeni kidogo kuhusu wanaotangaza prpaganda huwa wana nia gani na tujifunze kwa serikali nyingi zenye neema ya rasilimali huwa zinaandamwa na foreign forces na influences ebu TUIPENDE NCHI...
  16. JamiiForums Tanzania Vijana wa KIDATO Cha NNE na chapili jiandaeni na mitihani. Wazazi iungeni serikali mkono watoto wavuke salama

    Mnahamasisha maandamano hamjui wiki ijayo baada ya hiyo TAREHE yenu watoto wanatakiwa kufanya mitihani Kwa utulivu nchi nzima? Tumia akili mtanzania usiendeshwe na mihemko.
  17. R

    JamiiForums Tanzania Nyie watu wa JF nipe msaada, mbona mnakuwa wakorofi?

    Ni VPN gani naweza tumia kwenye desktop computer?
  18. JamiiForums Tanzania Mlinogewa sana kuua waTanzania nyie watu, nyie ndiyo sababu hakukuwa na amani nchini

    Na kila aliyehusika na haya mauaji ya ndugu zetu atalipia. Haijalishi kama ulitubu, ulichangia ujenzi wa makanisa, ulichangia misikiti, ulifuturisha, ulianzisha kituo cha kulea watoto yatima. Kama umehusika kwenye kupora uhai wa mtanzania yoyote lazima utalipia. Hakuna muda tena wa...
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 CCM ina pesa nyie

    Jana maeneo ya ubungo zimepita v8 kibao aisee. Afu kilicho nishangaza kuna v8 moja imebeba spika yaan ile ya kupiga P. A gari ya mil 200 inabeba spika inapiga nyimbo za mama hizi ni dharau. hakika pesa mnazo aisee Over.
  20. JamiiForums Tanzania Yaani mliamini mtaweza kuwadanganya Mababu zetu, Mababa zetu, na watoto pia??? Nyie watu mmeshindwa kusoma nyakati

    Yaani watu waone kabisa nchi yao inaibiwa na hakuna wakuitetea kabisa, watulie tu, eti kwasababu watatekwa na kupewa kesi. Yaani nione watu wanauliwa na kutekwa na hakuna wakuwatetea, mimi nitulie kwasababu wale sio ndugu zangu??? Mnadhani kila mtu ni mjinga hivyo. Yaani nione wamama hospitali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…